Matumizi ya nguvu na polisi yalifuata kanuni za PLAN: Uwiano, Uhalali, Uwajibikaji na Ulazima. Katika sehemu nyingi, hatua za awali kama ilani na mabomu ya machozi zilitumiwa kabla ya kutumia silaha kali pale ambapo maisha yalikuwa hatarini #SautiZaWaathirika
#TumeYaUchunguziReport
Tume Ya Ukweli