Wanausalama hao ambao jukumu lao kubwa ni kuangalia aina ya mavazi yanayotakiwa kuvaliwa na raia wake wanaondolewa ikiwa ni miezi kadhaa tangu wawe chanzo cha maandamano yanayoendelea.
Mwanasheria Mkuu wa Iran, Mohammad Jafar Montazeri ametoa kauli hiyo licha ya kuwa bado haijathibitishwa na...
Aliyekuwa kocha mkuu wa klabu ya Yanga SC Mwinyi Zahera ameteuliwa kuwa kocha mkuu wa klabu ya Polisi Tanzania inayoshiriki Ligi kuu ya NBC Tanzania bara kwa mkataba wa miezi 6 mpaka mwisho wa msimu.
Hivi sasa Mwinyi Zahera anatambuliswa kwa wachezaji wa Maafande hao wa Polisi Tanzania.
Mahakama Kuu ya Nigeria imetoa hukumu hiyo kwa kosa la kutotii amri ya Mahakama, uamuzi huo umetokana na kesi ya Afisa wa Polisi ambaye alifutwa kazi mwaka 1992, ambapo alipinga kustaafu kwake kwa kulazimishwa na kuachishwa kazi.
Mahakama imeamua Inspekta Jenerali Usman Alkali Baba kuwa...
Ndani ya Jeshi la Polisi Tanzania kuna Chama cha Wafanyakazi (TUGHE) ambacho kinaundwa na raia, I mean wale ambao siyo police officers but wapo ndani ya Jeshi la Polisi.
TUGHE ina matawi mengi, that’s why nimeeleza kwa ufafanuzi kuwa ninaowazungumzia hapa ni wale walio ndani ya jeshi hilo na...
Salam
Kume kuwa na malalamiko mengi kuhusu rushwa kwa polisi kwamba wanaomba rushwa sana kuliko kawaida
Mimi nataka kuwa ambia sababu za moja kuu inayo wapelekea wao waombe rushwa
Nuture ya kazi yao inawakutanisha na client wao kwa kiasi kukubwa na ukitaka kujua hilo angalia taasisi za...
Imeelezwa kuwa panya hao wamekula bangi hizo zilizokamatwa kama ushahidi kutoka kwa wahalifu na kuhifadhiwa kwenye Kituo cha Polisi.
Maelezo hayo yametolewa Mahakamani wakati kesi tatu za bangi zilipokuwa zikiendelea, tamko la Polisi limesema “Panya ni Wanyama wadogo na hawawaogopi askari ni...
..kuna kipindi Ccm walikuwa wakisema Chadema ni chama cha msimu. Kinaibuka na kufanya siasa wakati wa uchaguzi tu.
..sasa Chadema wamebadilika wanataka kufanya mikutano muda wote, Ccm wanatumia Polisi kuzuia mikutano hiyo.
Mamia ya polisi wamejeruhiwa huku 50 wakiuawa walipokua wanapambana kumpigania 'mungu' wa waislamu dhidi ya wananchi waliokua wanaandamana kupinga kunyanyaswa na sheria za dini.
Maandamano bado yako pale pale....wamekomaa
==============================
DUBAI (Reuters) - Around 50 police have...
Kamanda wa Polisi Mkoa, ACP William Mwampagale amesema tukio lilifanyika kwenye operasheni maalumu baada ya kupata taarifa kuwa kuna kundi la watu waliopanga kufanya uhalifu.
Amesema kundi lilikuwa na wanaume 5 na katika uchunguzi wa awali walibaini wamekuwa wakifanya matukio ya unyang’anyi wa...
Polisi Wilaya ya Tunduru wamevamia shughuhuli ya Ufunguzi wa Tawi la Chama cha ACT Wazalendo katika kijiji cha Namwinyu, Jimbo la Tunduru Kaskazini.
Ufunguzi huo wa Tawi ni sehemu ya ziara ya Kiongozi wa chama, Zitto Kabwe katika Mikoa mitatu ya Kusini.
Nimeona video ya wananchi wakivuta ndege ya PW huko ziwani Bukoba kwa kutumia kamba huku wakiimba na kuhamasishana.
Nimeangalia hiyo video na kuwaona askari kadhaa wa Jeshi la Polisi pamoja na Wanajeshi wakiwa wamesimama pembeni "Wanaangalia" tukio.
Swali langu ni moja tu: Je, wale ni Watanzania?
Jeshi la Zimamoto na Uokoaji kutoka Mkoa wa Kagera limethibitisha kuwa Ndege ya Shirika la Precision Air imepata ajali na kuanguka kwenye Ziwa Victoria wakati ikijaribu kutua na tukio hilo ni kweli.
Zimamoto zimekanusha taarifa za uvumi kuwa ndege hiyo imeangushwa kwa majaribio ya mazoezi ya...
Iran bao wanaendelea kuliamsha, wanauawa ila hawakomi, serikali inapambana kumlinga 'mungu' na uislamu
Iranian protesters clashed with security forces on Thursday in the town of Karaj, some 40 kilometres west of the capital, Tehran.
Hundreds of people blocked the highway that runs through the...
Double standard kwenye kuripoti matukio!
Waharifu wengine wanaanikwa picha zao hata kama uchunguzi unaendelea inakuwaje hawa picha hazijawekwa wazi?
Wakiwa wanaripoti Waharifu wengine huwaonesha kwa mbwembwe wakiwa wanawapigapiga mabegani watuhumiwa kuonesha msisitizo!
Lakini wakikosea wao...
Shahidi namba tatu katika kesi ndogo ndani ya kesi kubwa ya Shambulio la kudhuru mwili Diana Bundala Maarufu kama mfalme Zumaridi ametoa ushahidi wake leo Novemba Mosi, 2022 huku akidai kuwa Askari waliofanya ukaguzi katika nyumba yake wakati akikamatwa walichukua shilingi Milioni 19 na laki...
Kutorekebishwa kwa mishahara hata baada ya kupandishwa cheo kwa askari wa Jeshi la Polisi, kumezua malalamiko kwamba hali hiyo inaathiri mafao yao wanapostaafu.
Licha ya kilio hicho, kwa upande wa askari wa usalama barabarani wao wanalia kufutiwa posho ya pango la nyumba tangu Julai Mosi...
Maafisa 12 wa polisi Nchini Kenya wanakabiliwa na mashtaka ya uhalifu dhidi ya ubinadamu kwa madai ya kuhusika katika makosa yaliyofanywa wakati wa uchaguzi wa mwaka 2017, ikiwa ni pamoja na mauaji ya mtoto wa miezi sita.
Mwendesha Mashtaka Mkuu anasema uchunguzi unaonyesha kuwa maafisa wa...
Askari Polisi gani mwenye utu na Weredi kama ACP Theopista Mallya?
Shikamoo Afande
ACP Theopista Mallya Kamanda wa Polisi Mkoa wa Rukwa, naamini ni moja ya toleo bora la Askari Polisi tunaojivunia.
Aliwahi kuwa Msaidizi wa Mkuu wa Trafiki Tanzania Staff Officer Mnadhimu wa Polisi Makao Makuu...
Sio kusema ni wote lakini hawa wanaofanya haya matukio ndio wanasababisha tuwaweke wote kwenye chungu kimoja.
Leo hii tu kuna kijana mwanafunzi wa chuo cha Saut huko Mwanza katoa ushahidi jinsi alivyopasuliwa korodani na Polisi waliokuwa wamelewa na kumpiga marungu ya kwenye korodani mpaka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.