pongezi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Natoa pongezi kwa wote wanaompambania huyu binti huko Thailand. Lete ushindi nyumbani.

    Una maoni gani kwa jinsi anavyotuwakilisha kwenye mashindano ya MISS GRAND INTERNATIONAL?
  2. JamiiForums Tanzania Pongezi kwa Wanawake Wanaolea Watoto, Nimejaribu na Kugundua Ukubwa wa Kazi Hii

    Kulea watoto ni zaidi ya kazi. Weekend iliyopita, mke wangu alienda kwenye msiba ,alifiwa na shangazi yake. Sehemu ya msiba iko karibu na makazi yetu, takribani kilomita 20 hivi. Nilimwambia aende, na kwamba mimi nitakuja siku ya mazishi,Nilimshauri asiende na watoto. Wakati huo, dada wa kazi...
  3. JamiiForums Tanzania Dudu baya apewa simu na milion Moja kama pongezi ya kukemea ushoga

    Mkurugenzi wa Mkombozi Furniture, Leo amemuita Dudu Baya ofisini na kumpa Zawadi ya kiasi Cha shilingi milioni Moja na simu mpya. Pia mkurugenzi huyo amempa nafasi Dudu Baya ya kuchagua kitu chochote Dukani hapo, Na Dudu Baya amechagua kiti chenye thamani ya laki nane. Mkurugenzi huyo ame...
  4. JamiiForums Tanzania Pongezi Prof. Adolph Mkenda, ni Multi Talented, Sio tuu ni Profesa, Mbunge,Waziri na Mwanasiasa, Prof. Mkenda ana Kipaji, ni Bonge la Mtangazaji!

    Wanabodi, Hili ni bandiko la Pongezi kwa Waziri wa Elimu, Prof. Adolph Mkenda, ni multi talented, Sio tuu ni profesa wa sayansi, mhadhiri wa chuo kikuu, mbunge, waziri na mwanasiasa, Prof. Mkenda pia ana kipaji cha utangazaji, nimemtazama na kumsikiliza leo, katika kipindi chake cha kwanza...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Anastahili Pongezi Na Heshima Kubwa Sana Kwa Hapa Alipolifikisha Taifa Letu. Amelivusha Nyakati Zote Ngumu Na Za Giza

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Anastahili Pongezi,anastahili heshima na kuheshimiwa, anastahili kuungwa Mkono kwa kazi kubwa na njema aliyoifanya ya kulivusha Taifa letu katika nyakati Nguma na za...
  6. A

    JamiiForums Tanzania HOJA TANESCO, badala ya posti za Wizi na Pongezi tu, Tumieni kurasa zenu kuelimisha Umma kuhusu majanga ya Shoti za Umeme

    Habari zenu Wana-Jukwaa, Lengo langu la kuandika uzi huu ni kutoa ushauri na wito kwa Shirika letu la Umeme Tanzania (TANESCO) kuhusu namna linavyotumia kurasa zake za mitandao ya kijamii. Kazi kubwa na ya msingi ya TANESCO ni kuhakikisha Watanzania wanapata nishati ya umeme kwa usalama na...
  7. JamiiForums Tanzania Pongezi Kube, Mwanahalisi Kwa Ukweli Huu, Mashujaa wa Habari, CoRI, Teteeni Uhuru wa Habari kwa Utetezi wa Kweli na Sio Utetezi wa Kupiga Tuu Kelele!.

    Wanabodi, Hii ni Makala yangu kwenye gazeti la Mwananchi la leo, kwanza nitoe pongezi kwa mwandishi wa habari, Saed Kubenea na gazeti lake la Mwanahalisi kwa kuripoti ukweli bayana wa kitu cha kweli. Kubenea na Mwanahali watangazwe ni Mashujaa wa Habari, nimeitaka CoRI, kutetea uhuru wa habari...
  8. JamiiForums Tanzania Pongezi Serikali Yetu Kutonyamazia Upotoshaji wa Media za Mabeberu Kutubagaza, Let's Be Proactive Rather Than Reactive, Tuwaambie Ukweli Wote!.

    Wanabodi Hili ni bandiko la pongezi kwa serikali yetu ikifanya jambo lolote zuri la kustahili pongezi, tuipongeze, na ikifanya jambo lolote baya la kustahili kukosolewa tuikosoe kwa constructive criticism, ukosoaji wa kujenga, sio ukosoaji wa kuzodoa au kubagaza. Juzi Jumapili tarehe 12...
  9. JamiiForums Tanzania Pongezi: Waziri Mkuu atatua changamoto ya kitaifa kwa wakati

    Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Manyoni, Bi. Anastazia Tutuba, akimkabidhi Toroli Bi. Coleta Benedict ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa agizo la Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, alilolitoa wakati wa Mkutano wa hadhara wa kusikiliza na...
  10. I

    JamiiForums Tanzania Pongezi hospital ya rufaa Mbeya

    Habari Hii siyo kero ni pongezi Kwa madaktari wa Hospital ya RUFAA MBEYA. Nimekuwa nikifanya Checkup mara kwa mara hospital ya rufaa Mbeya ,nimekutana na 1.watunza Kumbukumbu wanaosikiliza mtu vizuri na kumuelekeza kwa upendo wa hali ya juu ase wabarikiwe sana. 2.Madaktari wanajitoa vizuri...
  11. A

    JamiiForums Tanzania Pongezi kwa TAKUKURU Mlele halmashaur ya Mpimbwe kwa Kusimamia Uwajibikaji na Kuruhusu Sheria Kufuata Mkondo Wake

    Nawapongeza TAKUKURU Wilaya ya Mlele halmashaur ya Mpimbwe kwa kazi kubwa wanayoendelea kuifanya katika kuchunguza tuhuma mbalimbali za ubadhirifu na matumizi mabaya ya rasilimali za umma katika Idara ya Afya. Hatua zilizochukuliwa dhidi ya aliyekuwa DMO wa Halmashauri ya Wilaya ya Mpimbwe na...
  12. JamiiForums Tanzania What Happened in Oct. 29: Pongezi Balile wa TEF Kwa Uzalendo, Ila Tanzania Tunatia Aibu!. Tutategemea Wageni Mpaka Lini?!. Tujenge Uwezo wa Ndani!.

    Wanabodi, Hili ni makala yangu kwenye gazeti la Mwananchi la leo, nikitoa pongezi kwa Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania, TEF, Deodatus Balile, kwa uzalendo wake kuhusu kile kilichotokea October 29, katika filamu kuhusu kilichotokea. Kiukweli, Tanzania na Watanzania, tunatia aibu...
  13. JamiiForums Tanzania Pongezi kwa Rais Samia: Vijana Waunga Mkono

    Rais wetu mpendwa Dkt. Samia Suluhu Hassan sisi vijana wazalendo tunapenda kukupa pongezi za dhati kwa namna unavyoendelea kuiwakilisha Tanzania katika majukwaa mbalimbali ya kimataifa kwa hekima busara na ujasiri mkubwa. Safari yako nchini Urusi imeendelea kuonesha kwamba Tanzania ina...
  14. JamiiForums Tanzania Pongezi JF kwa kuwa na 'water mark'

    Sijakosea jukwaa nimeona hizi pongezi nizitolee huku Sasa ni rasmi maandiko yetu ndani ya JamiiForums yatatambuliwa chanzo chake ni JamiiForums Tanzania Sasa unapoperuzi kwenye majukwaa na mada utaona upande wa juu kulia kuna maandishi ya kufifia yameandikwa Jamii forum Tanzania Ni hatua kubwa...
  15. JamiiForums Tanzania Real society feelings: Kwanini matusi na si pongezi

    Huu ndio uhalisia ulioko kwenye jamii.. Jamii haina upendeleo kwakuwa Ukifanya vema.. Bila hata kuomba itakupongeza na kukusifia sana..LAKINI ukiboronga itakubagaza live bila chenga Risala iliyosomwa na jaji imepata ukosoaji mkubwa kwakuwa imeenda tofauti na uhalisia na ukweli wa kilichotokea...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Pongezi kwa Mkurugenzi wa TTCL, Moremi Marwa, kwa juhudi kubwa za usambazaji wa fiber internet mitaani, yenye bei nafuu na kasi kubwa

    Sasa TTCL wameamua kuingia mazima kwenye huduma za intaneti ya kisasa. Usambazaji wa fiber internet unaendelea kwa kasi kubwa, hasa maeneo ya mijini ambako huduma hii inazidi kuwafikia wananchi wengi zaidi. Tofauti na zamani, sasa wanafika hadi mitaani, wakizungumza na wakazi moja kwa moja ili...
  17. I

    JamiiForums Tanzania Kisiki cha mpingo Benjamin Netanyahu atuma salamu za pongezi kwa Trump.

    sacred principle Israeli Prime Minister Benjamin Netanyahu congratulated #US President Donald Trump on the rescue of an American airman from #Iran, while Iran's military said several US aircraft were destroyed, with footage showing wreckage.
  18. JamiiForums Tanzania BAKWATA: Pongezi za ziada ziende kwa vyombo vya ulinzi kuhakikisha Amani na Usalama vilirejea ndani ya muda mfupi Oktoba 29

    Katibu Mkuu wa Bakwata, Alhaj Nuhu Mruma, akizungumza kwenye Baraza la Idd el-Fitri leo tarehe 21 Machi, 2026 jijini Dar es Salaam.
  19. L

    JamiiForums Tanzania Mkuu Wa Majeshi Mstaafu Jenerali Venance Mabeyo Ammiminia Sifa na Pongezi Paul Makonda Kwa Uchapakazi wake Uliotukuka. Ampa Baraka na Nasaha

    Ndugu zangu Watanzania, Mwamba Paul Makonda Ataendelea kung'aa Kiuongozi ,kushika nafasi nyeti ,kupaa kiuongozi Kutokana na uchapakazi wake uliotukuka na wa kuleta matokeo chanya na ya haraka. Huyu Mwamba ni kama amekuja kwa kazi maalumu hapa Duniani. Ni mtu ambaye ukimpatia kazi anaifanya...
  20. JamiiForums Tanzania Yah; Pongezi kwa kutangaza bendera yetu kama “chapa ya cocaine” duniani

    Meli inayopeperusha bendera ya Tanzania kukamatwa El Salvador 06.02.2025 ikiwa na shehena ya tani 6.6 ya dawa za kulevya. Mlikuwa mnasubiri upepo upite, au mlikuwa mnapiga hesabu za jinsi cocaine tani 6.6 zilivyoweza kutosha katika meli inayopeperusha utambulisho wetu bila ninyi kufahamu Je...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…