rafiki

Rafiki (Swahili for 'friend') is a 2018 Kenyan drama film directed by Wanuri Kahiu. Rafiki is the story of romance that grows between two young women, Kena and Ziki, amidst family and political pressures around LGBT rights in Kenya. The film had its international premiere in the Un Certain Regard section at the 2018 Cannes Film Festival; it was the first Kenyan film to be screened at the festival.

View More On Wikipedia.org
  1. Mpinzire

    JamiiForums Tanzania Yaliyonikuta baada ya kumsaidia rafiki yangu mwenye degree

    Stori yangu itaanzia pale ambapo tulikutana mwaka 2017! ilikuwa kiwanda cha Pepsi- Vingunguti Jijini Dar es Salaam mwaka 2017 wote tulikuwa vibarua na ndipo tulifahamiana hapo, Mwaka 2018 huyu jamaa aliomba mkopo na kupata chuo Udom Jijini Dodoma. Alisoma mwaka wa kwanza, nakumbuka akiwa...
  2. Mr George Francis

    JamiiForums Tanzania Ahsante sana rafiki yangu wa mtandaoni

    "Ahsante sana RAFIKI YANGU wa mtandaoni." Hii ni special kwako wewe rafiki yangu wa mtandaoni. Rafiki yangu ambae mitandao ya kijamii imetufanya tuwe karibu zaidi kama watu tuliopitia historia moja ya maisha. Tangeni, Mzumbe - Morogoro ndipo nilipozaliwa na kusoma shule ya msingi kabla ya...
  3. Binti Mzalendo

    JamiiForums Tanzania Natafuta rafiki wa kiume

    Nina miaka 26, Mweusi. Mrefu kiasi. Nahitaji rafiki wa kiume (kaka). umri 28-32. Elimu yake -Awe amesomea Afya. Pia awe mweusi na mrefu. Awe mcheshi na mcha Mungu. Awe hajaoa. Mwenye sifa Ani PM
  4. Top gun maverick

    JamiiForums Tanzania Unajisikiaje ukikutana na Rafiki zako mliosoma wote kipindi hicho, wako mbali sana kimaisha

    Habari za Jumapili wanajukwaa,Pia poleni na majukumu ya kutafuta mkate wa kila siku.Niende kwenye mada husika hapo juu hivi huwa unajisikiaje hasa pale unapokutana na rafiki zako mliosoma wote kipindi hicho wako mbali sana kimaisha kuliko wewe? Kwa Upande wangu hii imenikuta wakati natoka...
  5. J

    JamiiForums Tanzania SoC02 Afya za watanzania ni rafiki kwa maendeleo ya nchi?

    Ndugu zangu nawasalimu kwa lugha adhimu kabisa ya kiswahili...... Najua wengi wetu hususani vijana wenzangu kila mara tunapoianza siku mpya kwetu ni kama kuingia vitani kupambania ukombozi wa taifa letu, haijalishi umeajiriwa au umejiajiri. Mtu yoyote anayejihughulisha na shughuli halali ni...
  6. Abel Lusinde

    JamiiForums Tanzania SoC02 Rafiki anayeweza kuwa adui wa elimu ya Mtoto wako

    RAFIKI ANAYEWEZA KUWA ADUI WA ELIMU YA MTOTO WAKO Utangulizi Mada hii inaangazia teknolojia na matumizi ya vifaa vya kielekroniki vinavyoweza kutumiwa na wanafunzi ama kufundishiwa au kujifunzia wao wenyewe. Teknolojia inazidi kuhitajika na kutumiwa angalau katika baadhi ya ngazi za kielimu...
  7. Zero Conscious

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi kutengwa na rafiki yako wa karibu baada ya yeye kufanikiwa? Toa kisa chako ilikuwaje

    Wakuu habari za wakati huu! Nina Imani mu wazima wa afya na mnaendelea kupambana na maisha ya Kila siku. Mungu atusaidie sana. Kama ambavyo title inajieleza, Mimi ni mtu ambae sina marafiki wengi, si kwakuwa ninajiskia sana, hapana ila ni aina ya watu ambao ninaweza kusema ni introvert. Nina...
  8. Unique Flower

    JamiiForums Tanzania Na rafiki yangu matata sijui mnae huko kwenu

    Leo nimemkumbuka my rafiki yangu sio kipenzi kwa sababu alikuwa anakera sana. 1. Anaweza kuvaa brazia zako . 2. Kuvaa nguo zako hataka kama ni special kiasi gani . Naakiharibu kitu anasema kwani si bahati mbaya unakasirika nini? Halafu hupenda sana kulalamika bila sababu. 3. Hapendi wewe ukiwa...
  9. Mwalimu Demitria Gibure

    JamiiForums Tanzania SoC02 Tabasamu na Mwalimu

    Mwalimu ni mwanajamii mwenye thamani kubwa sana katika ujenzi wowote wa jamii yenye mtazamo wa maendeleo endelevu. Kuna walimu rasmi yaaani walimu waliopitia katika mfumo maalumu wa mafunzo fulani ili wapate ujuzi wa kuhaulisha maarifa kwa kizazi fulani. Pia kuna waalimu wasio rasmi, hawa ni...
  10. Google Diggers

    JamiiForums Tanzania Kuna maisha ya ajabu Sana. Leo nimetoka na rafiki. Tukala bia, nikaambulia kupigwa na kung'atwa. Bajaji musiwaamini

    Dereva mmoja Leo saa nne usiku alinitoa mitaa ya marambamawili kwenda tabata. Tukiwa safarini demu akaanza kushuka baada ya kufika kwao..nikaendelea safari. Tukiwa safarini tukapishana maneno na dereva m. Oooh Malaya na maneno kibao. Nikakaribia nyumbn Kwangu kabla ya kunishusha tukabishana...
  11. T

    JamiiForums Tanzania Kuwa makini na marafiki, Bilionea Elon Musk atafuna mke wa rafiki yake wa muda mrefu Bw. Sergey Brin muanzilishi mwenza wa Google

    Kwa mpenzi wako au mke wako kua makini sana na marafiki, Bilionea Elon Musk atafuna mke wa mshikaji wake Bwana Sergey Brin ambae pia ni muanzilishi mwenza wa Google. Baada ya Elon Musk kumtafuna mke wa Brin urafiki wao wa muda mrefu ukafa baada ya Brin kujua Elon anamla mke wake tena anampiga...
  12. E

    JamiiForums Tanzania Hivi kati ya Muongo, Mnafiki na Mmbea ni rafiki yupi wa Kumuogopa Zaidi?

    Habari nna rafiki zangu watatu ila nimekuja kugundua mmoja ni muongo sana ,mwingine ni mnafiki na wa mwisho ni Mmbea. Kati ya hawa ni yupi niwe nae makini sana?
  13. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Video: Dogo wa miaka 15 ampeleka rafiki yake kwa mganga ili amtoe kafara ya utajiri

    Tena kafara yenyewe sio kama hizi zenu za kiswahili ya kwenda kwa mganga akwambie umtoe ndugu yako kafara ukikubali ndugu yako anaumwa tumbo anakufa la hasha ila ni kafara kama ile ya kumtoa kondoo wa sadaka yani mtolewa kafara anachinjwa damu yake ina mwagwa kwenye madhabahu ya mganga husika...
  14. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Wanawake mnaoleta wenzenu tukiwa out mjitathmini! ukaribu mnaotujengea nao hutupa majaribu makubwa ya kuanzisha nao mahusiano ya kimapenzi

    Wanawake mjiangalie sana, mjitathmini tafadhali, Unaambiwa jumamosi ujiandae mtoke out, wewe unaleta rafiki zako tena wengine ni pisi kali kuzidi wewe.. Wanamuona mwanaume wako anavyowalipia vinywaji, vyakula, wanaona ana ndinga kali, jinsi anavyoweza kutunza mwanake afurahi, n.k Hivi...
  15. I

    JamiiForums Tanzania Desperation ya kupata first job ilivyomponza rafiki angu

    Rafiki angu alihangaika kwa takriban miezi 6 tokea amalize chuo kupata kazi yake ya kwanza. Ila alijiharibia kitu kimoja na yote hii ni kwa sababu ya desperation ya kupata kazi yoyote ilimradi imuingizie kipato. Jamaa aliitwa interview na international NGO moja hapa Bongo. Akaulizwa lile swali...
  16. Protector

    JamiiForums Tanzania Rafiki yako akimtongoza mke wako umfanye nini?

    Nimeoa naishi na mke wangu vizuri tu japo changamoto hazikosekani. Nilikuwa nafanya kazi ofisi moja na rafiki yangu ambaye tulikutana kwenye interview na kuajiriwa pamoja. Nilioa kabla yeye hajaoa, akawa amezoea sana kuja kwangu na shemeji nyingi hata akikuta msosi umeisha atapikiwa. Miezi...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Nini kilitokea baada ya kumtongoza mke au demu wa rafiki yako akakukatalia?

    Hii kitu sitaisahau baada yakumtongoza demu wa rafiki yangu halafu akachomoa Dah! Nilihisi kuvurugwa baada ya kuangalia urafiki wangu na jamaa ulivyo niliishi maisha ya hofu kwa wiki nzima hofu ikaanza kuisha mdogo mdogo baada ya demu kujiongeza na kukaa kimya
  18. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Rais Dkt. Hussein Ali Mwinyi: Tanzania kuboresha mazingira rafiki ya Biashara nchini

    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi: Tanzania kuboresha mazingira rafiki ya Biashara nchini Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema Tanzania imechukua hatua mbalimbali kuboresha mazingira rafiki...
  19. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Buriani rafiki yangu wa udogoni, Ibrahim Mussa Panzi

    BURIANI RAFIKI YANGU WA UDOGONI IBRAHIM MUSSA PAZI Nimesoma taarifa ya kifo cha Ibrahim Mussa Pazi nikiwa katikati ya Bahari ya Hindi nikitokea Zanzibar kurejea Dar es Salaam. Ibrahim tumekuwa sote udogoni tukicheza mpira Saigon. Huu ni mwaka wa 1966 umri wetu haujapita Miaka 15. Leo...
  20. BM X6

    JamiiForums Tanzania Rafiki/ Ndugu zenu wanajua Kazi/ Biashara mnazozifanya?

    Jana nilishinda nyumbani siku nzima, sikuwa kazi nilijipea off, Sasa kabla siku haijaisha alikuja beshte yangu katika story nikamuelezea Biashara ambazo nataka kufanya ili anishauri. Alinipa Ushauri wa kutosha lakini ushauri mkubwa aliyoniambia ni huu[emoji1484] nanukuu "Unajua kuna Baraka...
Back
Top Bottom