psssf

  1. mshale21

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi PSSSF kikaangoni kwa kujikopesha fedha ya kujinunulia gari

    Mkurugenzi wa Ununuzi na Ugavi wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) Bw. Ernest Khisombi Septemba 12, 2022amefikishwa mbele ya Baraza la Maadili kwa tuhuma za kujipatia mkopo wa gari binafsi wenye thamani ya Shilingi 196,570,931.00 kinyume na Sheria ya Maadili ya Viongozi wa...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Kwenu BAKITA, KISHIKWAMBI ikimaanisha Tablet imetoka wapi? IE The science of the origin of a word kishikwambi

    Sensa ina mambo mazuri. Nimeona KISHIKWAMBI likimaanisha Tablet. Sasa hili neno mmelitoa wapi? Etymology ya Kishikwambi ni ipi? Au unaamka unafikiri kineno chochote basi unaita Tablet Mfano, Tablet: Etymology. From Middle English tablet, from Old French tablete (Modern French tablette)...
  3. saidoo25

    JamiiForums Tanzania Profesa Ndalichako heko kwa kazi unayofanya ya kuitisha mikutano ya kusikiliza kero za wastaafu

    Nimekuwa nikifuatilia utaratibu mzuri ulioanzishwa na Waziri, Profesa Joyce Ndalichako wa kusikiliza wastaafu alianza Dodoma na leo Dar es Salaam natumaini zoezi hili litafika ngazi ya wilaya ili kuweza kuwafikia wastaafu wengi ambao hawana mahali pa kusemea shida zao. Kongole sana Profesa...
  4. Hismastersvoice

    JamiiForums Tanzania Prof. Ndalichako kuitisha mkutano wa ghafla na wastaafu wa NSSF na PSSSF ni nia ovu

    Jana Alhamis usiku ulitumwa ujumbe toka NSSF ukitaarifu kuwa leo Ijumaa saa 3 asubuhi Waziri atakutana na wastaafu wa NSSF na PSSSF kwenye ukumbi wa NSSF Ilala ili asikilize matatizo yao, kuitisha mkutano wa ghafla una nia ya kuonesha waziri anania ya kuwasikiliza ila wahusika hawakufika kwa...
  5. Mparee2

    JamiiForums Tanzania Tofauti ya mafao kati ya PSSSF na NSSF

    Naomba kujua
  6. M

    JamiiForums Tanzania Chonde chonde wastaafu wenzangu, NSSF, PSSSF, nk.

    Tafadhali sana tujuzane tarehe za kuhakiki, ni January hii. Tusije tukafutwa kwenye vipension vyetu!!
  7. Mung Chris

    JamiiForums Tanzania Jenister Mhagama, Simbachawene, IGP Simon Sirro tusaidieni tulipwe mafao na PSSSF

    Mhe Jenister Mhagama, Mhe Simba Chawene Waziri wa mambo ya ndani, IGP Simon Sirro tusaidieni tulipwe mafao yetu na PSSSF, Tumestaafu Mwaka jana mwezi wa 12 Hadi sasa Hatuja pata mafao yetu wala Pesheni hatulipwi. Jana tarehe 1/11/2021 saa 1 usiku tumeenda kukagua akaunti zetu ATM tukiwa wastaafu...
  8. Replica

    JamiiForums Tanzania PSSSF inaidai Serikali trilioni 4.6, yasuasua kuwalipa wastaafu

    Hii mifuko inabidi iwekewe sheria kali kwa wanasiasa kujichotea hela kutimiza miradi yao iliyokwama au nakisi ya bajeti kwa gharama ya wastaafu. Hawa wazee wamekuwa wanapeleka michango yao miaka yao yote ya kuchakarika mpaka nguvu zimewaisha kwa mategemeo zije ziwasaidie, tuheshimu pesa za...
  9. Mung Chris

    JamiiForums Tanzania Msemaji wa Serikali Hakuwa mkweli kuhusu Mafao ya PSSSF kwa watumishi wa serikali walio staafu

    Msemaji wa serikali alitangaza akiwa Singida kuwa tar 22 mwezi huu september wastaafu tayari wamelipwa stahiki zao za Mafao. Leo hii tupo wastaafu 15 kutoka secta mbali mbali tulio staafu mapema mwaka jana mwezi wa 12, 2020, leo tarehe 30 septemba tumeenda Benki saa 2.27 usiku na kubaini hamna...
  10. KingPower

    JamiiForums Tanzania Je, naweza kupata pesa zangu PSSSF?

    Poleni na majukumu wakuu, nina Jambo la kushare na nyie ushauri wenu utakua wa muhimu sna. Niliwahi kufanya kazi kweny shirika la umma Kwa muda wa mwaka mmoja na miezi 6 ila ni ajira za mikataba na nikawa nachangia PSSSF around 39000+, na mwajiri anachangia around 118,000+ kwa kila mwezi Baada...
  11. Mung Chris

    JamiiForums Tanzania PSSSF Mfuko wa pensheni kwanini hampokei simu na hamjibu email

    Sio busara hata kidogo, leo imetulazimu watu kama wa 3 hivi kwenda ofisini kwao baada ya simu za meneja kutopokelewa juzi tuliandika sms na pamoja na kuwapa check namba watuangalizie pensheni na mafao yatakuwa tayari lini, tulipofika ofisini hawana majibu. Leo waziri Mkuu ametangaza bungeni...
  12. Bemendazole

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania PSSSF, TPA mmekubali tupigwe na Wakenya kwa knock out?

    Kama mnavyojua majirani wanapenda kuishi kwa janja janja nyingi. Kutokana na uwezo mdogo wa kujenga majengo marefu, they are cheating kwa kupandisha minara mireefu juu ya majengo yao ili kuyaingiza kwenye chati za uongo na kweli za majengo marefu. Hili sio jambo geni. Mtifuano kama huu...
  13. Mung Chris

    JamiiForums Tanzania Wastaafu wa PSSSF mnaotarajia kustaafu mjipange msitegemee kulipwa haraka mafao na pensheni

    Niwasaidie tu wanao tegemea kustaafu kuanzia mwezi huu wa 9 na kuendelea, natumai ma tamko ya Mawaziri na Marais wawili aliyepita na aliyeko madarakani mlisikia kabisa wakisema na kusisitiza watu walipwe mapema akiwemo Waziri ambaye ni mbunge wa Jimbo la Peramiho. Hakuna utekelezwaji hadi leo...
  14. Mung Chris

    JamiiForums Tanzania Serikali iwalipe watumishi mishahara mpaka hapo watakapokuwa tayari kuwalipa pensheni na PSSSF ndio dawa

    Kuna kitu hakiko sawa kwenye mifumo ya serikali, pamoja na bodi inayo shugulikia mikataba FCC kujidani na kuwashauri watu wasitoe mikataba ya unyonyaji na manyanyaso bado tunahitaji sheria zibadilishwe. Tarehe za kustaafu zikifika mtumishi aache kwenda kazini ila mshahara uendelee kulipwa ili...
  15. Mung Chris

    JamiiForums Tanzania PSSSF malipo ya pensheni kwa awamu haifai mkiri tu kwamba hamna pesa

    Tatizo hili lili watokea wengi ma askari waliokuwa wanalipwa pensheni miaka ya nyuma awamu ya tano, kwa uzoefu tulijua pensheni hulipwa zote sasa hii habari imekuwa ni kikwazo sana kwa mtu anayetaka kufanya maendeleo ya haraka. Kwann PSSSF msitoe tangazo rasmi kuwa pesa hamna vizuri maan...
  16. Mung Chris

    JamiiForums Tanzania Nauli na mafao ya askari wastaafu kucheleweshwa ni mateso

    Si kila askari alijiandaa kuwa na kitega uchumi akiwa kazini lahasha, lakini sasa kwanini anapostaafu asipewe nauli ya kumrudisha kwao kwa wakati ili aende apambane na mashamba? Swala hili viongozi na Waziri wa mambo ya ndani alitolea ufafanuzi lakini hamna utekelezaji sijui ni kumbembeleza...
  17. ommytk

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum changamoto katika mifuko ya mafao

    Wadau ebu Leo naomba tuweke na tujadili hapa changamoto tunazokutana nazo katika mifuko ya mafao kipindi tunafatilia mafao ya aina yoyote iwe yako au mzee wako maana wafanyakazi wa hizi taasisi awajui Kama hizi hela zilikatwa sio Kama Mtu unapewa bure Ni jasho lako
  18. ommytk

    JamiiForums Tanzania PSSSF Kuna nini? Hebu semeni tu kwa sasa Tanzania hakuna mafao ya wastaafu

    Naomba serikali kuu itupie jicho psssf Kuna shida kubwaaaaaa sasa sijui tunwalaumu bure Labda maelekezo toka ngazi za juu aya wanayofanya mtu mafao unafatilia miaka mara sijui linapotea sijui nini Daaah inatia hasira sana
  19. Mung Chris

    JamiiForums Tanzania Waziri Jenister Mhagama kumbuka ahadi yako kuhusu pensheni ya PSSSF kwa watumishi siku ya Sabasaba

    Tuna kukumbusha Mhe. Waziri Jenister Mhagama siku ya sabasaba ukiwa na mkurugenzi mtendaji wa PSSSF kwenye banda lao, mlisema kwa sasa mnafanyia kazi marekebisho ya malipo na maelekezo ya Mhe Samia Suluhu Hassan kuhusu kuwalipa wastaafu. Walio staafu kuanzia mwezi 3 hadi sasa hawajalipwa, je ni...
  20. Mung Chris

    JamiiForums Tanzania Je, PSSSF wameingia kwenye mkondo wa Siasa au hawana pesa?

    Nauliza swali hilo ni kwa sababu ndugu yangu aliwasilisha nyaraka za kustaafu miezi 3 kabla ya kustaafu rasmi na walizipokea wakasema kila kitu kimekamilika. Sasa ameshastaafu ana miezi 5 sasa ukizingatia ofisi ya waziri ili tetea sana swala la wastaafu kulipwa pia Rais alisisitiza walipwe...
Back
Top Bottom