Mbona vitu vya electronics ni bei rahisi China? Kumbe mikoani tunapigwa hivi?

Prakatatumba abaabaabaa

JF-Expert Member
Aug 2, 2022
1,465
4,675
Leo nimeamua kuperuzi baada ya kupata business idea ya kufungua duka la electronics, phone and accecories.

Nikasema acha niiingie kwenye application ya Alibaba kuona bei za electronics huko china na huku bongo.

Screenshot_20240112-184205.png

Mfano hapo glass protector ni Usd 0.01 napo zingine ni mpaka Usd 0.15 sawa na tsh 375.

Nimefanya research kwa bidhaa nyingi sana mfano system charge, mic, flash, radio, tv, subwoofer, earphones, simu ndogo, charges, pasi, blender, na vifaa vyote vya electronics ambavyo nafikiria kuuza nimeona kwamba bei zake ziko chini saana, sijajua kuhusu shipping na Kodi ikifika Tanzania.

Huku mkoani charges,earphone, glass protector, system charge na vitu vingi bei yake inaanzia 5000/= wakati huko duniani Wanauza 300-700.

Nimegundua kwa mtaji wangu huu wa million 10 nikiagiza china hizo bidhaa kwa huku mkoani naweza Fanya kitu kikaonekana.
 
Kama glass protector ni 350, hapo kariakoo wenyewe Wanauza 700, Kodi unadhani itakua ni ngapi? Shipping na Kodi inaweza kua 150
Sasa mtu anazunguka mji mzima na kibegi chake kutafuta wateja wa protector, kabahatika sana kapata mteja mmoja, tena anambandikia bure, ili aweze kumudu walau mlo mmoja, unategemea akuuzie buku?
 
Kwahiyo wanaonufaika Sasa ni wafanya biashara wa jumla?
Umesema Kariakoo wanauza 700, sasa hapo muagizaji kapata pesa ya kula tu, labda faida 200 kama alieuza soda tu, yani bora uuze soda tu. Hata huyo anaekuuzia elfu 5 kumbuka kwa siku labda mdio kakubandikia wewe tu. Sasa ili anywe chai, ale mchana na usiku ale, atakuuzia buku sasa? Si atakufa njaa?
 
Leo nimeamua kuperuzi baada ya kupata business idea ya kufungua duka la electronics, phone and accecories.

Nikasema acha niiingie kwenye application ya Alibaba kuona bei za electronics huko china na huku bongo.

View attachment 2869953

Mfano hapo glass protector ni Usd 0.01 napo zingine ni mpaka Usd 0.15 sawa na tsh 375.

Nimefanya research kwa bidhaa nyingi sana mfano system charge, mic, flash, radio, tv, subwoofer, earphones, simu ndogo, charges, pasi, blender, na vifaa vyote vya electronics ambavyo nafikiria kuuza nimeona kwamba bei zake ziko chini saana, sijajua kuhusu shipping na Kodi ikifika Tanzania.

Huku mkoani charges,earphone, glass protector, system charge na vitu vingi bei yake inaanzia 5000/= wakati huko duniani Wanauza 300-700.

Nimegundua kwa mtaji wangu huu wa million 10 nikiagiza china hizo bidhaa kwa huku mkoani naweza Fanya kitu kikaonekana.
Kwani China ni Kariakoo?
 
M

Minimum order quantity inaweza kuwa elfu
 
Havisafiri kwa Mguu jumlisha Kodi ambaya yenyewe tu ni Mara mbili ya bei ya bidhaa uliyonunua.

Bado visafirishwe vikufikie wewe mkoani
 
Leo nimeamua kuperuzi baada ya kupata business idea ya kufungua duka la electronics, phone and accecories.

Nikasema acha niiingie kwenye application ya Alibaba kuona bei za electronics huko china na huku bongo.

View attachment 2869953

Mfano hapo glass protector ni Usd 0.01 napo zingine ni mpaka Usd 0.15 sawa na tsh 375.

Nimefanya research kwa bidhaa nyingi sana mfano system charge, mic, flash, radio, tv, subwoofer, earphones, simu ndogo, charges, pasi, blender, na vifaa vyote vya electronics ambavyo nafikiria kuuza nimeona kwamba bei zake ziko chini saana, sijajua kuhusu shipping na Kodi ikifika Tanzania.

Huku mkoani charges,earphone, glass protector, system charge na vitu vingi bei yake inaanzia 5000/= wakati huko duniani Wanauza 300-700.

Nimegundua kwa mtaji wangu huu wa million 10 nikiagiza china hizo bidhaa kwa huku mkoani naweza Fanya kitu kikaonekana.
Agiza protector kutoka china uje uweke kwenye cm yako
 
Back
Top Bottom