Polisi yawakamata Panya Road 14 Unguja, 6 kati yao wametokea Dar es Salaam

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Feb 7, 2022
2,309
5,464
Vijana I4 kati yao 6 wakitokea Dar es Salaam wanaodaiwa kujihusisha na uhalifu kwa kutumia silaha za jadi maarufu kwa jina la Panya Road wamefikishwa Mahakamani wakituhumiwa kupora na kujeruhi watu kadhaa Mkoa wa Mjini Magharibi, Unguja.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mjini Magharibu, ACP Richard Thadei Mchomvu amesema kuna makundi mawili ya Panya Road na yote wamefanikiwa kuyadhibiti, mbali na waliofikishwa Mahakamani kuna wengine wanane wanashikiliwa kwa uchunguzi zaidi.

Chanzo: Azam TV
 
Mchomvu, ua , piga risasi yaishe huko mahakamani watashinda au wakifungwa wakirudi wataendelea
 
Back
Top Bottom