raia

The Australian Institute of Architects (officially as the Royal Australian Institute of Architects, abbreviated as RAIA) is a professional body for architects in Australia. The post-nominals of FRAIA (Fellow) and RAIA (Members and organisation abbreviation) continue to be used.

View More On Wikipedia.org
  1. MK254

    JamiiForums Tanzania Zamu ya Warusi kuwa wakimbizi, gavana aomba raia wasirudi, hali tete Belgorod

    Haijatokea siku nyingine supapawa anavamiwa ndani hadi raina wanakimbia makwao na kuwa wakimbizi. ======= Authorities in Russia's Belgorod region said a "counter-terrorism operation" was ongoing after a sabotage group from Ukraine crossed the border. DW has the latest. The governor of...
  2. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania IGP Komesha wauaji ya raia au hadi samia aseme na wewe?

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza limetangaza ‘dau’ la Sh1.5 milioni kwa atakayefanikisha kukamatwa kwa watuhumiwa wa mauaji ya Juliana Lukono (51) aliyeuawa na wasiojulikana wilayani Magu. Mauaji ya mwanamke huyo yanadaiwa kutokea usiku wa kuamkia leo Mei 12, 2023 alipokuwa akiishi katika Kijiji...
  3. ONJO

    JamiiForums Tanzania Tanzania imefanya raia wake kuwa watumwa

    ,,,,,,,,,,,
  4. Influenza

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wajir: Askari Wanyamapori waua raia wawili kwa risasi, wananchi walipuka

    Mtu mmoja Ijumaa alidaiwa kupigwa risasi na kuuawa na maafisa wa polisi baada ya maandamano kuzuka katika mji wa Wajir. Maandamano hayo yalizuka baada ya maafisa wa Shirika la Huduma ya Wanyamapori (KWS) kudaiwa kuwaua watu wawili wanaoaminika kuwa wawindaji haramu Alhamisi jioni. Mauaji hayo...
  5. L

    JamiiForums Tanzania China kurejesha raia wake kutoka Sudan kwathibitisha tena nia ya China ya kulinda raia wake vizuri

    Ndege ya kukodi ya China iliwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Beijing jumanne tarehe 2, ikibeba abiria zaidi ya 140 wa China waliorejea kutoka nchini Sudan. Kabla ya hapo, manowari za China zilizokuwa zikifanya kazi ya ulinzi katika Ghuba ya Aden zilikwenda Sudan na kuwachukua karibu...
  6. Webabu

    JamiiForums Tanzania Wasudan wajiuliza kuhamishwa raia wa nje kuachwa wao wapigane kuna hekima gani

    Mataifa karibu yote duniani yenye raia zao Sudan wanashindana kuwakimbiza nchini humo. Imekuwa kama ni siasa kuwahi kuwaondoa raia hao kwa mbinu tofauti. Nchi inayochelewa kufanya hivyo kama kwamba inahofia kuingia matatani kwa wananchi wake huko nyumbani. Katika kuondoka huko kila nchi imekuwa...
  7. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Sudan: Wanadiplomasia na raia wa kigeni waendelea kuhamishwa kwa kasi

    Idadi ya Nchi zinazowahamisha raia wake kutoka Sudan inazidi kuongezeka kutokana na mapigano yanayoendelea kuwania madaraka katika Jiji la Khartoum. Baadhi ya mataifa yanayoondoa raia wake ni Marekani, Uingereza, Ufaransa, Ujerumani, Italia, Hispania, Argentina, Colombia, Ireland, Portugal...
  8. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania UN: Raia 150 wauawa nchini DRC katika mapigano wiki mbili zilizopita

    Mapigano katika jimbo la mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo la Ituri yalisababisha vifo vya zaidi ya raia 150 katika wiki mbili zilizopita, Umoja wa mataifa ulisema Jumanne. Jimbo la Ituri na jimbo jirani yake la kusini la Kivu Kaskazini zimekumbwa na ongezeko la machafuko kati ya...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Sungusungu wadaiwa kumpiga raia Shinyanga

    SHINYANGA: Manka Mushi mwenye miaka 26 mkazi wa Ikoma, Kata ya Itilima wilayani Kishapu mkoani Shinyanga, amenusurika kifo baada ya kupigwa na Jeshi la Jadi Sungusungu kwa tuhuma za wizi wa Tsh 420,000. Akizungumza na Azam News katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Shinyanga alipolazwa akipatiwa...
  10. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Tanzania Lengai Ole Sabaya aachiwa Huru kwa sharti la kutofanya kosa la Jinai kwa kipindi cha mwaka mmoja

    Aliyewahi kuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro, Lengai Ole Sabaya, ambaye amekuwa akikabiliwa mashtaka saba ikiwemo uhujumu uchumi, matumizi mabaya ya madaraka na kuongoza genge la uhalifu leo Aprili 05, 2023 ameachiliwa huru. Taarifa zaidi zitakujia hapa hapa baadae. Chanzo: Jambo...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua utaratibu wa kufunga ndoa ya serikalini kati ya Mtanzania na raia wa nje

    Habari wataalamu, Ndugu yangu wa like anataka kufunga ndoa ya kiserikali na raia wa nje. Huyo raia Kwa sasa anaishi nchini kwake ila anataka kuja Kwa muda mfupi wafunge ndoa halafu arudi kwao kuendelea na shughuli zake. Naomba kujuzwa utaratibu.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna raia au kiongozi wa Serikali mweusi(asili ya Afrika) nchi za Urusi na China..?

    Maana siamini km hakuna watu weusi katika NCHI hizo km hawajaolewa au kuoa na wenyeji wa hizi nchi.. Huwa wanaishia wapi? Pia naamini wapo watu weusi wamezaliwa hizi nchi MIAKA na MIAKA na hawahi kuishi nchi nyingine kuishi zaidi ya hizi, Hawa nao huishia wapi? Yasije tokea Yale ya...
  13. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Marekani yaagiza Raia wake kuondoka nchini Urusi haraka

    Onyo limetolewa na Waziri wa Mambo ya Nje, Antony J. Blinken, muda mfupi baada ya #Russia kumshikilia Mwandishi wa Habari wa #WallStreetJournal ambaye ni raia wa Marekani akidaiwa kuwa ni Jasusi Serikali ya #Marekani imesema inamesiliana na WSJ kuhusu sakata hilo na tayari imeanza kutafuta njia...
  14. Yoda

    JamiiForums Tanzania Maandamano ya raia Ufaransa yanafanana na yale katika tawala za kiimla kama Iran?

    Wale wanapropoganda local anti-west mnaopiga yowe kulazimisha kufananisha maandamano yanayoendelea Ufaransa na Israel na yale ya Iran au Arab spring ni vyema mkaelewa tofauti hizi. 1. Mpaka sasa hakuna waandamanaji waliouwawa na serikali zao katika haya maandamano zaidi sana waandamanaji...
  15. Zakaria Maseke

    JamiiForums Tanzania Mahakama ya Rufaa inaenda kupitia upya usahihi wa haki ya raia wa kigeni kumiliki ardhi nchini Tanzania kwa njia ya kurithi

    Unakumbuka ile kesi ambayo Mahakama Kuu ya Tanzania iliamua kwamba Raia wa Kigeni wanaweza kumiliki ardhi nchini Tanzania kwa njia ya kurithi (where High Court ruled that non-citizen heirs could own land by way of inheritance)? Uamuzi ambao ulitolewa na Mahakama Kuu mwaka 2011. Lakini serikali...
  16. Heparin

    JamiiForums Tanzania Kama Mzazi/Mlezi, umechukua hatua zipi katika kumwandaa Mtoto kuwa Raia mwema Mtandaoni?

    Kuanzia hatua za awali katika ukuaji, Watoto wanapaswa kufundishwa Haki, Wajibu na Hatari zinazoweza kutokea wasipotumia vizuri Majukwaa ya Kimtandao. Huwajengea hali ya Uwajibikaji na Tabia Njema zinazowafanya kuwa Raia wema wawapo Mtandaoni. Kama Mzazi/Mlezi, umechukua hatua zipi katika...
  17. Q

    JamiiForums Tanzania Raia Mwema: Safari ya Halima Mdee na wenzake kuelekea ACT Wazalendo yaiva

    Gazeti la Raia Mwema linaandika, aliyekuwa mwanachama wa Chadema na Mwenyekiti wa BAWACHA na wenzake 18 wanatarajia kujiunga na ACT Wazalendo muda wowote kuanzaia sasa na watazunguka Tanzania nzima kukinadi. Yeye asema, Kwa hiyo tukitambua jambo jema linalofanywa na wenzetu, ni ‘kuinyatia’...
  18. BigTall

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Mara: Adaiwa kujinyonga kwa kamba za viatu katika Ofisi za Kijiji baada ya kukamatwa akidaiwa kutompeleka mtoto shule

    Kuna taarifa mbaya toka Kijiji cha Sota, Kata ya Tai ,Wilaya ya Rorya Mkoani Mara ambapo Afisa Mtendaji wa kijiji hicho na mgambo wake wanatuhumiwa kumpiga hadi kufa ndugu Justine Chagwa Oliech na baadae kutundika mwili wake ndani ya Ofisi ya Mtendaji ili ionekane kajinyonga mwenyewe kwa kamba...
  19. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mchina aingilia Miundombinu ya TCRA na kusababisha hasara Tsh. Milioni 221

    Raia wa China Li Naiyong amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu , akikabiliwa na kesi ya uhujumu uchumi yenye mashtaka sita likiwemo kuisababishia Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), hasara ya zaidi ya Sh221 milioni. Naiyong amesomewa mashtaka yake leo, Februari 15, 2023 na...
  20. G

    JamiiForums Tanzania Gazeti la Raia Mwema, kulikoni?

    Nimekuwa nikifuatilia kwa karibu, siku za karibuni ni kama limejiunga na machawa. Kila wiki lazima ziwepo habari za kusifia rais na Serikali yake kama vile wameshuka kutoka mbinguni. Hata mkongwe Generali ameangukia humo. Je, na utamu wa asali au kwa vile rais ni "mwenzetu"?
Back
Top Bottom