Mparee2 JF-Expert Member Joined Sep 2, 2012 Posts 3,290 Reaction score 5,769 Mar 7, 2022 #1 Naomba kujua
PSEUDOPODIA JF-Expert Member Joined Aug 9, 2020 Posts 431 Reaction score 927 Mar 7, 2022 #2 Kwa kuongezea, Hivi mfano unafanya kazi kwenye kampuni inayomilikiwa na pssf na mafao yako yanaenda pssf, na wewe unahesabika kama mtumishi wa umma?
Kwa kuongezea, Hivi mfano unafanya kazi kwenye kampuni inayomilikiwa na pssf na mafao yako yanaenda pssf, na wewe unahesabika kama mtumishi wa umma?
pwilo JF-Expert Member Joined May 27, 2015 Posts 11,644 Reaction score 14,813 Mar 7, 2022 #3 Ngoja waje wakupe muongozo ila nahisi hakuna tofauti maana inakatwa 10% ya basic salary.