Netanyahu kwenye mazungumzo ya siri kuwahamishia raia wa Gaza Congo!

Tonny Blair ambaye alikuwa akihusishwa kuhusika kwenye hayo mazungumzo amekataa kuhusika…

 
Na vita vyote Palestina bado ina miji kizuri sana, waje Tanzania tuwape maeneo ya kujenga ili waboost uchumi wetu, vigezo na masharti kuzingatiwa.
1. Kuheshimu imani za wengine.
2. Kutokua na ubaguzi wowote
3. Kuheshimiana na kuvumiliana
Naomba serikali yetu pendwa iwape urai wa Tanzania, kule America kusini kuna wapalestina wengi hawana shida na mtu wengine ni wakristo na wengine Waislam, wamejaa Argentina, Brazil, Chile, Bolivia, Venezuela, achana na wanaharakati akina Rashida wa USA.
 
Wakiletwa Congo baada ya Miaka kumi watasema Kongo ni yao na Machifu akina Manuel 111.
Afonso.
Lukeni Iua Nimi etc walikuwa waislam,bora wabaki uko uko.
Basi kwa taarifa tu ao Maashkenazi au wanajiita wayahudi kipindi kipindi wanaanza movement zao miaka 1900+ lilitoka pendekezo toka serikali ya Uingereza kuwa watawapatia eneo Uganda hiyo ilikuwa mwaka 1903 na baadae mwaka 1905 wakata kuwapeleka Argentina! hii inaitwa (The Patagonian Plan) embu jaribu kuwaza kama ndiyo wangekuwa Uganda hapo! si tungeitwa sote ni magaidi? basi na wao wanajaribu kufanya kilekile walichofanyiwa wao miaka hiyo kwa kutafutiwa eneo hapo ndani ya Palestina mwaka 1919, na hatimae mwaka 1948 wakapewa Taifa rasmi.

Mwaka 1971 Uingereza ilipata mpango wa siri wa Israel kutaka akuwahamisha raia wote wa Gaza na kuwapeleka Misri katika Penusula ya Sinai, ila mpango uo uligonga mwamba baada ya Misri kukataa! na ndiyo maana ili vuguvugu la October 7 kuanza ulisikia maneno kama Misri inakataa kupokea wakimbizi toka Gaza! najua hukujiuliza kwanini basi jua sababu ni kwamba Israel anataka ashike eneo zima la Gaza na kuwafukuza wapalestina wote pale Gaza.
1704295436178.png
 
Wayahudi waliopo Israel ni almost milioni 9.

Wayahudi waliopo Marekani ni milion 7

Wapalestina waliopo Palestina ni milioni 4

Wapelistina waliopo Jordan ni milioni 3

Hizo ni takwimu "roughly" ukichuguza kwa hali halisi kipande cha nchi kinachogombewa ni cha wahamiaji sio Israel wala Palestina anayo haki kumzidi mwingine .

Walichoshindwa hawa watu ni kufanya mgawanyo sawa na kukubaliana kuishi kwa amani katika nchi waliyohamia wote.

Leo hii ukitafuta wayahudi halisi na wapalestina halisi kulingana na hizi dini za majahazi ambazo ndio zinachochea chuki na migogoro zaidi .

Utagundua jamii hizi halisi kwa jamii hizi mbili kilishapotea kabisa kizazi kilichopo ni cha mapokeo tu.
 
Kuna mazungumzo “ya siri” kati ya Netanyahu na Congo DRC ili kuweza kuwahamishia raia wa Gaza huko pamoja na nchi nyingine za Africa.

Kaazi kweli kweli daah!

Hilo la kuwahamisha Wapalestina kwenye mataifa mengine ili kutwaa ardhi yao limekuwa tamanio la wazayuni kwa muda tu,ila ukweli ni kuwa haiwezekani.
 
Basi kwa taarifa tu ao Maashkenazi au wanajiita wayahudi kipindi kipindi wanaanza movement zao miaka 1900+ lilitoka pendekezo toka serikali ya Uingereza kuwa watawapatia eneo Uganda hiyo ilikuwa mwaka 1903 na baadae mwaka 1905 wakata kuwapeleka Argentina! hii inaitwa (The Patagonian Plan) embu jaribu kuwaza ndiyo wangekuwa Uganda hapo! si tungeitwa sote ni magaidi? basi na wao wanajaribu kufanya kilekile walichofanyiwa wao miaka hiyo kwa kutafutiwa eneo hapo ndani ya Palestina mwaka 1919, na hatimae mwaka 1948 wakapewa Taifa rasmi.

Mwaka 1971 Uingereza ilipata mpango wa siri wa Israel kutaka akuwahamisha raia wote wa Gaza na kuwapeleka Misri katika Penusula ya Sinai, ila mpango uo uligonga mwamba baada ya Misri kukataa! na ndiyo maana ili vuguvugu la October 7 kuanza ulisikia maneno kama Misri inakataa kupokea wakimbizi toka Gaza! najua hukujiuliza kwanini basiu jua sababu ni kwamba Israel anataka ashike eneo zima la Gaza na kuwafukuza wapalestina wote pale Gaza.
View attachment 2861079

Bwana mdogo, ulichokiandika ninakijua, si kigeni kwangu na kupitia ulichokiandika nilihitimisha kuwa wayahudi ni waungwana.. Walikataa Uganda na Argentina nchi zenye hali ya hewa nzuri wakachagua mashariki kati.. Unajua ni kwanini?.Uganda na Argentina kwenye ardhi nzuri na hali ya hewa Safi si kwao.
Huuoni huo uungwana?.
Foolishness has no cure
Except in Jesus Christ.
 
Na vita vyote Palestina bado ina miji kizuri sana, waje Tanzania tuwape maeneo ya kujenga ili waboost uchumi wetu, vigezo na masharti kuzingatiwa.
1. Kuheshimu imani za wengine.
2. Kutokua na ubaguzi wowote
3. Kuheshimiana na kuvumiliana
Naomba serikali yetu pendwa iwape urai wa Tanzania, kule America kusini kuna wapalestina wengi hawana shida na mtu wengine ni wakristo na wengine Waislam, wamejaa Argentina, Brazil, Chile, Bolivia, Venezuela, achana na wanaharakati akina Rashida wa USA.
Huko huko.

Wameshindwa kukaa wao wanaofanana kwa asili waje kukaa huku afrika?!!

Iran iwasaidie wao si ndo wanasapoti nini kinashindikana kuwasaidia?

Waafrika tuna matatizo sana, hao watu si wakuishi nao huko huko hatutaki shida, tulizonazo ni nzito zaidi
 
Back
Top Bottom