AIBU: Abiria wa Mwendokasi wamekwama Posta kwa sababu hakuna Umeme hawawezi kukata tiketi

Master Legendary

JF-Expert Member
Apr 28, 2013
550
786
Wanajamvi,

Leo tarehe 09.04.2024 muda huu wa jioni nimetoka kituo cha mwendokasi cha Posta ya zamani kumpeleka wife, nimekuta abiria wamejazana hapo eti kwasababu hakuna umeme Kituo hakiwezi kukata tiketi.

Hii ni aibu kwa nchi, katika karne ya 21 watu wanakwama kusafiri kwasababu ya Umeme? Wameshindwa kuweka Solar au Jenereta kituoni?

Hata tafsiri ya neno Mwendokasi imewashinda wanasimamia nini sasa.

Nimechoka!
 
Ngoja majaliwa au mchengerwa aje hapo umeme utawashwa

Ova
 
Hii ni aibu kwa nchi,katika karne ya 21 watu wanakwama kusafiri kwasababu ya Umeme?Wameshindwa kuweka Solar au Jenereta kituoni?

Zamani vituo vilikuwa na backup battery, incase umeme ukikatika then battery zinawasha taa na vifaa vyao...

Ila yote haya yanatokea Afrika kwa sababu Waafrika hawana akili...
 
Zamani vituo vilikuwa na backup battery, incase umeme ukikatika then battery zinawasha taa na vifaa vyao...

Ila yote haya yanatokea Afrika kwa sababu Waafrika hawana akili...
Nakazia,
Waafrika hatuna akili. Haya mambo hayataki hata mjadala.
 
Na hao abiria wanalalama tu bila ya push back hapo,wazuie hao vingunge wenye ma V8 wasipite hapo then within seconds RPC,RC na offcourse ffu watawasili hapo na ufumbuzi utapatikana,uoga wa kizuzu utawaumiza sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom