Habari za mchana.
Naomba nirejee hicho kichwa hapo juu. Nimepitapita nakuona makanisa mengi ya kiutapeli wanajaa wanawake, wanawake ndo wamekua chambo za wachungaji katika kujivunia kipato, Sasa mi nauliza shida ni Nini?
Wanasayansi wanasema kwamba mwanamke anafanya maamuzi kutumia hisia na...