Je, naweza kupata pesa zangu PSSSF?

KingPower

JF-Expert Member
Jun 8, 2015
1,098
1,745
Poleni na majukumu wakuu, nina Jambo la kushare na nyie ushauri wenu utakua wa muhimu sna.

Niliwahi kufanya kazi kweny shirika la umma Kwa muda wa mwaka mmoja na miezi 6 ila ni ajira za mikataba na nikawa nachangia PSSSF around 39000+, na mwajiri anachangia around 118,000+ kwa kila mwezi

Baada ya kupata ajira ya moja kwa moja nje ya shirika Nika terminate nao mkataba mwaka huu mwanzoni

Ivi karibuni nikaenda ofisi za PSSSF na namba ya uwanachama ya kule nilipotoka (shirikani) na kukuta taarifa zangu zipo ila michango haionekani nikawasiliana nao wakawa hawaeleweki kuwauliza wenzangu nao michango yao haionekani toka walipo ajiriwa.

Je, kuna uwezekano wa kupata izo pesa kwa takribani mwaka mmoja na nusu niliofanya kazi au ndo nimepoteza?

Ushauri wenu tafadhar maana huku nilipo michango inaenda kama kawaida na kweny app PSSSF kiganjani ninaiona

Wakuu karibu.
 
Kama mwajiri wako hakuwasilisha utalipwaje?Ni lazima michango iwasilishwe ili PSSSF nao wakulipe.Anza kufuatilia kwa karibu na pesa hizo usizitegemee sana kwani si chini ya miaka miwili kuja kuzipata.Kwenye usia iandike hiyo (just a joke)
 
Shukrani sna Mkuu ngoja nikomae na muajiri huyu wazamani

Back
Top Bottom