polisi

  1. M

    JamiiForums Tanzania Polisi inafanya uchunguzi kutokana na taarifa ya Hilda Newton aliyochapisha kuwa Serikali imepanga kumuua Lissu kwa Risasi

    TAARIFA KWA UMMA Jeshi la Polisi linaendelea na uchunguzi wa kukusanya ushahidi kutokana na taarifa ya Hilda Newton aliyochapisha na kusambaza katika Mitandao ya Kijamii tarehe 10.4.2026. Taarifa hiyo ilikuwa inasema pamoja na mambo mengine kuwa, Serikali imepanga kumuua Mhe. Lissu kwa risasi...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Dkt. Ryoba: Gen.Z Walichagua amani ndio maana hawakutika Desemba 9. Siyo kwamba waliogopa polisi

    Dkt. Ryoba anasema kuwa Gen.Z Walichagua amani ndio maana hawakutika Desemba 9. Siyo kwamba waliogopa polisi. Anaogeza kuwa Waliona matatizo yetu tunaweza kuyatatua kwa njia nyingine, hivyo walicjagua amani kuliko maandamano, ndio maana hata wale watu walipoitisha tena Desemba 9 hawakutoka...
  3. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania Admini wa Page ya Polisi alipo-like mambo ya ajabu! Kila mtu atachanganyikiwa kwa muda wake

    Wakuu, Itakuwa mizimu ya Oktoba 29 imeanza kuwasalimia na Polisi😌😌 Admini wa Page ya Jeshi la Polisi kajichanganya huko, kaenda kulike mambo ya fezea, mambo ya hajabu, vitu za rikiboy na genge lake:KEKLaugh:. Imebidi nikawafolo Polisi kuhakikisha bana isijekuwa Eiai🌚 Hyyu afande amelike...
  4. USSR

    JamiiForums Tanzania Ujambazi umeanza tena Kisarawe je IGP na DC Magoti wanawasidiaje waathiriwa na je ni polisi wanahusika ?

    Kwako mh Rais wangu na IGP wetu na DC Magoti je ujambazi umeanza tena kwa mfumo wa ndani ya jeshi la polisi? Jana saa nne na nusu za usiku hapa makurunge kiluvya kisarawe kumetokea tukio la ujambazi kwenye bar nne tofauti watu hao ambao mmoja wao alikuwa amevalia mavazi ya polisi na redio call...
  5. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania Polisi Pwani wakanusha Mwigulu kumteka Askari aliyetoa kero kwake kuhusu askari mwenzake

    Wakuu, Aloooo jamaa walimteka bana! Taarifa ya polisi inasema walimchukua tar 15, Feb na siku hiyo hiyo ndio akachukuliwa kwenye kwenye mashtaka:BearLaugh::BearLaugh: hata bila D mbili hesabu hii haiwezi kukushinda. Halafu eti familia yake iliruhusiwa kumuona juzi, na leo amerejeshwa kwenye...
  6. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Leo Aprili 9, 2026 umetimia Mwaka 1 tangu Tundu Lissu alipokamatwa na Polisi na kuwekwa ndani

    Hivi ndivyo Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu alivyokamatwa na Jeshi la Polisi, tarehe 09 Aprili 2025 katika Wilaya ya Mbinga, Mkoa wa Ruvuma wakati alipokuwa akiendelea na Oparesheni #NoReformsNoElection. Leo Aprili 9, 2026, Lissu ametimiza siku 365 (mwaka mmoja) tangu akamatwe. ===========...
  7. Mbabaishaji

    JamiiForums Tanzania Polisi tisa wahukumiwa kunyongwa India

    Polisi wahukumiwa kunyongwa India. Katika uamuzi wa kihistoria, Mheshimiwa Jaji wa Kwanza wa Mahakama ya Wilaya ya Madurai, G Muthukumaran, ametoa hukumu ya kifo kwa polisi wote tisa katika kesi ya mateso na kifo cha Jeyaraj na Beniks walipokuwa mikononi mwa polisi. Inspekta S Sridhar...
  8. figganigga

    JamiiForums Tanzania Polisi: Ni kweli nyeti za wanaume zinaibiwa. Wezi msiwaue

    Polisi amedai ni kweli nyeti za Wanaume zinaibiwa. Ila ameshauri zikiibiwa mwizi msimuue kwani zitakuwa hazirudi. Polisi kadai walipokea ripoti kwamba muiba nyeti kakamatwa, walivyombana akukabali kuzirudisha. Iila akasema zinarudi taratibu taratibu.. Amewashauri Wanawake wasiwalaumuu wake zao...
  9. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi: Utapeli wa "Ile fedha tuma kwenye namba hii" umeshuka kwa kasi

    TAARIFA KWA UMMA TAHADHARI KUHUSU VITENDO VYA UTAPELI. Hali ya Usalama nchini inaendelea vizuri kutokana na jitihada za Jeshi la Polisi zinazo saidiwa na ushirikiano mkubwa kutoka kwa wananchi katika kubaini na kuzuia uhalifu. Pamoja na ushwari huo, yapo matukio mengine yanatendeka kutokana na...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kimara: Polisi walingilia kati kumuokoa aliyepigwa na Wananchi kwa kudaiwa kupoteza nyeti za mtu Mwanaume mmoja

    Jeshi la Polisi limelazimika kuwahi eneo la tukio na kuingilia kati taharuki iliyojibuka Kimara Mwisho, Wilayani Ubungo Mkoani Dar es salaam jioni hii baada ya Wananchi wa eneo hilo kumpiga Mwanaume mmoja anayedaiwa kupoteza sehemu za siri za Mkazi mmoja wa Kimara baada ya kumshika begani...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Polisi inawafuatilia mnaoweka taa kali kwenye magari yenu

    Hii tabia ya watu kuweka taa kali za China kwenye magari imezidi mipaka sasa. Ni wakati muafaka Polisi waanze kukamata magari na bodaboda wanaofunga taa hizi. Na hii ni tabia moja mbaya ya ubinafsi sana (selfish and self centred). Unaweka taa kali ili wewe ndio uone barabara vizuri - na hao...
  12. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania DC Sixtus Mapunda: Wananchi wananiambia hawataki kwenda Polisi, bora niwapeleke TAKUKURU kwa kuwa kuna haki

    Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Sixtus Mapunda. Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) imesisitiza kuendelea kushiriki katika shughuli za kijamii sambamba na jukumu lake la msingi la kupambana na rushwa, ikiwa ni sehemu ya kuunga mkono juhudi za Serikali katika kuboresha huduma za afya...
  13. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Polisi njooni mtuondolee vibaka huku Misugusugu Kibaha, wananchi wanateseka au mmewashindwa?

    Aisee huku Misugusugu Wilayani Kibaha kuna vibaka ambao wanakaa kwenye eneo la Uwanja wa Mpira, majira ya Usiku wa jana wamempora jamaa na kumchoma kisu. Juzi, pia walimpora jamaa laki 3 na kumpiga, aisee cha ajabu hawa vijana wanalindwa kutokana na uzawa wao, kuna ndugu hawa wawili. Hawa...
  14. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Harbinder Sethi atakaswa na Polisi

    Harbinder Singh Sethi (Singasingal, mwenyekiti mtendaji wa makampuni ya kufua umeme ya Independent Power Tanzania Limited IPTL) na Pan African Power Limited (PAP), amesafishwa na Jeshi la Polisi kwamba hakabiliwi na makosa yoyote. kwa tuhuma zilizokuwa zikimkabili zikiwamo za mradi tata wa...
  15. F

    JamiiForums Tanzania Askari polisi Kenya ajichanganya

    Iko askari mpumbavu aliamua kumsomesha mpenzi wake chuo kikuu alitumia takriban 800,000 za kenya baada ya kuhitimu mpenziwe alimuacha na kusema ako na elimu zaidi ya polisi. Polisi alimfuata kwake na kumpiga risasi kumi na saba hadi kufa. Je, makosa ni ya nani?
  16. Candela

    JamiiForums Tanzania Tusiwalaumu sana polisi, mfumo wa kuwapata ni shida pia

    Katika vitu tulifeli kama nchi ni suala la upatikanaji wa polisi. Walio wengi wanapatikana baada ya kufeli shule, yes asilimia 90 ya askari walio huku chini wanaosota barabarani ni waliofeli shule Sasa tuje hapa kwenye shule. Mara nyingi shule kunakuwaga na wale jamaa hawapendi shule, wahuni...
  17. figganigga

    JamiiForums Tanzania Polisi wadai eti Rehema ndo alimuua Athumani Nyanza wa Ilala

    Huyu ndo Muliro. Muongo wa taifa Polisi Tanzania imezungumzia mauaji ya hivi karibuni. Kwamba baada ya mauaji, Polisi Dar es Salaam ilianza uchunguzi wa mauaji ya mtu aliyejulikana kwa jina la Athumani Nyanza ambaye mwili wake ulikutwa umefukiwa kwenye shimo karibu na nyumba yake huko maeneo ya...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Askari Polisi kutumikia kifungo jela miaka 2 kwa kumuua raia bila kukusudia Iringa

    Mahakama Kuu Kanda ya Iringa imemhukumu Askari Polisi namba F.4987, Sajenti Rogers Mmari wa Kituo cha Polisi Ipogolo, kutumikia kifungo cha miaka miwili jela baada ya kupatikana na hatia ya kumuua bila kukusudia kijana Nashon Kiyeyeu, mkazi wa Ipogolo, Manispaa ya Iringa. Hukumu hiyo imetolewa...
  19. MK254

    JamiiForums Tanzania Video: Raia wa Iran asababisha polisi watoke nduki baada ya kuchezesha sauti ya drone

    Wananchi wa Iran wanapata burudani kwa namna mapolisi yao yanababaika kila yakisikia sauti ya drone.... Imekua mazoea kuchezesha hizo sauti za drone karibu na mapolisi ya doria halafu wanachekelea namna inavyokua tafrani. https://www.facebook.com/reel/1451297260343677
  20. M

    JamiiForums Tanzania Polisi Iringa wakamata vifaranga vikiwa vinasafirishwa

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Iringa limekamata vifaranga vya kuku vilivyokuwa vikisafirishwa kwenye mabasi mawili ya abiria yakitokea mpakani mwa nchi jirani ya Malawi kuelekea Visiwani Zanzibar, baada ya kubaini kasoro kwenye nyaraka za usafirishaji. Akizungumza na vyombo vya habari siku ya...
Back
Top Bottom