pombe

  1. Mambo ya msingi anayohitaji kila mwanadamu

    Maisha ya mwanadamu yanahitaji vitu vikuu vinne:- Chakula Sehemu ya kulala Afya njema Mavazi Chakula Mwanadamu lazima ahakikishe, miaka yote anapata chakula stahiki, iwe bei imepanda au kushuka, na hii ataitimiza kwa kujiwekea miradi mbali mbali ya kibiashara, kilimo, na ufugaji. Ili...
  2. S

    Ili kuondokana na tozo, Serikali ihalalishe gongo, kilimo cha bangi na kurasimisha pombe za kienyeji

    Ili kuongeza wigo wa mapato yatupasa kama taifa kuthamini na kuzalisha vya kwetu. Tusiwe mabingwa wa kukopi na kupesti tu. Mfano Usafiri wa bodaboda ulianzishwa miaka mingi nchini Nigeria kabla yetu. Kwa Afrika mashariki nchi ya kwanza kuruhusu bodaboda kuwa chombo cha kubeba abiria ni...
  3. Utafiti usio rasmi: Kuna vurugu na malumbano kidogo sana ama hakuna kabisa kwenye ndoa zenye wanaume wanaovuta bangi tofauti na wanaokunywa pombe

    Hata kwa nchi zilizoruhusu bangi hesabu zinaonesha ndoa zenye wavuta bangi ni nadra sana kuwa na matatizo tofauti na ndoa za walevi wa pombe ambazo zimejaa kesi kibao za kuvunjika kwa ndoa, kupigana, kutukanana hadharani, watoto kupigwa hovyo, n.k. Tukija hata hapa bongo tushazoea kuona pombe...
  4. Ripoti: Chanzo cha vifo vya watoto 21 waliofia Bar Afrika Kusini, ni kukosa hewa

    Ripoti ya Uchunguzi wa Sumu kuhusu chanzo cha vifo vya vijana 21 waliofariki dunia wakati wakinywa pombe eneo la #Tavern mwezi Juni, 2022 imeonesha kuwa walikosa hewa kutokana na msongamano wa watu. Mmiliki wa eneo lilipotokea tukio hilo anakabiliwa na mashtaka ya kukiuka sheria za Pombe za...
  5. Intaneti ni biashara si anasa. Intaneti ni ajira, si starehe kama pombe na sigara!

    Mwambieni waziri wa fedha pamoja na TCRA kwamba internet ni biashara sio anasa kama wao wanavyoweza kudhani vijana wengi wamejiajiri kwenye biashara nyingi za mitandaoni zinazotegemea zaidi internet na bando. Wapo YouTube, wapo Instagram, wapo kila mahali wanajiingizia kipato na kodi wanalipa...
  6. S

    Kwanini mnywaji wa pombe ukimuita mlevi anakasirika?

    Habar zenu wadau, Katika utafiti wangu mdogo nilioufanya nimegundua wanyaji wengi wa pombe ukiwaita walevi wanakasirika japo sio wote, ila % kubwa wapo ivo. Kwanini wakasirike wakat ni walevi kweli, hii imekaaje wadau?
  7. S

    Zuchu, mdada anayeamini pombe tu ndiyo dhambi lakini siyo muziki na mavazi yasiyo na staha!

    Angalia alivyovaa na kujiachia! Lakini ni huyu huyu Zuchu aliyekataa kufanya tangazo la pombe (siyo kunywa pombe) kwa madai kuwa ni kinyume cha matakwa ya dini yake. Kungwi Sexless hajafurahishwa na undumila kuwili huu.
  8. Watu 14 wafariki baada ya kudaiwa kunywa pombe, wengine wapo hoi

    Watu 14 wamefariki Dunia katika Mji wa Arua Nchini Uganda baada ya kudaiwa kunywa pombe inayodhaniwa kuwa na sumu. Baadhi ya watu wengine wapo hospitalini wakiwa na hali mbaya, Polisi wameeleza vifo saba vilitokea maeneo ya Mvara na Oluko na vingine saba vimetokea Madi Okollo, yote yakiw ani...
  9. Hivi inakuwaje kijana anakunywa pombe na kuvuta sigara?

    Habari! Sina maelezo mengi. Naomba tu kuuliza. Inakuwaje kijana anakunywa pombe na wengine huvuta na sigara juu?
  10. Mchango wa Walevi kwenye Uchumi; Japan yatoa wito kwa Vijana kunywa zaidi pombe ili kukuza Uchumi

    Bila kupoteza muda,hii ndio habari ya Mjini huko Japan.. Hata hapa Tanzania TBL wameripoti kuongezeka kwa faida ya Mauzo ya pombe.. Hongera sana Walevi kwa kukuza Uchumi,wale wengine na soda zao sijui wataficha wapi sura zao.👇 -- Takwimu za hivi majuzi kutoka kwa wakala wa ushuru zinaonyesha...
  11. Mliobahatika kuacha unywaji wa pombe mlitumia formular gani?

    Wakuu Kiukweli I had a plan kuacha kunywa pombe this year ila nashindwa kabisa.mfano toka Wednesday ya week hii sijagusa kabisa pombe ila leo nimeamka na kiu ya hatari,nikaona nikajiboost kidogo.i feel sorry for me ,na natamani kuachana na hii addiction but nashindwa. Nyie wenzangu...
  12. J

    Video: Mtikila alisema pombe lazima imwagwe na makufuli ya kufunga watu yakatwe!

    Msikilizeni mpaka mwisho.
  13. Pombe ni Ndugu wa madeni

    Salamu wakuu. Kwanza namshukuru Mungu mmoja kwa imani yangu kunijalia afya na pia kunifanya niwe mbali na pombe yaani kunywa pombe. Kimaisha nashukuru hapa nilipofika lakini bado safari ni ndefu japo kuwa umri wangu bado kijana sana. Mimi nilikuwa mnywaji wa pombe mzuri sana nilianza na...
  14. M

    KWELI Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli alifariki Dunia kwa ugonjwa wa Moyo hospitali ya Mzena jijini Dar

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Joseph Magufuli amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 61 Taarifa rasmi iliyotolewa kwa umma na Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan kupitia Televisheni ya Taifa (TBC) leo usiku Machi 17, 2021 saa 5 usiku imeeleza kuwa Rais Magufuli amefariki...
  15. Rasmi kwa ridhaa yangu mwenyewe nimeamua kuacha pombe Eeeh Mwenyezi Mungu nisaidie

    Habari za muda huu ndugu zangu. Katika hali ya kawaida ni vigumu kunielewa kama hayajakukuta. Pombe imeniharibia vingi sana kwenye maisha yangu zaidi ya kunipa faida. - Pombe imemaliza fedha nyingi mno kiasi ambacho speed ya maendeleo yangu ni madogo ukilinganisha na kipato changu. - Pombe...
  16. Kama unaswali kuhusu pombe niulize?

    Yap, niulize chochote kuhusu pombe. Nitajibu maswali yote, na ikitokea utahitaji kijitabu nicheki PM.
  17. Yafuatayo hunitokea mara baada ya kunywa pombe

    Wakuu poleni na majukumu ya kulijenga taifa letu pendwa la Tanzania. Pia poleni sana na mfumko wa bei uliopo nchini na dunia ni kwa ujumla. Ndugu zangu wana JF, mimi ni mtumiaji wa masanga(pombe) japo mara chache chache. Na siku ambayo hutumia kinywaji hiki huwa ni Jumamosi kwa maana ya kwamba...
  18. Dar: Jamaa adaiwa kumuua mpenzi wake kisha naye kujiua kwa kunywa sumu, vidonge na pombe

    Bunaza Doto Manyanda (34) anadaiwa kumuua mpenzi wake, Happiness Mzalile Zakaria (23) kwa kumchoma na kitu chenye ncha kali tumboni kisha naye kujiua, marehemu wote wakiwa ni Wakazi wa Charambe kwa Mbiku Wilayani Temeke, Dar es Salaam. Tukio hilo limetokea jana Jumatano Juni 8, 2022 ambapo...
  19. Wanaokunywa pombe kiasi wana afya nzuri kuliko wasiokunywa

    Pombe inafaida sana kwenye afya ya mtu. Lakini kama kitu kingine chochote, ukizidisha ina madhara sana. Sayansi iligundua zamani kwamba wanaokunywa pombe kiasi wana afya kuliko wasiokunywa.
  20. Tupime Pombe na Madawa ya Kulevya kwa Wafanyakazi Taasisi za Serikali na Bunge

    Mimi kama Mtanzania mwenye nia nzuri na malengo na hii nchi japo nimetamani kuikimbia na nimepata nafasi kadhaa ila nikaamua kubaki naomba kupendekeza ofisi za serikali na bunge zianze kupima pombe na madawa ya kulevya. Hii itasaidia kuondoa wafanyakazi na wabunge ambao wanafanya maamuzi ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…