Hatimaye nimefanikiwa kuacha pombe

chamaclotus

JF-Expert Member
Apr 19, 2019
971
1,969
Baada ya kuanza kunywa pombe nikiwa o level baada ya kuachwa na demu niliyempenda sana mpaka sasa nmemaliza Chuo Kikuu na nna miaka mitatu mtaani.

Nimeamua kuacha pombe rasmi baada ya kusimamishwa kazi kwa muda.

Kilichofanya niache ni baada ya mama mzazi kumwaga chozi hadharani.

Imeniuma sana so tulokuwa tunakunywa wote mtanisamehe. alamsiki
 
Scars kuandika kuwa "Mungu anisamehe" haileti maana kuwa Mungu yupo.
Hiyo ni kutokana na jamii tunazoishi nazo!
Mimi siamini katika Mungu wala Shetani!
Naweza kwenda kanisani au msikitini, haimaanishi kuwa naenda kusali kwa ajili ya Mungu, Hapana, naenda tu kwa malengo yangu binafsi.
 
Uko wapi ,nije hata nikupongeze na kabia kamoja tu...
baada ya kuanza kunywa pombe nikiwa o level baada ya kuachwa na demu niliyempenda sana mpaka sasa nmemaliza chuo kikuu na nna miaka mitatu mtaani. nmeamua kuacha pombe rasmi baada ya kusimamishwa kazi kwa muda. kilichofanya niache ni baada ya mama mzazi kumwaga chozi hadharani. imeniuma sana so tulokuwa tunakunywa wote mtanisamehe. alamsiki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu ndio uanaume
tapatalk_1577347409835.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh basi usiache mkuu, bora tungi kuliko kuchovya chovya hovyo.

Sent using Jamii Forums mobile app

Mkuu shetani kanikamata nikiruka mkojo nakanyaga mavi. Bora ninywe niangalie plan B ya uhakika nikipata niache maana pombe inanigarimu nilienda kwenye kikao.cha harusi Ndugu wa mfanyabiashara mwenzangu baada ya kunywa nikaidi 500,000 mchango baada ya mwenzangu kuahidi 1,500,000 hasara nikubwa nikiandika Ni kitabu.

Kuna siku naanza biashara Kuna mtu nilikuwa namdai mda mrefu ile amenilipa nikafrai nikasema acha nitumie 50,000 maana alitoa 450,000 matokea yake nikaichoma yote saa nne usiku mpaka saa tano asubui.

Siku ingine nimetoka kwenye msiba nikatoa usafiri zile kurupushani maana usiku ulikuwa Kama.wangu Ni mtu nilikuwa nafanya nae kazi na kwao hamna hela nikatoa gari mbili ili zishughulikie msiba nikawa sijala hiyoo Ni saa Saba nikaenda kusaka msosi msosi unachelewa nikapiga vyombo mpaka naondoka saa 9 nikakamatwa na maaskari nikawatukana nikalala ndani. Yani pombe inanitesa lakina Bado sijapata mbadala
 
Huwa unatoaga na offer au
Mkuu shetani kanikamata nikiruka mkojo nakanyaga mavi. Bora ninywe niangalie plan B ya uhakika nikipata niache maana pombe inanigarimu nilienda kwenye kikao.cha harusi Ndugu wa mfanyabiashara mwenzangu baada ya kunywa nikaidi 500,000 mchango baada ya mwenzangu kuahidi 1,500,000 hasara nikubwa nikiandika Ni kitabu.

Kuna siku naanza biashara Kuna mtu nilikuwa namdai mda mrefu ile amenilipa nikafrai nikasema acha nitumie 50,000 maana alitoa 450,000 matokea yake nikaichoma yote saa nne usiku mpaka saa tano asubui.

Siku ingine nimetoka kwenye msiba nikatoa usafiri zile kurupushani maana usiku ulikuwa Kama.wangu Ni mtu nilikuwa nafanya nae kazi na kwao hamna hela nikatoa gari mbili ili zishughulikie msiba nikawa sijala hiyoo Ni saa Saba nikaenda kusaka msosi msosi unachelewa nikapiga vyombo mpaka naondoka saa 9 nikakamatwa na maaskari nikawatukana nikalala ndani. Yani pombe inanitesa lakina Bado sijapata mbadala

Sent using Jamii Forums mobile app
 
baada ya kuanza kunywa pombe nikiwa o level baada ya kuachwa na demu niliyempenda sana mpaka sasa nmemaliza chuo kikuu na nna miaka mitatu mtaani. nmeamua kuacha pombe rasmi baada ya kusimamishwa kazi kwa muda. kilichofanya niache ni baada ya mama mzazi kumwaga chozi hadharani. imeniuma sana so tulokuwa tunakunywa wote mtanisamehe. alamsiki
Aisee mkuu hongera sana kama vipi ibuka hapa bar tugonge K-vant na bia za kutosha tusherehekee kuacha kwako pombe maana siyo jambo rahisi inahitaji kusherehekea aisee
 
Back
Top Bottom