pombe

  1. Scott junior

    JamiiForums Tanzania Kwanini watu wanaipenda pombe?

    Wakuu habari Naomba kufahamu kati ya unywaji wa pombe kali au bia, Issue ya ladha, relaxation na mood ile ya kuhisi vibe fulani, ndio vinawaletea munkali? Ladha gani mnayoipenda kwa bia na pombe kali. For user only🔥
  2. funaku

    JamiiForums Tanzania Raila Odinga alikuwa rafiki wa mwanaCCM John Pombe Magufuli sio Heche wala Lissu

    Tusitafute kiki bila mpangilio. Kwenye uchaguzi wa 2015 CHADEMA iliwahi kulalamika kumuona Raila Odinga anamuendorse Magufuli kwenye kuwania urais . Hii kiki ya makamu mwenyekiti wa chadema kulilia kwenda kumzika Odinga ni unafiki wa hali ya juu.
  3. N

    JamiiForums Tanzania Mrejesho wa kuanzisha biashara na kampuni ya Pombe Kali

    Wakuu miezi kadhaa iliyopita nilitoa uzi wa kuzungumzia hii biashala ya pombe kali lakini changamoto ilikuwa capital. Nikaomba kama kuna MTU anaweza tukaungana tukatengeneza kitu kikubwa lakini bado hakutokea. Leo nimewaletea sample kuwaonesha hatua niliyofikia hivyo tayari nina jina, lable...
  4. kyagata

    JamiiForums Tanzania Kiukweli sisi wanaume wenye wanawake wasiokunywa pombe tunapitia wakati mgumu sana

    Sina haja ya kuwasalimia coz mara nyingi huwa hamuitikii. Sisi wanaume wenye wake wasiokunywa pombe tunapitia wakti mgumu sana. Tunaongozana vizuri kwenda bar kuinjoy life but kufika huko bar unashangaa mtu anakunywa juice au flying fish tu. Sasa wakuu kweli tuchoshane coz ya flying fish tu?
  5. Dogoli kinyamkela

    JamiiForums Tanzania Pombe ni kinga ya ukweli katika asili.

    POMBE NI KINGA YA UKWELI KATIKA ASILI. Kuna maneno mazito sana katika ulimwengu wa kale: wakati babu zetu walipo tumia kinga ya ulevi kusema Ukweli. Walijua wazi kuwa “Ukweli ni mchungu na huumiza, lakini Uongo ni mtamu lakini Huua.” karibu katika meza ya Mkushi Dr. DOGOLI KINYAMKELA ☠️💀...
  6. Tonny Kapola Gas Station

    JamiiForums Tanzania Zaidi ya Asilimia 86 ya Pombe Zinazouzwa Tanzania Zimechakachuliwa. Mnaua Figo na Maini Yenu!

    TBS wameshindwa kazi. Ni kila mtu na lwake. Pombe feki zinachanganywa na mbolea. Madawa ya hospitalini. Makemikali ya viwandani. Halafu wewe unafakamia. Miaka mitano tu mbele ya safari figo na ini hoi. Maisha yanakoma. Ewe mlevi na mnywaji: chukua hatua...
  7. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Ipi sababu ya ongezeko la vijana kuvamia pombe kali za kienyeji kwa kwa wingi mnoo?

    Kuna wakati tuliona wazee ndio wanaozifata hizi pombe za kienyeji Utaita gongo, chang'aa , etc Ukata? Ulevi usio na mipaka? Trend? Msongo? What happened?
  8. bob_fundi

    JamiiForums Tanzania Unatumia VPN gani?

    Habar za muda huu . Kama kichwa kinavyo jieleza hapo juu. Na hali inayoendelea sasa JamiiForums tuambie unatumia VPN gani kuingia kwenye hili jukwaa. Mm natumia thunder VPN ipo vizuri inanisaidia X zamani twitter na hapa JamiiForums. Tuambie wewe unatumia ipi hivi ikitokea moja imezingua tuwe...
  9. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania Aliyemnywesha pombe mtoto anasakwa na polisi

    Msemaji wa Jeshi la Polisi nchini, David Misime amesema Jeshi hilo linamtafuta mwanamke aliyeonekana katika picha mjongeo inayosambaa mitandaoni akimnywesha pombe mtoto mdogo na kumtaka atakapoona taarifa hii ajisalimishe mara moja katika kituo chochote cha Polisi. Misime amesema tukio hilo...
  10. kadiri kasimba

    JamiiForums Tanzania "Madhara ya pombe Kwa vijana-jiokoe kabla haujachelewa!

    Habari wakuu! Kumekuwa na ongezeko kubwa la vijana wanaokunywa pombe kali. Wengi hudhani ni fasheni, njia ya kujiburudisha au kuondoa stress. Lakini ukweli ni kwamba pombe kali ina madhara makubwa kwa afya na maisha ya kijamii, hasa kwa vijana ambao bado wapo kwenye hatua ya kujenga maisha...
  11. Saoka

    JamiiForums Tanzania Pombe inanitesa toka juzi nilichanganya pombe kali,na Mabia

    Wakuu habari, Pombe inanitesa toka juzi nilichanganya pombe kali,na Mabia yani nipo kitandani tu hapa sielewi kichwa kina mawenge ndoto za ajabu ajabu, Wazoefu mtupe mbinu jamani nini chakufanya kurudi kwenye hali ya kawaida NATAMANI NIACHANE NAYO KABISA HII KITU NATESEKA MNO SIKU YA 3 LEO...
  12. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Vijana, Figo zinaua, jilindeni na haya Mapombe…Ushauri tu!

    Nusu saa iliyopita tumempoteza Mr Richard, ndugu wa karibu kabisa. Wakati namshauri miaka hiyo mjomba kupunguza mambo, yetu yanauWa, ilikuwa ngumu sana kuelewa. Baada ya miaka kadhaa, ndugu alianza kuumwa, baadaye wakakuta figo inashida. Ilipofikia, haikuwa habari njema kwa familia. Hatimaye...
  13. kyagata

    JamiiForums Tanzania Hivi msiokunywa pombe usingizi huwa mnaupataje?

    Ni siku ya pili sijagusa tungi kabisa. Sasa changamoto ninayoipitia ni kukosa usingizi kabisa,yani nachelewa kulala na pia nawahi kuamka. Sasa nawaza nyie msiokunywa tungi kabisa,huwa mnatumia mbinu gani kupata usingizi?
  14. Gospel KTV

    JamiiForums Tanzania Pombe na wanawake huwapotosha wanaume wenye akili

    Naomba tufungue kitabu cha mithali katika biblia: Mithali 31:4–5 3 Usiwape wanawake nguvu zako; Wala moyo wako usiwape wale wawaharibuo wafalme. 4 Kunywa mvinyo hakuwafai wafalme, hakuwafai wafalme; Wala haifai wakuu waseme, Ki wapi kileo? 5 Wasije wakanywa na kuisahau sheria, Na...
  15. Ntakuzibua

    JamiiForums Tanzania Vijana mnaojitafuta acheni kunywa pombe

    Vijana mnaojitafuta acheni kunywa pombe. Mtakuja kunishukuru
  16. mrKey Milly

    JamiiForums Tanzania Pombe

    Kama Unapesa ndo kwanza Unajitafuta Achana Na Kunywa Pombe , Pombe Ni Starehe kama Starehe Nyingine........
  17. Q

    JamiiForums Tanzania Nambie kwanini mimi nisinywe pombe?

    Kwema wakuu Nikiona mtu anamuambia mtu asinywe pombe namuona kama ana matatizo ya akili. Hapo unakuta 1.Anakunywa Ernegy 2.Soda Pepsii Bariidi 3.Anapenda wanawake balaa 4.Anakula Gomba na Skanska Mpumbavu wewe
  18. funaku

    JamiiForums Tanzania Jematangazo ya pombe katikati ya habari ni sahihi kimaadili?

    Ipo kero ambayo isiposemwa basi itaonekana ni utamaduni na desturi.Je uwepo wa matangazo ya pombe yanayowekwa na kuikatiza taarifa ni sawa kimaadili?
  19. Rorscharch

    JamiiForums Tanzania Pombe: Sumu inayoua zaidi kuliko vita na gonjwa lolote, lakini tunaiita burudani

    Kuna vitu duniani ukivisikia vinaua, unajua moja kwa moja havina mjadala. Sumu ya panya? Unakimbia. Risasi? Unakimbia. Lakini pombe? Tunaweka mezani, tunaita “kutoa heshima” na tunamimina kwenye glasi. Na tusidanganyane — pombe ni sumu. Sumu yenye jina la kitaalamu ethanol, inayotengenezwa na...
  20. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kufurahia pombe za bure na vyakula vya bure ni ishara ya umasikini mbaya

    Ukiona mtu mzima hasa kijana anafurahia au anasifia kunywa pombe na kula nyama za bure au vyakula vingine vya bure kwenye msiba, harusi au tukio la aina nyingine yoyote basi ujue ni masikini sana wa kipato au fikra. Hii tabia wanayo sana vijana wa Kaskazini.
Back
Top Bottom