Gavana wa Nairobi, Mike Sonko agawa Pombe aina ya Hennessy akidai ni ‘Vitakasa Koo’

Influenza

JF-Expert Member
Jul 1, 2018
1,297
2,000
Gavana wa Nairobi, Mike Sonko alithibitisha kuwa vifurushi vyake vya misaada kwa Watu kwa ajili ya kukabiliana na janga la #COVID19 vinajumuisha kiasi kidogo cha chupa za vilevi za aina ya Hennessy

Sonko aliyeziita pombe hizo kama “throat Sanitizer” yaani Kitakasa Koo amesema tafiti zilizofanywa na Shirika la Afya Duniani (WHO) na Taasisi nyingine zimeonesha Vilevi vina nafasi kubwa katika kuua #CoronaVirus

WHO imeeleza kuwa pombe hazikingi mtu kutopata Virusi vya Corona na kushauri watu wapunguze matumizi ya Pombe hizo. Imesema Pombe inaweza kupunguzu nguvu ya kinga ya mwili na kumfanya mtu kuwa katika hatari kubwa ya kupata maambukizi

Aidha, Hennessy imesema madai ya Sonko si ya kweli na kwamba kinywaji hicho au pombe ya aina yoyote haizuia watu kupata #CoronaVirus na kuwataka watu kutoamini maneno hayo

===
Recipients of Nairobi politician Mike Sonko's Covid-19 care packages can expect to receive the typical food staples except for one item -- alcohol.

Sonko, the governor of the Kenyan capital city, Nairobi, confirmed in a media briefing on Tuesday that his care packages include a few small bottles of the cognac, Hennessy.

The governor justified the inclusion of alcohol as "throat sanitizer."

"I think from the research conducted by the World Health Organization and various organizations, it has been believed that alcohol plays a major role in killing the coronavirus," Sonko said in a video.

But the World Health Organization has explicitly stated that alcohol does not protect against coronavirus, and advises people to minimize its consumption.

In a post released by the WHO on Tuesday, the organization said that alcohol can weaken the health of an individual and make them more vulnerable to viruses including coronavirus.

Githinji Gitahi, the CEO of Amref Health Africa, a medical nonprofit, in a post on Twitter condemned Sonko's claim and appealed to Kenyans to dump the alcohol.

This isn't the first time Sonko has been met with public scrutiny. The governor was arrested late last year on corruption charges, and was forced to surrender some of his duties to the national government.

Meanwhile, Hennessy has refuted through local media the claims by the Nairobi governor that its drink in particular or alcohol in general can ward off coronavirus contagion

Hennessy would like to stress that the consumption of our brand or any other alcoholic beverage does not protect against the virus," reads part of its statement to Nairobi News.

CNN was unable to reach Sonko for comment.
 
stephot

JF-Expert Member
Mar 1, 2012
12,157

Hii kama itakuwa ni kweli,sitashangaa kukuta nchi kama marekani asubuhi moja watu wa nchi nzima wameamka wako bwii...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom