The Australian Institute of Architects (officially as the Royal Australian Institute of Architects, abbreviated as RAIA) is a professional body for architects in Australia. The post-nominals of FRAIA (Fellow) and RAIA (Members and organisation abbreviation) continue to be used.
Nairobi, Kenya
Serikali ya Kenya imetangaza kuanzishwa kwa operesheni ya kuwakamata na kuwachukulia hatua za kisheria raia wa kigeni ambao wako nchini bila kibali.
Ingawa inafahamika raia wa kiPakistani wanaruhusiwa kulipia viza wanapowasili uwanja wa ndege au mipakani ikiwa na maana...
Wastaafu wa jeshi hasa makomandoo wanapumzishwa tu kwa muujibu wa sheria lakini bado ni reserve army. Inchi ikiingia vitani wanaitwa wote na ukumbuke wanastaafu bado vijana, wenye nguvu na ujuzi wa kutosha.
Kwahiyo siye raia tunaposikitika kwanini makomandoo wapiganaji wa nchi yetu tena wengine...
Katika uchumi ardhi ni moja wapo ya rasilimali muhimu. Katika biashara na uwekezaji, ardhi ni kati ya rasilimali muhimu sana. Hivyo, umiliki wa rasilimali hii ni jambo la muhimu sana katika kutumia hii rasilimali muhimu. Juu au ndani ya rasilimali hii, rasilimali zingine huwekwa, za muda mfupi...
Mapokezi ya chanjo ya COVID19 nchin sio mazuri, mikoa mingi wana chanjo nyingi zimebaki na watu hawajitokezi kuchanja. Hali hii inataka nchi kujitafakari namna bora ya kuwashawishi wananchi ili wakubaliane na chanjo au waweke ulazima wa kupata chanjo hiyo kwa kuweka vikwazo mbalimbali kama...
Nyanja: Utawala Bora/Mahusiano
(siyo tukio halisi)
Mazoea ya kuwa na ulinzi mkali wa Askari wenye sare na bunduki kwenye ziara za viongozi na operesheni za kitaifa kama mitihani ya taifa na uchaguzi mkuu yamezua jambo nchi moja ya Afrika Mashariki iliyogundua mafuta na iliyo katikati ya...
Mada yangu iko wazi wazi.
Naomba wajuvi wa mambo ya haki na umiliki, bila mahaba ya kisiasa waniweke sawa. Hivi mali zilizopatikana kwakuwakata tozo na kodi na ushuru, raia wote wakat wa chama kimoja cha CCM leo hii kwa nini wazimiliki raia wa chama kimoja?
Hapa namaanisha majumba, viwanja...
Katika zama hizi tunapaswa kuwa makini Sana na ila za movu shetani kupitia akili za wanadamu wenye madaraka. Mahakama ya mafisadi katika kesi ya Mbowe na wenzake naona kuna Askari wamewahi ndani kukaa raia wasipate nafasi za kukaa, wanaulizwa wanadai Wana haki yakusikiliza kesi na raia...
Kama tunataka kupambana na machinga tujifunze kupambana na ulanguzi wa bidhaa unaofanywa na wananchi kwa KUSHIRIKIANA na raia wa Kigeni. Serikali inaona machinga wa Kariakoo na maeneo mengine wanakosea kupanga bidhaa barabarani lakini hakuna anayethubutu kukemea kundi la raia wa kigeni...
Misamaha ya kodi mara zote huwa ni kwa jili ya wawekezaji ambao misamaha hiyo husababisha mapato mengi kupotea na kwenda kumkaba asiye na kitu, ambaye ni mwananchi wa chini kutoa tozo, ushuru, ada nk. Sababu wanayosema ya kutoa msamaha wa kodi ni kuvutia uwekezaji, sababu ambayo ni mfu kwa kuwa...
Jamaa aliingizwa kwenye ugaidi. Baada ya kuhoji uhalali wa kuua raia katika balozi za Marekani Dar na Nairobi, ambapo waatu zaidi ya 200 waliuawa kwa sababu ya wamarekani 12, kiongozi wa Osama, alimwambia kwa itidaki yao ni pamoja na hakuna raia pale kunapokua na adui yao. Akasema "Hata hivyo...
Tunapoteza mabilioni kutembeza msafara wa rais nchi nzima kutangaza vivutio vyetu vya utalii!? Tumesahau kwamba utangazaji wa vivutio vya kitalii ni fani inayofanywa na wenye weledi mkubwa na pia watu wenye kukubalika duniani sio kwa madaraka yao bali kwa moral authority yao.
Ni vizuri rais...
Katika nchi hii,hasa kwa vile sasa hivi alikuwepo dikteta,na yule dikteta ameondoka,yule dikteta ndiye alikuwa analeta mshikamano,centrifugal force.d Sasa yule dikteta ameondoka,ipo centripetal force watu wanachukua silaha wanaingia barabarani wanaleta vitisho. Unaonaje mantiki yangu ilivyokuwa...
Jeshi la polisi ni chombo muhimu sana kwa ulinzi wa taifa lolote lile.
Hiki ni chombo amabacho kina jukumu la kulinda usalama wa raia na mali zao.
Lakini katika kulinda usalama wa raia na mali zao polisi wanatakiwa kutimiza majukumu yao kwa mujibu wa sheria ili kulinda haki za raia.
Raia nao...
Kuna jambo ambalo polisi ni kama hawataki kuligusia kabisa. Jamaa inaonekana wazi kabisa alikuwa na Tatizo na Polisi.
Huyu si gaidi. Ni mtu ambaye alikuwa anajua wa shughulike na watu gani. Na akawa yupo tayari kufa baada ya kutimiza yake nia.
Wananchi wengi wameonekana kuwa neutral katika...
Marekani imeomba msaada wa mashirika 6 ya ndege ya kibiashara kusaidia kusafirisha watu kutoka Afghanistan, ikiwa ni jitihada ya kuongeza kasi kuwaondoa Wamarekani na Waafghani walio hatarini Kabul.
Rais Joe Biden amesema Marekani imesafirisha watu wapatao 28,000 wiki iliyopita. Maelfu ya...
Sio mara moja wala mara mbili, watu wamekua wakiwalinganisha viongozi (Rais) na wazazi nyumbani. Kwa sasa Rais anaitwa mama na anayoyafanya kama vile afanyavyo kwa wanawe.
Imefika mahali hata mwenyewe anaona kama vile ni kweli anao wajibu wa kutenda vile atendavyo mama nyumbani.
Ni kweli kuwa...
Ni wakati mgumu sana kwa wafanya biashara; purchasing power ya wananchi imeshuka mno.
Pesa inaenda moja moja serikalini bila kupitia kwa wafanya biashara
Tozo ni laana kali Sana. Wachumi fanyani kazi yenu la sivyo kila kitu itasimama. Hakuna tena kuzungusha hela ni kulipa Tozo tu.
Wenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.