Raia wa nchi zisizo rafiki na Urusi kuzuiwa kuingia nchini humo

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
5,005
9,872
Moscow inaandaa hatua za kuzuia kuingia nchini Urusi kwa raia wa nchi "zisizo rafiki", Waziri wa Mambo ya Nje wa Urusi Sergei Lavrov amesema.

"Rasimu ya amri ya rais inaandaliwa kuhusu hatua za visa ili kulipiza kisasi katika kukabiliana na vitendo visivyo vya kirafiki vya mataifa kadhaa ya kigeni," alisema katika hotuba ya televisheni.

Shirika la habari la serikali Tass lilimnukuu akisema hatua hizo "zitajibu hatua zisizo za kirafiki za Marekani na washirika wake", ikiwa ni pamoja na "vikwazo visivyo halali" na "maamuzi ambayo yanakiuka haki za raia wa Urusi na vyombo vya kisheria".

Haijabainishwa hatua hizo zitatumika kwa nchi zipi, lakini serikali hapo awali iliidhinisha orodha ya nchi na maeneo "yanayofanya vitendo visivyo vya kirafiki dhidi ya Urusi, kampuni zake na raia".

Orodha hiyo inajumuisha Marekani na Kanada, mataifa ya Umoja wa Ulaya, Uingereza, Ukraine, Uswizi, Norway, Japan, Korea Kusini, Australia, New Zealand, Singapore na nyingine kadhaa.

Chanzo: BBC Swahili
 
Sawa.
 
Kwa ulaya na Marekani hakuna mtu ana interest ya kuingia russia, hiyo amri ikawepo isiwepo wamagharibi washajipambanua mfumo wao, russia ishaachwa solemba, angalia sasa makapuni ya russia na matajiri wao watakavyoisoma namba, Abrahimovich jana ashapewa sumu
 
Amekufaa mkuu au amepona?
 
Back
Top Bottom