raia

The Australian Institute of Architects (officially as the Royal Australian Institute of Architects, abbreviated as RAIA) is a professional body for architects in Australia. The post-nominals of FRAIA (Fellow) and RAIA (Members and organisation abbreviation) continue to be used.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania tuitakayo: Elimu ya Fedha kwa Raia ni Muhimu kwa Maendeleo ya Taifa. Tuanze na watoto sasa

    TUANZE NA WATOTO ELIMU YA KIFEDHA Moja ya elimu muhimu sana tulio ikwepa ni elimu ya fedha, ambayo huenda ingetusaidia sana kwenye mipango yetu ya maisha ya kila siku na hivyo kusaidia taifa hili. Watanzania wengi hatuna elimu ya kifedha nikiwemo mimi ninaye andika hii story. tusichanganye...
  2. JamiiForums Tanzania Urusi: Rais Putin asaini amri ya kukamatwa kwa Mali za Raia wa Marekani Nchini Urusi pamoja na Kampuni ili kufidia Vikwazo vya Marekani dhidi ya Mosco

    Rais wa Russia Vladimir Putin amesaini amri inayoruhusu kukamata mali za Marekani, za raia wake na za kampuni zake ndani ya Russia, kama fidia kwa mali za Russia zilizoathiriwa na vikwazo vya mataifa ya Magharibi dhidi ya Moscow. Nchi za Magharibi zilizuia dola bilioni 300 za mali za kifedha za...
  3. JamiiForums Tanzania Kwanini 50% ya Raia wa Iran wamefurahia na hadi Kukufuru kabisa Kifo cha Rais wao Raisi?

    Nasubiria hizo sababu kwani hata Mimi GENTAMYCINE najiandaa kuwa Rais nchi moja hivyo sitaki Niwaudhi Wananchi.
  4. JamiiForums Tanzania JWTZ liwe na kitengo cha elimu kwa raia, kuna upotoshaji mkubwa kulihusu

    Wiki iliyopita katika mizunguko yangu ya kusaka noti nilipanda daladala iliyokatiza Kurasini, kuna mahali magari yakasimama kuruhusu wanajeshi wengi waliokuwa wakivuka barabara kwa makundi huku wakiimba nyimbo zao. Kama mnavyojua Watanzania ni watu wanaopenda na wazuri sana kuanzisha soga...
  5. JamiiForums Tanzania Tetesi: Kuna uhamishaji wa raia unakuja mapema mwaka 2026 kupisha wawekezaji, kaeni mkao

    Yele yanayo tokea Kilimanjaro Airport na kule Ngorongoro ni trela tu, full Move inakuja na kuna kulia na kuswaga meno mwaka 2026. Kinacho ngojwa kwa sasa ni uchaguzi upite kwanza kabla ya move kuanza. Maeneo yafuatayo watu watalia sana. 1. Longido kupisha MWarabu.Poli la Longido anapewa...
  6. JamiiForums Tanzania Shinyanga: Watumishi waliowagaragaza raia kwa kushindwa kulipa ushuru wasimamishwa kazi

    Kufuatia video inayosambaa mtandaoni ikionesha Mtu akipatiwa adhabu ya kugalagala chini pamoja na kuruka kichura baada ya kukaidi kulipa ushuru wa halmashauri kwa watumishi wanaohusika na ukusanyaji wa ushuru katika halmashauri ya Msalala wilayani Kahama Mkoani Shinyanga Mkuu wa wilaya ya Kahama...
  7. JamiiForums Tanzania Wazanzibari ni raia daraja la kwanza katika JMT

    Heshima kwenu, Sasa ni wazi kabisa katika Muungano wetu Wazanzibar wana uraia pacha (uRaia wa Zanzibar na uRaia wa JMT). Mosi Wazanzibar wana uRaia wa Zanzibar, kupitia sheria zao ambazo wamezipitisha katika BLW (Baraza la Wawakilishi) ambalo WaTanganyika hawaruhusiwi kutia mguu. Kupitia BLW...
  8. JamiiForums Tanzania Napendekeza dunia iwe na nchi moja tu ya ‘United states of Earth’ (USE). Raia wa kigeni ni yule wa kutoka sayari nyingine tu

    Kwahiyo Raia wote wa USE wanaweza kwenda popote pale duniani na kufanya biashara na kuoa na kufanya maisha yao bila vikwazo vya Visa nk. Utahitaji Visa labda kama unaenda sayari nyingine tofauti na dunia. Rais awe mmoja tu.., hapatakuwa na serikali mbili wala tatu.. ==========================...
  9. JamiiForums Tanzania Polisi kuwa wastaarabu hakuhalalishi kudogoshwa na raia

    Wakenya ni wajasiri, lakini wakati mwingine huvuka mpaka! Inawezekana Polisi walikosea kuingia kwenye gari lao bila kueleza sababu, lakini wasingepaswa kutumia maneno makali sana dhidi yao, mpaka kuwaita wapumbavu. Wangeenda kuwashtaki kwenye mamlaka zinazohusika, na si kuwadhalilisha kwa...
  10. JamiiForums Tanzania SoC04 TANZANIA MPYA: Taifa Lenye Raia Wanaojiamini Wenye Kuleta Maendeleo

    Source: Kitini cha sheria UTANGULIZI Hapa nchini, kumekuwa na mjadala wa muda mrefu kuhusu watanzania: je, ni wapole au waoga? Mjadala huu huibuka hasa pale ambapo raia hawaridhiki na vitendo vya mifumo ya utawala, kama vile suala la DP World, urasimu katika maofisi ya umma, na uonevu...
  11. JamiiForums Tanzania Polisi wengi wana utu kuliko raia wengi wanavyowachukulia

    Siikatai kuwa kuna Askari Polisi wasio waadilifu! Karibia kila taaluma kuna watu wasiozingatia maadili ya kazi/taaluma zao Kule nchini Marekani, Polisi mmoja alibaini kuwa leseni ya udereva wa kijana aliyemsimamisha ilikuwa imeisha wakati wake. Alipomwuliza sababu za kuendesha gari huku leseni...
  12. JamiiForums Tanzania Nigeria: Wanajeshi kushtakiwa kwa Kuua raia 85 Kimakosa

    Wanajeshi Wawili wanatarajiwa kushtakiwa kufuatia shambulizi la anga lililosababisha vifo vya raia 85, Desemba 3, 2023 katika jimbo la Kaduna, Kaskazini-Magharibi mwa nchi hiyo Shambulizi hilo linatajwa lilitokea wakati wa maadhimisho ya Kidini ambapo ndege ya Kijeshi isiyo na rubani iliyokuwa...
  13. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Raia wasimama kidete kwa polisi walioingia kwenye gari yao kwa mabavu wakitaka kufanya ukaguzi

    Tazama hapo kwenye video raia wanauliza kwanini umevamia gari yetu polisi hawana majibu, wanaulizwa tumefanya kosa gani hawana majibu, wanaambiwa watoe vitambulisho kuthibitisha kuwa wao ni polisi kweli wanasuasua tu, mwishowe wanaishia kuwaambia unajua mimi na nani. Ni dhahiri jamaa walikuwa...
  14. JamiiForums Tanzania DOKEZO Mkurugenzi City Casino Mbeya ambaye ni raia wa kigeni atishia kuua Waandishi wa Habari wanaofuatilia tuhuma za kumfanyia ukatili mke wa mtu

    Mnamo tarehe 8/04/2024 Majira ya saa 2 Usiku katika Kata ya Iyela Wilaya ya Mbeya Mjini inasadikika Mkurugenzi wa Kampuni ya City Casino raia wa Bulgaria anayeitwa Vasil Dosev Dimitrov, alimchukua kwa nguvu mfanyakazi wake wa kike jina linahifadhiwa na kwenda kumfanyia ukatili wa Kijinsia na...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Nini kifanyike kuondoa wachuuzi Raia wa Kigeni Kariakoo?

    Wachina, Wakongo, wake ya, wanigeria na wazambia wamekuwa wengi sana soko la Kariakoo. Wachina wanapoingia kwenye umachinga maana yake uchuuzi umekuwa kipaombele cha soko Tanzania. Lakini uchuuzi huu unawaondoa watanzania sokoni kwa sababu wachina wanakopeshwa bidhaa kutoka viwandani huku...
  16. JamiiForums Tanzania Pongezi sana kwa Jeshi la Uganda na mengineyo duniani yaige

    UPDF trains 177 Guinea Bissau soldiers in VIP and special operations tactics A total of 177 trainees from Guinea-Bissau, who underwent training in the Very Important Persons and Special Operations Tactics Course, passed out today at the Special Mission Training Centre in Butiaba, Bulisa...
  17. JamiiForums Tanzania Burkina Faso: Matangazo ya Redio ya BBC na VOA yafungwa kwa kuripoti Jeshi linavyodhalilisha Raia

    Burkina Faso suspended the BBC and Voice of America radio stations for their coverage of a report by Human Rights Watch on a mass killing of civilians carried out by the country’s armed forces. Burkina Faso’s communication spokesperson, Tonssira Myrian Corine Sanou, said late that Thursday that...
  18. JamiiForums Tanzania Kuna raia wa nje anataka kunitapeli

    Nimetumiwa ujmbe kwa njia ya Whatsapp kwa namba zinazo anzia na +62 ambazo hata sijui Ni za nchi gani na kunieleza kuwa yey Ni HR manager na anataka kunipa ajira ya kuweza kuingiza kias Cha shilingi laki moja had laki 5 kwa kufanya Kaz atakazo nipangia yeye Je huu si utapeli Je Kuna Rai...
  19. JamiiForums Tanzania Sierra Leone, Kampuni za Umeme hazijalipwa, zakata Umeme, Raia wabaki gizani kwa Siku 7

    Wananchi katika Mji Mkuu wa Freetown, na Miji mingine nchini humo wamelazimika kukaa gizani kwa Siku 7, baada ya Watoa huduma za Umeme kusitisha Huduma kutokana kutolipwa kwa muda mrefu Kampuni ya Kituruki ya Karpowership, inayotoa sehemu kubwa ya umeme wa Freetown, imesimamisha huduma zake...
  20. JamiiForums Tanzania Watanzania ndiyo raia waungawana zaidi Africa Mashariki?

    Huwa kuna kauli zinasemwa au zinaandikwa kwamba "...arudi kwao Rwanda au Burundi", "huyo atakuwa Mtusi", "Watanzania hatuko hivyo" n.k Kwa nini inadhaniwa watu wa Rwanda na Burundi kuwa wana roho mbaya sana kuliko Watanzania? Nini kinatufanya au kinaashira tuamini kwamba sisi ni watu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…