pombe

  1. JamiiForums Tanzania Kuna mahusiano kati ya kuacha pombe na kukosa usingizi(Insomnia)?

    Kwanza nawasalimia wakubwa kwa wadogo. Sasa ni almost two weeks nimeacha pombe, hapo mwanzo nakili kuwa nilikuwa mnywaji mzuri tu (moderately drunken) yaani ni ile hali ya kunywa hata siku tatu mpaka nne mfululizo in a week kwa hali ya kawaida. Na hii iliwezekana kwasababu kazi ninayofanya...
  2. A

    JamiiForums Tanzania KERO Hizi pombe zinaharibu vijana sana mtaani, ni janga la Taifa

    Unakosea kuziita pombe, huo ni uchafu. Pombe ni chakula. Nikiona mtu anakunywa hizo namwona kama mjinga mjinga. Weka na K Vant pia hapo
  3. JamiiForums Tanzania Kuadimika kwa pombe kali inayoanza na herufi V.

    Mimi mdau mkubwa wa hii kitu lakini ni zaidi ya wiki mbili sasa sio kwenye bar wala kiosk haipatikani inakuaje kitu Ina demand kubwa alafu ghafla usambazaji hakuna tena.
  4. JamiiForums Tanzania Kuna watu ambao miili yao imeumbwa kuhimili pombe nyingi na kwa mda mrefu. Case study Ozzy Osbourne

    Ozzy Osbourne ametajwa rasmi kuwa “mutant wa kinasaba.” Kauli hiyo ilitolewa na watafiti waliochunguza DNA yake ili kuelewa jinsi alivyomudu miongo mingi ya matumizi makubwa ya pombe na dawa za kulevya. Mwaka 2010, “Prince of Darkness” aliingia kwenye historia kama mmoja wa wanamuziki wa...
  5. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kwa yaliyotokea 29 Okt. 2025, ipo haja ya kuchunguza Kifo cha Pombe Magufuli

    Salaam Wakuu, Kwa roho iliyooneshwa 29 Oct 2025 na Samia Suluhu Hassan, Mwenyeji wa huko Zanzibar ambaye anapenda kutembelea maeneo ya Tunguu.. Hakika damu ya Watanzania ipo mikononi mwake. Bado naamini Pamoja na Misimamo ya Magufuli, kingine kilichomponza ni Utanganyika wake. Zanzibar...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Dawa ya kuacha pombe ya nini wakati hata za malaria tu watu wanahangaika kuzipata.

    Eti wanahangaika kuleta dawa za kuacha kunywa pombe. Huu ni kupoteza fedha za walipa kodi. Dawa za malaria ni tatizo kubwa huko vijijini.👇
  7. R

    JamiiForums Tanzania John Heche: Hizi ni kodi na ushuru wa serikali kwa gari ndogo tu Crown

    Hizi ni kodi na ushuru wa serikali kwa gari ndogo tu Crown. Fikiria kijana ambae ameanza maisha hapa Dar, kutokana na adha ya usafiri anajibana ananunua kagari ka usd 6,000 ambazo ni sawa na 14 m. Hiyo gari ikifika inatozwa ushuru mwingine wa 14 m, yaani fikiria ushuru unalingana na ununuzi wa...
  8. JamiiForums Tanzania Yesu anasema hatokunywa Pombe ya Duniani anasubiri pombe ya peponi

    Mathayo 26:29 Lakini nawaambieni, Sitakunywa kabisa tangu sasa uzao huu wa mzabibu, hata siku ile nitakapokunywa mpya pamoja nanyi katika ufalme wa Baba yangu. Yesu anasema hataki pombe ya duniani anasubiri pombe ya peponi Au Kuna mgalatia yoyote anayepinga kuwa uzao wa mizabibu sio pombe?
  9. JamiiForums Tanzania Bangi na pombe Kali ni hatari nimerudi mtaani naona vijana wamezeeka ghafla

    Yaani madogo kabisa walikua wanaenda shule wananisalimia brother Sasa nikasafiri kurudi najuta madogo wamezeeka ghafla eti kisa kuvuta bangi na pombe Kali aisee hii nashindwa kuelewa yaani nimepiga nao picha Mimi naonekana dogo wenyewe kama wazee halafu miaka Yao 17 mwisho 25 lakini...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Asilimia 61 ya Pombe zinazonywewa Tanzania ni haramu

    Biashara haramu ya pombe ina athari nyingi na za kina, ikiathiri uchumi wa Tanzania, uwekezaji, na pia kuhatarisha afya ya jamii kwa kiwango kikubwa. Akifanya Mahojiano na Mwananchi, Mkurugenzi Mtendaji wa Tanzania Breweries Limited (TBL), Michelle Kilpin, alitoa tathmini yake kuhusu hali ya...
  11. JamiiForums Tanzania Sinywi pombe, sio mtu wa wanawake situmii kilevi chochote na bado maisha magumu, shida itakuwa Nini?

    Kijana Nina misimamo sina makundi situmiii kilevi ila sina maisha Wala Hela tatizo linaweza kuwa Nini wakuuu
  12. M

    JamiiForums Tanzania Wale ambao huwa hamnywi kabisa pombe maeneo ya makutano kama Pub au Lounge huwa mna socialize vipi baada ya kazi?

    Sio kwamba mtu lazima aende kila siku, lakini mara nyingine watu hupitia hotelini, lounge, bar au pub. Huko, hata kwa kunywa vinywaji vichache tu, hupatikana nafasi nzuri ya kukaa pamoja, kupiga stori za aina mbalimbali, kujuana, na kubadilishana mawazo bila kujali hali ya kiuchumi, vyeo, dini...
  13. JamiiForums Tanzania Mfumo wa pombe na Sigara fake umeingiza madawa ya kulevya, ambayo watumiaji tunaona dalili za mateja

    Ukweli useme na mpaka sasa nchi yetu kuna madawa ya kulevya.Kuna siku nilienda kumywa pombe ambazo zinaongoza kwa majina ila unakuta utazani kuna kipindu pindu.wakati sio sehemu. utumbo wako unajiuliza mpaka nzi kutofikia. haya leo.Nimegundulika na tumia madawa ya kulevya wakati sio mtumiaji...
  14. JamiiForums Tanzania Ushauri kwa watu ambao pombe zinawatesa na wameshindwa kabisa kuacha kwa kila mbinu.

    Kuna mbinu mbalimbali wanapewa watu ambao wanataka kuacha pombe. Mfano wa hizo mbinu wanazopewa lakini mwisho wa siku wanarudi kulekule ni hizi. 1)Kupunguza kiasi cha unywaji. Hapa ushauri wanaopewa ni kupunguza idadi ya pombe au siku za kunywa pombe. Mfano kama alikuwa anakunywa bia 10 kwa...
  15. JamiiForums Tanzania Zanzibar imepiga marufuku uuzaji pombe Mwezi Mtukufu wa Ramadhani

    Zanzibar imepiga marufuku uuzaji pombe Mwezi Mtukufu wa Ramadhani, na kwamba hatua za kisheria zitachukuliwa kwa wote watakaobainika kuuza. MY TAKE; Je, Zanzibar ni Mikoa wa Kiislam? Au washajiunga Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) kwa siri?
  16. JamiiForums Tanzania Hivi Watu wasiokunywa pombe huwa wana akili timamu kweli?

    Salaam Wakuu, Nahisi baadhi ya watu wasiokunywa au kuonja pombe hawana akili timamu. Wana maongezi ya kindezi ndezi.. Hawana madili hata tone... Wanachojua ni Umalaya, Uasherati, Uzinzi, Umbeya, Wizi, na roho mbaya. Nahisi watu wasio kunywa pombe hawana akili timamu. Watu wanaobaka na...
  17. JamiiForums Tanzania Pombe za kijijini Alfajiri

    Raha sana pale unapokuwa ubanda katika hali ya utulivu. Pengine waweza kuwa unazimua au ndio unaanza kukata kiu. Mama muuza anawaweka katika hali ya kuwaficha kukwepa vijineno vya kijijini. Ni alfajiri haswa pale kunapoanza kupambazuka. Moyo huwa na amani sana na furaha pale uvutapo Funda...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Pombe haijawahi kujua kesho ni siku ya kazi, mtihani, kikao cha familia, safari, kwenda mahakamani, n.k. weka kisa chako pombe ilipokuharibia

    Pombe kweli haina kalenda 😂 Nilisema “nakunywa mbili tu, kesho ninaamka mapema.” Zile “mbili” zikawa 3, zikawa, 4, zikawa 6 asubuhi: Alarm inalia → nainyamazisha kwa hasira Kichwa kinapiga ngoma ya mdundiko Mdomo una ladha kama niliweka betri 🌚 Nilifika kazini nikitembea kama Wi-Fi isiyo...
  19. JamiiForums Tanzania Kwanini hunywi pombe? Kwanini unakunywa.?

    Toa sababu kwani unalewa?? Kwanini hulewwI??
  20. JamiiForums Tanzania TANZIA Mwenyekiti wa CHADEMA kata ya Kibosho akutwa amefariki, Chanzo chatajwa kuwa ni Pombe

    Kijana Deogratius James Ottaru (37), mkazi wa Kijiji cha Kirima Kati, Kata ya Kibosho Kirima, wilaya ya Moshi mkoani Kilimanjaro, amekutwa amefariki dunia ndani ya nyumba yake aliyokuwa akiishi peke yake. Taarifa zinaeleza Drogratius (marehemu) alifariki takribani siku mbili kabla ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…