posho

Ugali, also known as ugali pap, nsima and nshima, is a type of maize flour porridge made in Africa. It is also known as
ngima, obusuma, obuchima, kimnyet, nshima, mieliepap, phutu, sadza, kwon,gauli, gima, isitshwala, and other names. Nsima is sometimes made from other flours, such as millet or sorghum flour, and is sometimes mixed with cassava flour. It is cooked in boiling water or milk until it reaches a stiff or firm dough-like consistency.

View More On Wikipedia.org
  1. R

    Shabiby analipa kodi yoyote kwenye mshahara na posho zake?

    Shabiby ni moja ya wabunge mabepari ambao wamekwama kabisa kufikiri. Yeye ndiye anayeongoza kushawishi nauli zipande , ndiye aliyesababisha hasara kwenye ujenzi wa reli kwa kulipwa mabilioni kubeba wafanyakazi na hakulipa kiasi chochote cha kodi wala kuwalipa wafanyakazi vibarua malipo ya mifuko...
  2. R

    Pendekezo: Posho na mshahara wa mbunge, usizidi milioni 5 Kwa mwezi

    Salaam, Shalom!! Niliwahi kuandika thread isemayo, Wabunge wafanyabiashara matajiri wanasimamia Maslahi ya nani bungeni? Haijaisha miezi SITA tangu kuandikwa thread hiyo, tayari Kuna tetesi kuwa Wabunge wamejiongezea posho na marupurupu Yao Kutoka ml 13 Hadi ml 15 Kwa mwezi. Mbunge anayeona...
  3. Je, kuna rekodi zozote za Mbowe kulaani posho na mishahara mikubwa ya ubunge pindi CHADEMA ikiwa na wabunge wengi bungeni?

    Ni miaka zaidi ya 20 Mbowe na wenzie wa Chadema wamekuwa wakipokea pesa za mishahara ya ubunge na posho za vikao. Wakati Mbowe na wenzie wanatoka bungeni walikuwa wanapokea mil 13 na posho za vikao juu. Leo Mbowe anashangaa wabunge wanapewa pesa nyingi wakati watumishi wa umma wanalipwa...
  4. Tupeane mbinu za ku-save: Unaweza kurudi na posho za kazi za field nyumbani?

    Introduction Haya matokeo ya Mpira yameniuma balaa. Liverpool kapigwa. Yanga holaaaaa. Tuachane na hilo, turudi kwenye mada. Scenario Ngoja niongee kwa mifano halisi ili uweze kunielewa. Mimi kwa mwaka huu tu nimepata kazi nyingi sanaa za field ila jana niliangalia account nakuta kuna 500k na...
  5. Je, ni kwamba baadhi ya Polisi ni waaminifu?

    Kuna baadhi ya madili hufichuliwa na kutangazwa kwenye runinga. Mfano, mafuta kwenye bandari bubu nk. Je, wahusika hukosa posho ya kuwapa polisi au Kuna baadhi ya polisi hawapendi posho. Mimi nimeona madili mengi polisi wakipozwa. Kwanini baadhi ya madili unaitiwa mpaka waandishi wa habari...
  6. L

    Dickson Job arudishe posho zote alizolipwa kwenye safari ya Afcon Ivory Coast

    Mchezaji mfupi kuliko wote nchini akiwqzidi madifenda wa zamani akina George Magere Masatu au Paulo John Masanja Dickson, Dickson Job ameachwa katika kikosi cha stars kwa madai ya kugomea kucheza beki wa kulia kwenye mchezo dhidi ya DRC. Huyu bila kupepesa macho wala kuleta ushabiki, ingekuwa...
  7. B

    Serikali ianzishe posho ya walimu ili kudumisha uzalendo kwa kizazi cha Watanzania

    Watoto wa Kitanzania wanafundishwa na walimu wenye msongo mwingi wa mawazo kwa kufanya kazi huku wakiwaza future ya maisha yao. Watoto hawawezi kuja kuwa wazalendo nchi hii kwa sababu, walimu ambao ndio role model wao (kwa sababu wanakao nao muda mrefu wa makuzi yao) muda wote wanailamu...
  8. R

    Kwa sura za wanawake na wanaume zilizochangia 120M kwa Rais, hakuna aliyetoa fedha mfukoni hawa wote wamechukua fedha za perdiem na posho za vikao

    Hawa wanawake na wanaume wanaodai kuchangia 120M wametumia posho na fedha za serikali ambazo ni kodi za wananchi. Wengi wametoka Dodoma na wanalipwa kwa kuwepo nje ya ofisi kikazi. Lakini wengi wao wana ndugu na jamaa wenye kukosa mahitaji muhimu. Wengine wana ndugu wasiomudu huduma za afya...
  9. G

    Biashara ikianza kuwa ngumu unaanza kujikosoa, "hivi ni mimi niliesema ajira ya kupokea mshahara kila mwezi na posho za kila wiki ni utumwa ?"

    Nashudia live haya mambo nipo kwenye taasisi ambayo wafanyabiashara inabidi watoe maelezo yenye ushahidi wa hali zao kibiashara ili tuweze kuwasaidia kama wadhamini wa shida wanazopitia, itoshe kusema wafanyabiashara waliofanikiwa ni wachache, usikurupuke kutamani biashara kwa kuwaangalia hawa...
  10. Waziri wa Ulinzi wa Liberia ajiuzulu baada ya Wake wa Wanajeshi kuandamana kushinikiza nyongeza ya Posho

    #LIBERIA: Waziri wa Ulinzi, Prince Charles Johnson III amejiuzulu nafasi yake baada ya Wake wa Maafisa wa Jeshi kuandamana kwa malalamiko ya Waume zao kutoongezewa Mshahara huku wakiishi maisha duni katika kambi za Kijeshi. Wanawake hao waliandamana na kuweka Vizuizi kwenye Barabara zinazoingia...
  11. Kibonzo: Posho ya kuhudhuria msiba Namibia

    Upigaji kila fursa
  12. F

    Kwahiyo CHADEMA hata maandamano mnalipana posho?

    Nimeshitushwa na kushangazwa kwamba eti maandamano watu wanallipana posho? Hii ni kali na maajabu aisee Ona hiyo attachment hapo chini.
  13. Wachezaji wa South Africa wamekataa posho zote za AFCON 2023

    Bingwa wa mashindano ya AFCON 2023 anachukua zawadi nono ambayo haijawahi kufikiwa ya dola milioni 7, sawa na shilingi bilioni 17 na milioni 500. Kabla mashindano ya AFCON 2023 hayajaanza, wachezaji wa South Africa "Bafana Bafana" waliingia makubaliano maalumu na Chama cha Soka cha Afrika...
  14. PreGE2025 Chadema, pesa za mafuta ya bodaboda na posho kwenye maandamano mngewapa mtaji Bavicha

    Wanaukumbi. Chadema wanapoelekea kwa sasa itakuwa kama UMD kinakufa taratibu, leo hii Chadema wanaandaa Maandamano wanakusanya Bodaboda na Bajaji zaidi ya 200 wajaze Maandamano wanamdanganya nani kama raia wamekaa maandamano yako wanawaonyesha UN ili iweje. Nani analipa hizo pesa za mafuta...
  15. B

    Hili suala la posho ya mbunge ya siku moja kuzidi mshahara wa mwezi wa Mwalimu, HALIKUBALIKI!

    Salaam wapenzi wana JF. Leo nimeamua kuwasilisha hii kero ya ukosefu wa usawa linapokuja suala la kufaidi keki ya Taifa. Yaani haiingii akilini kabisa kwa mbunge kulipwa pesa ya posho ya siku moja ambayo ni kubwa zaidi kuliko mshahara wa Mwalimu wa mwezi mzima. Siyo sawa kabisa. Ahsanteni.
  16. K

    Waziri Masauni lipa posho za maji na umeme kwa Askari wako

    Askari wa Wizara yako walie mpaka lini!? Unafrahia kuongoza Askari wanyonge! Hizi posho za maji na Umeme serikali inazitoa zinaishia kuliwa na wajanja Wizarani pengine ukiwepo wewe (tetesi zipo) watumishi wote wizarani wanalipwa posho hizi! Iweje Askari waambiwe wanunue umeme na maji alafu...
  17. A

    DOKEZO Waziri Ummy sisi Watumishi tuliohudumia Wagonjwa wa UVIKO-19 Amana Hospital hatujalipwa posho mpaka leo

    Nadhani mnakumbuka Hospitali ya Amana ilishiriki kuhudumia Wagonjwa wa COVID-19 hiyo ilikuwa kuanzia Mwaka 2020, sasa katika ile kazi kulikuwa kuna posho ambayo Watumishi na Vibarua ilitakiwa tupewe. Makubaliano ya awali yalikuwa kulipwa Shilingi 50,000 kwa siku japo baadaye walishusha hadi...
  18. Wachezaji kudai posho na malupulupu yao huo sio utovu wa nidhamu kama mmewaahidi pesa alafu mnageuka na kuwasimamisha ni ulimbukeni

    Nachojua ni msimamo wa chama kuhusu posho na ahadi ambazo wachezaji waliahidiwa kabla ya mechi na wydad! Wachezaji hawajapewa posho yoyote ,chama aliamua kuufuata uongozi ili kudai haki ya posho ambazo waliahidiwa ndipo akaonekana kama mtovu wa nidhamu ,kiongozi mmoja alimtolea chama lugha chafu...
  19. Z

    Waziri TAMISEMI fuatilia posho za mafunzo ya maafisa tarafa na watendaji kata mkoa wa Lindi

    Tunaandika haya kwa uchungu, na masononeko baada ya kufanyiwa ukatili wa kutudhulumu stahiki zetu za posho kwa maafisa tarafa na watendaji wa kata. Mh. Waziri Manispaa ya Lindi inaundwa na majimbo mawili ya Lindi mjini na Jimbo la Mchinga ambayo zamani ilikua ipo Halmashauri ya Lindi vijijini...
  20. TAESA imekuwa ni janga kubwa la kukata ndoto za vijana. KwaniniSerikali (PSRS) isianze na vijana wa TAESA kwanza kwa uzoefu walio nao?

    Habari wana JF, Mimi ni kijana ambaye kwa sasa nipo chini ya Taesa, kwa msiojua utaratibu wao ni kuwa wanakutafutia sehemu ya kufanya internship kwa mkataba wa mwaka mmoja halafu wanakulila 150k per month (Ambayo ni kipengele kwa kweli kuipata) na then mkataba ukiisha wanakuacha. Hii kitu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…