Natafuta rafiki wa kiume

Aug 3, 2022
27
18
Nina miaka 26,
Mweusi.
Mrefu kiasi.
Elimu ()
Nahitaji rafiki wa kiume(kaka)
umri 28-32.
Elimu yake -Awe amesomea Afya,
pia awe mweusi na mrefu,
awe mcheshi na mchaMungu,
awe hajaoa.

Mwenye sifa Ani PM
 

IFAC

JF-Expert Member
Dec 12, 2021
1,802
4,015
Tupe sifa zako kwanza.

Una kiuno nyigu?
Una msambwanda?
Guu la bia?
Ziwa konzi yaani Lile saa sita?
Macho ya goroli? na meupe
Sura ya mviringo?
Nywele za Masai?

Una shahada ngapi?
Una kazi?
Una gari ?
Una Nyumba?
Una mtoto?
Dini yako?

Jibu hayo Wana wajimwaye mwaye, isije ikawa mtu anaokotwa dodo chini ya mpapai
 

Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Top Bottom