Inadaiwa hapo ni Kariakoo, Polisi walikamata Bodaboda Wananchi wakazuia gari
Amendika Twaha Mwaipaya,
Hii ni Jana Kariakoo unaambiwa Polisi walikamata bodaboda wakapakia kwenye gari Raia wakawasha Moto bodaboda zikashushwa, unasikia hapo watu wanasema vibaka hao vibaka hao, watu wamechoka...
Yaani polisi wanafurahi kuonea wanaogopwa badala ya kuwa rafiki na ukaribu na raia
Yaani mtu akisema haogopi polisi anakamtwa?
Kwanini polisi wanataka wananchi waogope chombo Chao cha kulinda raia na Mali zetu
Jeshi la Polisi Mkoa wa Pwani limetoa ufafanuzi kuhusu kukamatwa kwa wanachama 29 wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), wakiwemo wanawake 20 na wanaume 9, ambao baadaye waliruhusiwa kwa dhamana.
Kwa mujibu wa taarifa ya polisi iliyotolewa Machi 8, 2026 na Ofisi ya Kamanda wa Polisi...
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano.Kati ya maandiko yangu ya siku zilizotangulia niliwahi kugusia bwana mmoja maarufu kwa jina Baraka wasila ambaye ni muasisi wa kuuza dhahabu feki hapa bunda mjini.Niliwahi pia kueleza kwamba licha ya kuwa muuza dhahabu feki mjini aliamua kufungua...
Ukienda Polisi kutoa Taarifa hukuti Afisa wa Polisi kwenye meza ya mapokezi, hukuti makaratasi bali unakuta vifaa vya kidigitali pekee. Ni vituo janja vya polisi ambapo mtu anaweza kutoa taarifa yeye mwenye moja moja kwa kuweka taarifa hiyo kwenye vifaa janja na Polisi kupokea taarifa na kujibu...
Mwandishi kusaga wa Arusha ashikiliwa na polisi muda huu,chanzo chadaiwa kuandika taarifa za uongo za kijana aliyebishana na polisi
Mwandishi wa habari wa alphonce Kusaga mmiliki wa Kusaga TV na mtangazaji wa kituo cha Radio cha Sunrise anashikiliwa kituo kikuu cha polisi Arusha muda huu baada...
Hotuba kamili ya Rais wa Marekani Donald Trump akitangaza vita dhidi ya Iran
Muda mfupi uliopita, jeshi la Marekani lilianza operesheni kubwa za mapigano nchini Iran. Lengo letu ni kuwalinda watu wa Marekani kwa kuondoa vitisho vinavyotarajiwa kutoka kwa utawala wa Iran, kundi katili la watu...
Watoto wenyewe ni kati ya umri wa miaka 5 hadi 14
Police in Othaya granted 10 days to hold Sheikh Eid Ali to complete probe over allegations of molesting 12 minors aged 5-14 on diverse dates between 2022 and 2025 during madrassa classes, mention set for March 3...
Msafara wa msiba wa Kadinali Pengo ni wa aina yake.
Kuna men in black, makarao wakiwa makini muda wote.
Tunajua Pengo alikuwa kiongozi mkubwa wa dini, lakini kwa huu uzito aliopewq na gavoo mbona kama alikuwa mserikali?
MIezi 3 imepita nilipigwa tukio nikafata taratibu zote nika report nikalazimika kufatilia mwenyewe na kufanya upelelezi aisee tulifanikiwa kupoint mwizi sasa kilichotokea Polisi Jamii waligoma kutoa ushirikiano wa mahali anapoishi ili polisi wakamkamate na sababu kubwa wanahofia maisha yao kwa...
Kumekuwa na trend mbaya ya watumiaji wa bodaboda (pikipiki) kufanya maarifa kwenye Exhaust zao na kuleta usumbufu NOISE POLLUTION.
Vyombo husika vimelala?
Anonymous
Thread
bodaboda
iringa
iringa mjini
kelele
mjini
nemc
nyingi
polisipolisi iringa
sana
Jambo nalowahakikishia kama Mh Polepole , Balozi, alifika Nchini hawakujua, Kakaa miezi yote hiyo hawakujua, Utasema wana INTELIJENSIA??.
Bisho Gwajima Kakaa Dar , muda wake wotee huo mpaka Leo hii, hata hawajui anapolala ,licha ya wao KUMFATILIA sana usiku na mchana , Utasema wana...
Asalaam Aleykum ndugu zangu wote katika imani,
Kuelekea mfungo mtukufu wa mwezi wa Ramadhan, waislamu wote ninawaomba tukutane humu ili tuelimishane mawili matatu kuhusu mwezi huu.
Lengo kuu ni kuweza kufahamu yale yote aliyotufunza kipenzi chetu mtume Muhammad S.A.W kuhusu mwezi huu.
Vitu...
hizi
kidole
kuelekea
kupambana
kupambana na utekaji
mwezi wa ramadhani
namna
ndoa
nguvu ya sadaka
nyingine
pete
polisi
ramadhan
ramadhani
saumu
uislamu
unafiki
uonevu
uonevu wa polisi
ushahidi
utekaji
utekaji tanzania
watekaji
watu wasiyojulikana
zaidi ya
Polisi makao makuu waliunda Kamati kuchunguza kutekwa kwa Mdude mpaka sasa kimyaa japo afisa wao alitajwa bayana.
Mzee Kibao uchunguzi unaendelea, Soka na wenzake Mahakama ikaamuru Polisi wa chunguze hadi leo kimyaa labda bado wanaichunguza amri ya mahakama.
Soka na wenzake uchunguzi...
Moja ya habari inayopata nafasi ni kumuhusu Augustino Polepole kaka wa Humphrey Polepole akieleza kinachoendelea sasa kuhusu mdogo wake.
Lakini mbali na hivyo ameeleza namna Mkuu wa Majeshi namna anavyolipeleka jeshi ni tofauti na walivyofundishwa, ambapo kwa sasa jeshi wanashirikiana na...
Kifo cha Banjoo
This job can be done in less than 24 hrs. Easy , easy , easy , easy. Lakini haipaswi kufanywa na nyie Polisi kwa sababu you are suspects....,
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.