posta

Czech Post (Czech: Česká pošta) is the state owned postal company of the Czech Republic. With its headquarters in Prague, the corporation has around 31,000 employees. Czech Post primarily serves the Czech Republic but also delivers to other countries.

View More On Wikipedia.org
  1. Azniv Protingas

    JamiiForums Tanzania Shirika la Posta linatumia kigezo gani kutoza pesa?

    Nilipokea SMS kuwa nifike posta nikachukue mzigo wangu na pia kuna malipo ya 3000/-. Mzigo wenyewe hata gram 10 haufiki na hiyo 3000 inakaribia nusu ya gharama ya kununulia bidhaa, pamoja na usafiri mpaka kufika Tanzania. Mimi nilitegemea mzigo wangu utakuja kwa speedaf kwa sababu nilichagua...
  2. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Utenguzi: Maharage Chande wa Posta, Ulanga wa TTCL na Justina Mashiba wa UCSAF watumbuliwa

    Safi sana fagio linaendelea kupita👇👇 --- Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ametengua uteuzi wa viongozi mbalimbali. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt. Moses Kusiluka, viongozi waliotenguliwa ni kama ifuatavyo:- i. B.i...
  3. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Shirika la Posta, linaweza kuja kuwa shirika tajiri endapo litajigeuza na kuwa kama Alibaba

    Umefika wakati sasa, shughuli zote za uagizaji wa vifurushi na mizigo zikafanywa na shirika letu la Posta, pekee, pamoja na makampuni ambayo yatakuwa yamesajiliwa rasmi nchini Tanzania katika kusaidiana na shirika hilo kwa vibali maalumu, - Umuhimu wa suala hili ni kwamba serekali yetu tukufu...
  4. Satoh Hirosh

    JamiiForums Tanzania Msaada wa Sanduku la Posta la RITA wilaya ya Simanjiro

    Wakuu. Kama kichwa cha habari kinavyosema. Naomba Msaada wa Sanduku La Posta la RITA wilaya ya Simanjiro mkoa wa Manyara. Mwenye ufahamu naomba anisaidie. Natanguliza shukran.
  5. J

    JamiiForums Tanzania Posta Tanzania kushirikiana na Posta za Afrika

    Arusha 🗓️ 12 Juni, 2024 Shirika la Posta Tanzania limejidhatiti kushirikiana na Posta nyingine Barani Afrika hususani katika huduma za Biashara Mtandao “E-Commerce” pamoja na huduma za Usafirishaji. Hayo yamebainishwa na Postamasta Mkuu Maharage Chande wakati akizungumza na Postamasta wakuu wa...
  6. Gemini AI

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Sanamu ya Mnara wa Askari (Askari Monument) yaondolewa kupisha ujenzi wa Barabara

    Kuna taarifa nimeona mtandaoni kuwa Sanamu maarufu katika jiji la Dar es Salaam, Askari Monument imeondolewa katika eneo lake kwa lengo kupisha ujenzi wa Barabara za Mwendokasi. Kama ni kweli, natumai itarudishwa na si kuondolewa moja kwa moja maana ni alama muhimu za jiji. UPDATE: TANROADS...
  7. Arnold Kalikawe

    JamiiForums Tanzania Sifa na Jinsi ya kujiunga na Duka la Posta Mtandao

    Katika ulimwengu wa leo tumeshuhudia Teknolojia ikipamba moto, sambamba na hilo wafanyabiashara na watumiaji wa bidhaa za biashara wamekuwa wakitafuta namna bora ya kuuza na kuagiza bidhaa kwa njia ya mtandao. Kama tunavyoijua mitandao maarufu ya kuagiza bidhaa kama Alibaba, Amazon, Ebay na...
  8. WilsonKaisary

    JamiiForums Tanzania Historia ya Sanamu ya Askari (Askari Monument) iliyopo Posta, Dar es Salaam

    Sanamu ya Askari au Askari Monument ni sanamu iliyopo kwenye kitovu cha jiji la Dar es salaam kwenye mahali ambapo mitaa ya Samora na Azikiwe (zamani: Maktaba) zinakutana. Sanamu inamwonesha Askari Mwafrika katika sare ya Kijeshi, Jeshi la King's African Rifles la wakati wa Vita Kuu ya Kwanza ya...
  9. tamsana

    JamiiForums Tanzania SoC04 Uboreshaji wa Huduma za Posta ili Kuwezesha Biashara Mtandao (Electronic Commerce) Kuendana na Maendeleo ya Sayansi na Teknolojia

    A: Utangulizi: Tanzania imefanikiwa kupata fursa ya kuwa mwenyeji wa Makao Makuu ya Umoja wa Posta Afrika (Pan African Postal Union - PAPU) jijini Arusha, ambapo hatua hii inategemewa kuchagiza maendeleo ya huduma za posta nchini na barani Afrika kwa ujumla. Katika maendeleo ya sayansi na...
  10. P

    JamiiForums Tanzania Dar, Posta mvua yaleta foleni

    Wana bodi, huku maeneo ya Posta mvua imenyesha na kuleta foleni kubwa Sana, kutokana na baadhi ya njia kujaa maji. Hivyo basi imeleta adha kwa watu Wanaorudi nyumbani wakitokea kazini, Niko kwenye foleni kwa karibia saa nzima.
  11. Mr Kazembe

    JamiiForums Tanzania Posta kuendeshwa kizamani Je awaoni ukuaji wa teknologia?

    Posta inakwama wapi?? Katika pita yangu mtandaoni mwezi wa 3 mwishoni nikadownload App ya posta ukweli huduma za posta nazihitaji na hapo awali nilikuwa nikitumia sanduku la rafiki yangu katika kudownload ile App nikaona kuna uwezekano wa kuanzisha sanduku ukiwa popote pale yaani wakimaanisha...
  12. Mr Kazembe

    JamiiForums Tanzania Posta inakwama wapi

    Posta inakwama wapi?? Katika pita yangu mtandaoni mwezi wa 3 mwishoni nikadownload App ya posta ukweli huduma za posta nazihitaji na hapo awali nilikuwa nikitumia sanduku la rafiki yangu katika kudownload ile App nikaona kuna uwezekano wa kuanzisha sanduku ukiwa popote pale yaani wakimaanisha...
  13. Tman900

    JamiiForums Tanzania Utaratibu wa Kutunza Document. Posta/ Bank

    Kuna documents nilipozitunza Naona sio Salama. Je kuna utaratibu wa Kutunza Document Hapa Tanzania.(Posta/Bank) Utaratibu ukoje.
  14. M

    JamiiForums Tanzania AIBU: Abiria wa Mwendokasi wamekwama Posta kwa sababu hakuna Umeme hawawezi kukata tiketi

    Wanajamvi, Leo tarehe 09.04.2024 muda huu wa jioni nimetoka kituo cha mwendokasi cha Posta ya zamani kumpeleka wife, nimekuta abiria wamejazana hapo eti kwasababu hakuna umeme Kituo hakiwezi kukata tiketi. Hii ni aibu kwa nchi, katika karne ya 21 watu wanakwama kusafiri kwasababu ya Umeme...
  15. Ricky Blair

    JamiiForums Tanzania Hivi Posta wanajenga nini?

    Ivi Posta wanajenga nini hapa kati kati au ndo mwendo kasi njia nyingine?
  16. M

    JamiiForums Tanzania Ujumbe kwa viongozi na watu wote kipindi hiki cha Mfungo wa Ramadhani

    Nawashauri hasa wanasiasa na waislamu, tusishinde kwenye maofisi ya vyama tu katika kipindi cha mwezi mtukufu wa ramadhani. Ni muda wa kusoma Quran mwezi huu wa Ramadhani. Tujifunze walikuwepo wengi lakini hivi sasa imekua history. Maisha baada ya kufa ndio maisha kuliko haya ya duniani. Pia...
  17. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Juzi nilikuwa Posta, Mwendokasi mida ya jioni ni kisanga. Serikali hamwoni? Nusura nipate kilema

    JUZI NILIKUWA POSTA, ASEEH! MWENDOKASI MIDA YA JIONI NI KISANGA. SERIKALI HAMWONI? NUSURA NIPATE KILEMA. Anàandika, Robert Heriel Mtibeli Baada ya kumaliza kilichonipeleka, jua lilikuwa limeshapunga mkono wa Buriani. Kigiza cha usoni kilikuwa kimetawala usoni pa Nchi. Ni saa moja hiyo...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Vifurushi vyetu vinapotea shirika la posta

    Kuna mazingira ambayo hayaeleweki katika shirika la Posta hapa Dar es salaam.Kutokana na maendeleo yaliyopo sasa hivi ya kiteknolojia, Kuna bidhaa ambazo tunanunua kwa njia ya mitandao kutoka sehemu mbalimbali duniani. Baada ya kukamolisha taratibu zote za kimalipo,bidhaa inatumwa huko...
  19. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Maduka ya rejareja ya Wahindi Posta ni hovyo sana

    Jana nimekutana na tukio la kushangaza sana kwenye duka la rejareja la Mhindi maeneo ya Posta mpya mtaa wa Zanaki. Ni hivi nilikuwa nilitokea kwenye jengo la Haidery Plaza baada ya kushuka chini nikawa naelekea maeneo ya Chuo cha Biashara (CBE). Nikawa napita ule mtaa wa Zanaki maeneo yale...
  20. senkoP

    JamiiForums Tanzania Ubabaishaji wa Benki ya NBC kwenye kutoa mikopo

    Bank ya NBC ni wababaishaji sana kuhusu utoaji wa mikopo. Sijui tatizo ni nini? Mtu anaomba mkopo taratibu zote zimesha kamilika mpaka makato tayari lakini hawaingizi mkopo. Kuna jamaa ameomba mkopo NBC yapata mwezi sasa umekwisha mkopo hawaingizi na anakatwa. Amefatilia kwa Afisa Mikopo...
Back
Top Bottom