rafiki

Rafiki (Swahili for 'friend') is a 2018 Kenyan drama film directed by Wanuri Kahiu. Rafiki is the story of romance that grows between two young women, Kena and Ziki, amidst family and political pressures around LGBT rights in Kenya. The film had its international premiere in the Un Certain Regard section at the 2018 Cannes Film Festival; it was the first Kenyan film to be screened at the festival.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Wanawake wenye ulemavu kuwekewa miundombinu rafiki katika vyumba vya kujifungulia

    Serikali imeendelea kufanya maboresho ya miundombinu ya kutolea huduma za Afya kwa kuhakikisha kuwa Vituo vya kutolea huduma za afya vinawekewa miundombinu rafiki kwa wanawake wenye ulemavu kwa ajili ya kujifungulia. Hayo yamesemwa na Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel Bungeni, Aprili 14...
  2. JamiiForums Tanzania Mnaijeria anataka kumpora rafiki yangu girlfriend wake, Mbinu zipi zitumike kumshinda mgeni huyu uwanja wa nyumbani?

    Kuna dogo ana miaka 28 bado hajaoa ila ana girlfriend wake ambae wamejuana takribani miezi minne hivi bila tatizo, kaja kwangu kaka yake aje nimpe ushauri hasa ukizingatia binafsi nimeshaoa na nina familia tayari, pia kwenye mambo ya mapenzi nina uzoefu si haba. Huyo girlfend wake ni mrembo wa...
  3. JamiiForums Tanzania Rafiki Mnafiki jihadhari nae

    1.Chunga usilie chozi mbele yake 2. Akikutoa mtaroni ukiwa hospital atakusahau 3. Ukiwa huna pesa au hupati maendeleo kwake furaha 4. Hata mchumba, mpenzi, mkeo atamla au atamtaka. 5. Majungu atakusema sana 6. Chake chake Chako chenu 7. Ukipata wewe umebahatisha Yeye akipata anastahili...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Rafiki yangu amefanya ukatili wa the West, amempiga Sanctions mchepuko wake Kama Putin, anahaha

    Vita vya Urusi na Ukraine vimemsaidia sana rafiki yangu kuhandle mchepuko wake uliokuwa unakidomo Domo unaotaka kuharibu ndoa yake. Alifanyiwa kila kitu na rafiki yangu huyu mchepuko mpaka kanyumba na kagari akapewa, Ila ameleta shida katika ndoa ya jamaa Sasa amepigwa vikwazo vikali...
  5. JamiiForums Tanzania Putin alitia saini amri juu ya hatua za kulipiza visasi kwa nchi zisizo rafiki

    Rais wa Urusi Vladimir Putin mnamo Jumatatu, Aprili 4, alitia saini amri juu ya hatua za kulipiza visasi kwa nchi zisizo rafiki. Hati hiyo ilichapishwa kwenye tovuti rasmi ya mtandao ya habari za kisheria. Hati hiyo ilitiwa saini "kulingana na hitaji la kuchukua hatua za haraka katika...
  6. JamiiForums Tanzania Kama ni wewe utaamua nini kwa huyu rafiki yako?

    Mambo vipi wana MMU, baada ya mishe mishe za kutwa nzima tufurahi na kucheka wote tuongeze siku za kuishi, Imagine upo town kwenye harakati zako ndani ya gari yako IST unaelekea kwako mara paap unakutana na rafiki yako anakuomba lift umsogeze aendako, Mkiwa njiani mnakutana na gari aina ya...
  7. JamiiForums Tanzania Leo tulifafanue Kiundani neno "RAFIKI"....

    Hakuna Asiyejua hili Neno kila mtu analifahamu na tunalitumia Kila siku na Tunaishi Nalo na Lipo kwenye maisha yetu ya Kila siku. Ulishajiuliza ni kwa nini Facebook wamelichagua neno hili na si Vinginevyo(Yaani Neno "Add Friends") Kwa nn wasiseme add sister,Add mumy add Uncle n.k? Hii ina...
  8. JamiiForums Tanzania Raia wa nchi zisizo rafiki na Urusi kuzuiwa kuingia nchini humo

    Moscow inaandaa hatua za kuzuia kuingia nchini Urusi kwa raia wa nchi "zisizo rafiki", Waziri wa Mambo ya Nje wa Urusi Sergei Lavrov amesema. "Rasimu ya amri ya rais inaandaliwa kuhusu hatua za visa ili kulipiza kisasi katika kukabiliana na vitendo visivyo vya kirafiki vya mataifa kadhaa ya...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Huyu ndiye rafiki na kipenzi cha maisha yangu

    Sina hela, sina kazi, ma HR wa humu JF nao hawataki kutushika mikono wenzao ili nasi tuwe binadamu kama wao,yani kwa kifupi ni fully vurugu tu. Nimeamua huyu jamaa ndiyo awe rafiki kipenzi wa maisha yangu. Asante
  10. JamiiForums Tanzania Msaidieni rafiki yangu achague lipi kati ya Ndoa au Scholarship (Elimu)?

    Ni rafiki yangu wa kazi, tumpe Jina la John (yupo Halmashauri jirani). Amenipigia simu, na amenieleza jambo fulani nimeshindwa kumshauri. Sababu ya kushindwa kumshauri ni kwamba; mi ningemjibu fasta kuwa PIGA CHINI NDOA fata SHULE ila "the problem is" alishani tahadharisha nisiwe "bias" katika...
  11. JamiiForums Tanzania Ninatafuta rafiki wa kike Dodoma. Nimekuwa mpweke sana

    Mimi ni kijana wa makamo, nimehamishiwa Dodoma kikazi, sasa nimejikuta nipo huku camp nje kabisa ya mji, nimekuwa mpweke sana maana huku tupo midume mitupu mpaka, Na ninavyojiona si muda mrefu nitaanza kuchekacheka mwenyewe hovyo maana nimekosa huduma kwa muda mrefu(jocking) naomba mdada...
  12. JamiiForums Tanzania Huyu Rafiki Yuko Wapi

    We misss her
  13. JamiiForums Tanzania Augustine Mrema ni shujaa wa taifa asiyependa ufisadi kama ilivyokuwa kwa rafiki yake hayati Magufuli

    Ufisida ni janga la taifa letu na ni viongozi wachache ambao hujitoa kupinga ufisadi kwa moyo wa dhati. Lyatonga Mrema alipinga ufisadi kwa maisha yake yote akiwa mtumishi wa umma mpaka sasa akiwa mzee. Nakumbuka kupewa stori na wazee wa Wanaomfahamu Mrema kupambana na walanguzi na maadui wa...
  14. JamiiForums Tanzania Mkasa: Rafiki yangu alipogeuka Yuda Iskariote

    Leo nimekumbuka mkasa huu nikawa nacheka sana. Ingawa imepita miaka karibia mitano hivi lakini ntajitahidi kusimulia tukio jinsi lilivokua pale KGB ilikupokumbana na ujasusi wa CIA. Moto uliwaka. NB; Majina ntakayotumia humu sio halisi ili kuficha ID yangu. Usiku mmoja nikiwa katika harakati...
  15. JamiiForums Tanzania Hivi mtu unaanzaje kumchukulia rafiki yako mchumba wake?

    Hivi huwa mnaanzaje? Hata hamuwaonei huruma rafiki zenu? Waachie watu wa mbali wamchukulie mchumba wake lakini sio wewe unaemfahamu vizuri tu rafiki yako. Unawajua vizuri na umeshuhudia mapenzi yao mara nyingi tu halafu leo bila aibu unaenda kuwatenganisha kwa kitu ambacho hata hujui kama...
  16. JamiiForums Tanzania Hasira ya kumfumania mume wake na rafiki yake wa karibu mke aamua kuchoma pesa

  17. M

    JamiiForums Tanzania Rafiki yangu ameachwa na Mwanamke aliyepanga kujitambulisha kwao na kumuoa

    Huyu ni rafiki yangu Nimesoma nae chuo, hivi majuzi kaniambia ya kuwa Mchumba wake aliyepo masomoni Chuo fulani Alimwambia Anataka akajitambulishe Ili awe mke wake mtarajiwa Rasmi. Lakini Bidada ghafla na wakati huo huo akamtumia Rariki yangu Ujumbe huu ufuatao... "Am sorry Dear I know una nia...
  18. JamiiForums Tanzania Nimepewa zawadi ya Condom na rafiki yangu wa kike

    Poleni na majukumu wakuu. Nipo kwenye mahusiano ya kirafiki na binti mmoja hivi kwa miaka mitatu sasa. Ni binti ambaye tunaelewana sana karibu kila kitu. Tunasaidiana, tunashauriana, tunapendana, tunaheshimiana sana kama marafiki, lakini zaidi tunaongea kuhusu kila kitu. Kilichonifanya...
  19. C

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri wa namna ya kupata haki kuhusu hii simu ya wizi iliyopo polisi

    Habari Wana jukwaa... Kuna rafiki yangu kauziwa simu ya wizi yeye alinunua huko Makumbusho polisi wameitrack wakamkamata ila akawapeleka aliponunua wakamkamata pia aliyemuuzia wakaenda kumweka ndani ili aseme kaipata wapi ndipo akawapa number za aliyemuuzia. Wakamfatilia wakajua yupo Mtwara...
  20. JamiiForums Tanzania Rafiki yangu karudi kutoka Uingereza, nimechoka dharau zake

    Habari Wakuu! Kukaa miaka mitano tuu ndio ujifanye Mzungu? Kukaa miaka mitano tuu ndio ushindwe kuongea Kiswahili bila kuchanganya na kimombo? Ati mjanja! Ati anajiita Civilized, Mpuuzi tuu! Kitu kidogo utasikia; yaani wabongo hampo civilized! Mara ataje Ridiculous! Na msamiati mingine...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…