posho

Ugali, also known as ugali pap, nsima and nshima, is a type of maize flour porridge made in Africa. It is also known as
ngima, obusuma, obuchima, kimnyet, nshima, mieliepap, phutu, sadza, kwon,gauli, gima, isitshwala, and other names. Nsima is sometimes made from other flours, such as millet or sorghum flour, and is sometimes mixed with cassava flour. It is cooked in boiling water or milk until it reaches a stiff or firm dough-like consistency.

View More On Wikipedia.org
  1. J

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Subaru Forester XT inauzwa

    SUBARU FORESTER XT Call 0769103506 REG: (EGS) MWAKA 2014 ENGINE CAPACITY: 1990cc FULL AC MILEAGE 77,400km+ BEI 26.8M POSHO 500K🔥✅ LOCATION Dsm
  2. P

    JamiiForums Tanzania Natafuta fundi pikipiki Dar es Salaam

    Natafuta fundi piki piki duka lipo mbezi kibanda cha mkaa duka ni jipyaa tutamlinda kwa posho mpaka pachangamke 0685141035
  3. heartbeats

    JamiiForums Tanzania Askari Posho posho za Oct 29 nafikiri zimeisha?

    Manchekesha sana mapot Mnadharaulikia. Mnalipwa ili mtupe watu mnalipwa ili muue watu ,muwabambikizie kesi n.k Adi sasa nafikiri posho zishaisha zile za oct 29 mmerudi apeche alolo mnakula dei waka za kuteka teka watu ovyo. Mpo salama maana watu wengi hawana access ya silaha ,kwa sisi...
  4. tpaul

    JamiiForums Tanzania Wabunge na wake za watawala waachie posho na mafao ya UKIMWI na NHIF

    Ili kupata fedha za kununua dawa kwa wagonjwa wa UKIMWI, ukoma na kifua kikuu, watawala wa CCM wameamua kuwakamua raia mamilioni ya shilingi. Licha ya kuwa tayari wananchi wanaendelea kukamuliwa tozo za trab and tat baada ya kushindwa kuhamia Burundi, bado serikali ya CCM hairidhiki. Inataka...
  5. Li ngunda ngali

    JamiiForums Tanzania Serikali imeishiwa pesa?! Yashindwa kuwalipa Mahakimu pesa za posho kwa wakati

    Inavyoonekana Serikali haina pesa na ndiyo maana leo ni zaidi ya Siku nne imeshindwa kulipa Mahakimu pesa za posho isivyo kawaida Ki kawaida pesa za posho kwa Mahakimu hulipwa kila tarehe 8-9 ya kila Mwezi. Ajabu leo ni zaidi ya siku nne hiyo pesa hawajalipwa Je, ni rasmi fuko la Hazina...
  6. kibori nangai

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Nimesikia posho yake kidogo aliwapa wapinzani

    Ndugu wajumbe Nimesikia mahali Posho yangu kidogo niliwapa wapinzani maana walikuwa vibaya sanaa wamechoka kwenye nchi za watuu. Uchambunzi huru. Serikali yao ndio iliyosababisha wakimbie nchii so hapo sijaona kosaa na ukienda maeneo mapya lazima stragglers zitokee na pesa hizo zimetoka wa...
  7. SSH2025_2030

    JamiiForums Tanzania Kufukua maiti zilizooza inahitaji Posho Nene!

    Nyie acheni mchezo kufukua maiti zilizooza na kuzikwa kaburi la Halaiki si kazi rahisi labda posho iwe Nene sana
  8. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Lugete: Matumizi ya Serikali yapungue na posho zipungue

    "Serikali kwanza lazima ipunguze matumizi yasiyokuwa na lazima, vikao vya watumishi wa umma vya serikali sio lazima vifanyike kwenye kumbi binafsi au Hotel binafsi, tunaweza kutumia kumbi za shule, kumbi za Halmashauri, watu wabane matumizi, posho mbalimbali za viongozi wa serikali zipungue...
  9. Mbabani

    JamiiForums Tanzania Masheikh mliolopwa posho huu inawahusu

    Bonus: Mgodi wa GGML kufungwa December 05. Mwanakulitafuta... Nitamrekebisha shekh aliesema watu watakatwa (vichwa) na kuzungumzia wakristo kama ndio njia ya ukosefu wa amani Hakuna shekhe, kiongozi, au mtu yeyote aliyepewa ruhusa na Allah kusimamisha uhai wa mtu au kukataza jambo kwa kutumia...
  10. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Kifinyo cha Kimataifa kizidi hadi Wanajeshi na Polisi wakose Posho na Mishahara

    Watanganyika tumeamua. Baada ya Umoja wa Ulaya kukata misaada sasahivi tunaenda nchi moja moja za Ulaya, Marekani, Taasisi za Kifedha za Kimataifa zikiwemo World Bank na IMF na Mabenki yao. Huyu muuaji tutahakikisha tunampiga kutoka kila upande hadi akose hela za kuwalipa Mercenaries wanaokuja...
  11. baz kaiza

    JamiiForums Tanzania Siku tukifuta posho zote za Wabunge wakabaki na Mishahara tu ndo siku tutakua tumekomboa nchi

    Sehemu pekee iliyobaki ina pesa za bure ni Bungeni ndo maana watu wanapambana kwa kila namna siko kwamba wana wapenda wananchi au kutumikia wananchi hapana. Ila ndo sehemu pekee bunge unapata utajiri wa haraka sana bila kutumia nguvu ni vigumu sana kupata wawakilishi wa wananchi wa kweli wengi...
  12. comrade_kipepe

    JamiiForums Tanzania GE2025 Video: Inadaiwa baadhi ya Wananchi wa Mbeya leo wakipokea posho ili wakajaze mkutano

    Hayo mambo kwakweli ni ya aibu, huwezi kulazimisha watu wakupende. Mbeya hiyo leo inadaiwa wakiwa wanapokea hela ndo wakajaze mkutano. Kila mtu Elfu 10. Hizo ni hela za walipa kodi,Samia anachota analipia nyomi ili atengeneze picha ya kwamba anakubalika. Alafu wananchi ndo wanaongezewa makodi...
  13. Stability

    JamiiForums Tanzania Unaweza sema mwamba anasikitikia kazi ilivyo ngumu lakini anawaza ni style gani atayomkunja bebi akishapata posho jioni

    🤣
  14. N

    JamiiForums Tanzania Kuna ukweli wowote kwamba kazi za IT / Computer serikalini wana muda mwingi sana wa kupumzika bila kazi ?

    Mfano niliwahi kusikia system administrator wa Chuo kazi yake kwa kiasi kikubwa ni kuangalia tu system haina matatizo (Monitoring), Anapata muda mwingi wa kupumzika, anawahi kuondoka na mshahara mzuri. Yani wakishaseti Server, Database na Network kinachobaki huwa ni kutazama kila kitu kinaenda...
  15. figganigga

    JamiiForums Tanzania GE2025 CCM mliotangulia Dodoma Rudini Makwenu, Hakuna Posho ya safari wala Per diem🤣🤣

    Kuna wale Wajumbe wa Mkutanao Mkuu wa CCM waliotangulia Dodoma kula bata eti wakisubiri Mkutano Mkuu. Warudi makwao tu. Wasitegemee kupata Posho ya safari wala Per diem. Imekula kwenu.🤣🤣🤣
  16. K

    JamiiForums Tanzania Kwa nini Masheikh wengi wanatetea Amani,badala ya Haki?j wakati Mtu Muhamad S.A.W ilibidi kuitafuta Haki kwa upanga?

    Hiki kitu nimekuwa nikijiuliza sana Masheikh wengi wamekuwa wakitete Amani badala ya haki,huku ukiangalia kwa maksudi serikali na chama tawala haitaki kukubali kubadili baadhi ya vifungu vya katiba na sheria vya tume ya uchaguzi vitakavyotupeleka kwenye haki ya kumchagua kiongozi, siyo amani ya...
  17. E

    JamiiForums Tanzania Mh.Rais Askari wanakudai posho ya chakula

    Wanadai hujaongeza posho yao miaka 10 sasa vilevile posho yao ya maji na umeme imegomewa wizarani. Mh.Rais mwenye nchi ni wewe malalamiko haya wameyawasilisha bungeni mara nyingi na yamepelekwa sehemu husika lkn imeshindikana. Kila la kheri mh.Rais
  18. Masalu Jacob

    JamiiForums Tanzania Pendekezo la hii kodi linawafaa TRA?

    Habari TRA ! Naomba kuuliza hii kodi eti inafaa hapa nchini? "MOTOR VEHICLE CROSS REGION TAX" Karibu.
  19. fh kwenye beat

    JamiiForums Tanzania Watumishi wa mizani (Tanroads )kutolipwa posho

    Napenda kutoa taarifa kwa viongozi wanaoweza kuokoa hali ya sintofahamu kuhusu watumishi wa vituo vya mizani kitolipwa malipo yao kwa takribani miezi 6. Kutokana na hili vitendo vya Rushwa vimekithiri juu ya ukata uliopo baina ya wafanyakazi na wasafirishaji. Natoa wito kwa viongozi...
  20. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Watumishi wa umma Tanzania kazi yetu kubwa ni kusubiri mshahara, posho na madili

    Mimi siku zote nakuwa honestly, mkweli. Si mbinafsi, sifurahishwi na ubadhilifu na uzembe kazini. Ingawa mazingira yanaweza kummeza mtu. Naamini watumishi wa umma wengi tu ni watu wenye MIOYO safi, wenye MIKONO safi lakini mazingira yao ya kazi yanawameza. Na baadaye kugeuka kuwa watu wa hovyo...
Back
Top Bottom