rafiki

Rafiki (Swahili for 'friend') is a 2018 Kenyan drama film directed by Wanuri Kahiu. Rafiki is the story of romance that grows between two young women, Kena and Ziki, amidst family and political pressures around LGBT rights in Kenya. The film had its international premiere in the Un Certain Regard section at the 2018 Cannes Film Festival; it was the first Kenyan film to be screened at the festival.

View More On Wikipedia.org
  1. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri kumuokoa rafiki yangu, Huu ukarimu wa baba mwenye nyumba umepitiliza, nahisi kamzalisha mke wa rafiki.

    Nahisi baba mwenye nyumba yupo hatua 5 mbele zaidi kuliko rafiki yangu. Ipo hivi, rafiki yangu kapangisha kanyumba kadogo anaishi na mke wake, kwenye kiwanja kuna nyumba ndogo mbili, nyumba nyingine kuna mpangaji mwengine ila hua anasafiri sana. sasa mke wa rafiki yangu alijifungua kama wiki 2...
  2. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kama bado hujasikiliza hili Rhumba Kali 'Se Yo' la Fally Ipupa Wewe siyo Rafiki yangu hapa Jamiiforums

    Kwa Rhumba hili Kali 'Se Yo' lake Fally Ipupa 'Decaprio" itoshe tu kisema Shikamoo Fally Ipupa popote pale ulipo. Mpinzani wako mkubwa Ferre Gola ana Kazi ya ziada ya Kukujibu kwani ni Wimbo mtamu, mzuri, umepangika na umeutendea haki na Sauti yako ya Dhahabu.
  3. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri, nyumbani kwangu nifuge mbwa au paka kama pet?

    Nataka nifuge pet ikiwa ni kama kiumbe alieumbwa kutoka kwa muumba alietuumba hata sisi wanadamu na vingine vilivyomo ndani ya dunia. Nao ni viumbe kama sisi wala si wa kuchukiwa, kunyanyaswa, kudharauliwa, n.k. kufanya matendo haya mabaya kwao ni sawa na kumdharau muumba aliyewaumba...
  4. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Rafiki yangu Kamugisha na Biijampora no. 2

    Rafiki yangu wa siku nyingi Salvanus Kamugisha ni mtu tuliyeshibana. Licha ya sote kutoka kanda ya ziwa lakini misimamo yetu kimaisha ilikuwa inalingana. Kwa miaka mingi tatizo la Salva lilikuwa langu na la kwangu lake. Hivyo basi jana jumamosi jioni nilipomkuta anakata bia mbimbili za mnyama...
  5. Mtu Asiyejulikana

    JamiiForums Tanzania Wadogo na rafiki zangu njooni hapa tuambiane ukweli

    Unajua miaka ya nyuma mambo kwa asilimia kubwa hayakuwa hivi yalivyo. Mimi nakumbuka kipindi hicho cha nyuma hata kupata watoto wazuri ilikuwa tunatumia mbinu za kiume hasa. Kama ni mikoani huko ilikuwa wakati mwingine inabidi ukimbize binti kwenye vichaka na uwe na utaalam wa kumpigwa "Ngwala"...
  6. Choosen85

    JamiiForums Tanzania Simuelewi huyu rafiki yangu

    Wakuu mmebarikiwa. Iko hivi, kuna kazi nliipata mikoa ya Kanda ya Ziwa na nlitegemea kupata pesa nyingi sana ila kwa bahati mbaya mambo yamekwenda tofauti kabisa. Wakati nafika huku nilikutana na rafiki yangu ni mchungaji nilimuahidi nikipata pesa hizo nitamsupport kifedha kwenye huduma ya...
  7. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Najuta kumpa ndugu yangu PS (playstation), kawa kama Teja

    Kawa kama zombi Niliwahi kununua playstation Kwa mwanafunzi flan hivi wa chuoni alikuwa anadaiwa ada na hana pesa, aliniuzia hio mashine Kwa laki 3 na nusu, lengo langu lilikuwa niiuze hata kwa laki 5 maana hii mashine inauzwa takribani laki 8 madukani, kazi zilinitinga nikawa nimeiweka tu...
  8. THE FIRST BORN

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi kupendwa kimapenzi na mpenzi wa rafiki yako wa damudamu?

    Habari wana jukwaa. Nataka kuuliza kitu hapa maana najua Dunia ina vitu vingi na kila kinachotokea siyo kipya, ujue kimeshatokea sehemu. Nataka kupata uzoefu kwenye hili. Je, ilishatokea ukapendwa na mpenzi wa rafiki yako, yaani yule rafiki yako ni damudamu? Kama ilishatokea ulifanya vipi...
  9. Equation x

    JamiiForums Tanzania Rafiki wa kweli wa tajiri ni masikini

    Wengi huwa tunakosea sana, hasa pale kipato kinapo ongezeka huwa tunawaacha wale wa tabaka la chini tuliokuwa nao pamoja, na kuambatana na tabaka la juu au linaloendana na hadhi yako kwa wakati ule. Kwa ujumla, yule watabaka lako hawezi kamwe kuwa rafiki yako zaidi ya kuwa mshindani wako. Na...
  10. Webabu

    JamiiForums Tanzania Japan alipigwa kwa nyuklia lakini ni rafiki mkubwa wa Marekani. Ni kwa sababu gani?

    Katika vita vya pili vya dunia 1945 Japan ilipigwa kwa silaha mbaya ya nyulkia na Marekani na ikabidi isalimu amri. Silaha hiyo ndiyo ilikuwa mara ya mwanzo kutumika kwenye visiwa vyake vya Hiroshima na Nagasaki. Watu wake wengi kwa mamia walikufa papo hapo na athari za vita hivyo bado...
  11. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Nitamjuza vipi rafiki yangu bila kumkwaza, kwamba akivua viatu chumba kinajaa harufu mbaya?

    Nina rafiki yangu wa muda mrefu tu na wala hatujawahi kuwa na tatizo, isipokuwa tu akivua viatu yaani chumba huwa kinajaa harufu kali. Ila yeye wala haonagi noma! Nitawezaje kumjuza bila kumkwaza?
  12. Mamour Ameer

    JamiiForums Tanzania Natafuta rafiki wakike

    Kama kilivyoeleza kichwa Cha habari hapo .. mm nimkazi wa Arusha kazi Tourguide natafuta rafiki wakike mwenye umri kuanzia miaka 20-26 kwa ajili ya kubadilishana mawazo na kufahamiana
  13. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Ameleta dharau na maringo nimwembia naenda kumtongoza rafiki yake, amenywea na kawa mpole

    Niligombana na huyu mwanamke na akawa amechukia mimi nikawa nabembeleza turudiane akawa analeta dharau. Sasa leo akaleta hasira kuwa kila mara unamsifia rafiki yangu kuwa ametulia basi nenda kamchukue. Nikamwambia naenda. Ghafla nimkarushia namba ya rafiki yake. Sasa hivi anaongea na kwikwi...
  14. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Waomba wauzike mwili wa rafiki yao anayedaiwa kujinyonga kituo cha polisi

    Kwa nini wasipewe mwili wa rafiki yao kama ndugu hawajatokea? ======= Siku 12 zimepita huku mwili wa fundi ujenzi Gaston Moshi (25) ukiwa mochwari ya Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma kutokana na ndugu zake kutojitokeza, huku marafiki wakiiomba hospitali kuwakabidhi wakauzike. Kifo cha...
  15. Curtis De Mi Amor

    JamiiForums Tanzania Nalazimika kuwa adui wa rafiki wa rafiki yangu

    Iko hivi, nina mshkaji wangu peace sana tunaelewana mtu wa kazi kazi. Nayeye ana mshkaji wake sasa ilitokea wakagombana kisa mikopo maana mwana alienda kopa na mwana ndio alimdhamini. Sasa kwenye marejesho mwana kala chocho, hivyo msala ikabidi mshkaji ausolve ukaisha. Ghafla mwamba huyu hapa...
  16. Ali Nassor Px

    JamiiForums Tanzania Rafiki yangu alijiua kisa mapenzi

    Mara nyingi sana huwa nikisikiliza nyimbo ya BUSHOKE na JULIANA KANYOMOZI " usiende mbali ". Huwa anamkumbuka rafiki yangu JAMES mapenzi tu ndo kilikuwa chanzo cha kifo chake. Jamani tunatakiwa tujue maisha mafupi sana haya lakini kuna mtu anaweza akayafanya yakawa maisha mafupi zaidi kwako Au...
  17. Kijakazi

    JamiiForums Tanzania Mzungu hana rafiki, kapindua meza Kenya ipo siku atapindua meza Tanzania!

    Hakuna mtu alikuwa karibu na mzungu kama Raila, hakuna aliyekuwa ana ushawishi mbele ya mzungu hapa Afrika kama Raila mpaka hata walisema Obama ni cousin yake, lakini siku imefika na mzungu kapindua meza na Raila hatakiwi tena. Najua mtasema Ruto kashinda kidemokrasia lakini ukweli ni kwamba...
  18. J

    JamiiForums Tanzania SoC02 Hii ni sauti ya dada yako, rafiki yako naitwa Judith Kaunda, karibu unisikilize

    Wakati wa balehe kuna changamoto nyingi sana, binafsi nimekumbana na mengi. Mengine yakinisibu moja kwa moja, mengine nikijionea kwa macho, kati ya mengi niliyoona kwa macho, lilinitisha lile la mapenzi ya jinsia moja. Kama uliipita vyema balehe yako, basi na tumshukuru Mungu. Balehe nd’o ujana...
  19. The Spirit of Tanzania

    JamiiForums Tanzania Ahadi za uongo za marafiki

    Amani iwe kwenu. Ninapitia kipindi cha kuumia sana. Hivi rafiki mnayeheshimiana akikuahidi atakusaidia kutatua tatizo lako la kipesa halafu baadae hapokei simu wala hajibu SMS zako na pesa hakusaidii kama alivyoahidi, ila unaona anaweka status tu WhatsApp huwa mnachukua hatua gani wakuu...
  20. Frumence M Kyauke

    JamiiForums Tanzania Mke wa rafiki yangu anavaa mavazi ya kiume

    Rafiki yangu tuliyesoma wote yeye yupo kwenye mahusiano na mwanamke kutoka Arusha ingawa bado hawaja tambulishana kwa ndugu na wazazi mpaka sasa. Rafiki yangu amekuwa akiniomba ushauri sijui namsaidiaje, anadai kuwa anampenda sana huyo binti nae binti halikadhalika, tatizo kubwa ni kwamba huyo...
Back
Top Bottom