polisi

  1. The unpaid Seller

    JamiiForums Tanzania Kwanini Polisi hawafugi ndevu?

    Oy hope mko fiti. Ebhana kuna vitu hua tunajua vipo namna fulani lakini sababu hasa hua hatujui, binafsi sijawahi kupata ufafanuzi kwanini askari wetu hawaruhusiwi kuwa na ndevu. Hebu Leo tupate ufafanuzi itakua poa sana kama moja wa wadau ambae ni askaari wetu akatupa ufafanuzi kwa lengo la...
  2. Just Pray

    JamiiForums Tanzania Polisi Songwe: Henry Mboya alikamatwa kwa tuhuma za jinai zinazomkabili. Alikutwa na bastola bandia na koti moja lenye nembo ya SUMA JKT

    Jeshi la Polisi mkoa wa Songwe limetoa ufafanuzi kuhusu taarifa zinazosambaa kwenye mitandao ya kijamii kuhusu Henry Mboya, zikidai kuwa hajulikani alipo baada ya kukamatwa na Polisi. Taarifa iliyotolewa leo Disemba 21 na Kamanda wa Polisi mkoa wa Songwe imesema kuwa Henry Mboya, Mkazi wa...
  3. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Lini polisi wa Tanzania. Wamewahi kuwa wa kweli?

  4. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Ajali ya gari la polisi imetokea uwanja wa ndege Dar

    Ajali hii imetoa ujumbe mbaya sana wa chuki ya wananchi kwa Polisi yaani Polisi wanaomba Masaada raia wanaangalia tu, sijawahi kuona hii kwenye Taifa langu ila leo nimeona kwa macho yangu, hii ni mbaya sana kwenye nchi yetu kiwango cha chuki kwa wananchi ni kikubwa sana, nchi yetu inahitaji...
  5. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Askari kutoheshimu sheria za nchi na kufanya uhalifU, utekaji kwa maslahi ya mtu mmoja sio ukomando

    Askari kutoheshimu sheria za nchi na kufanya uhalifu, mauwaji, utekaji kwa maslahi ya mtu mmoja sio ukomando ni ujinga na uchizi wewe ni mwehu.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Tanzania ya leo, ni mara mia ukutane na majambazi kuliko Polisi?

    Tangu Camilius Wambura akiwa ZCO pale Dar (enzi za Magufuli), vitendo vya utekaji vilishika kasi. IGP wa wakati huo alijitahidi kudhibiti, lakini wapi. ZCO wa wakati huo (Wambura) alikuwa kwenye kikosi maalumu kilichokuwa kikiripoti kwa Rais (Task Force). Kikundi hiki tulikipigia kelele lakini...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Video ikionesha namna Nicodemus alivyokamatwa na watu waliojitambulisha kuwa ni Polisi

    Wakuu SI niliona Simbachawene hivi karibuni alionya mwenendo wa aina hii ya ukamataji? au ndiyo sikio la kufa? === WATU WANAOPIGANIA HAKI WAMEKUWA WANYAMA TANZANIA Hivi ndivyo Polisi walivyo mchukuwa Nicodemus Julius loyore Amekamtwa jana ofisini kwake walienda watu waliovaa kiraia...
  8. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Ni usiku sasa, Wanajeshi rudini mkalale Polisi wafanye doria kuwalinda

    Ndugu zangu wa JWTZ, ni muda wa kwenda kulala, yes kalaleni kwa amani, polisi wapo kwaajili ya kuwalinda wala msiogope. Pumzikeni baada ya kazi ya kupasua matofali kwa kichwa. Mkikamatwa mnazurura msije mkalaumu, si mnamjua kamanda Mafwele, kiboko yenu?
  9. mwehu ndama

    JamiiForums Tanzania Tutengeneze shida ili wasahau mambo ya siasa

    Tuwatengenezee shida ya maji kwa kusingizia mambo ya mvua .Tuzuie vyakula kutoka kwa wakulima kuingia mijini ili tuseme Kuna uhaba wa chakula watu waweke hifadhi za chakula..Tuwakatie umeme makusudi na tufanye mgao katika baadhi ya maeneo. Halafu tukishafanikiwa kuhamisha ajenda za vijana...
  10. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Tanzania ya sasa sio sehemu salama kwa mtu yoyote, ukikamatwa na polisi wanaweza kukuumiza na wasifanywe chochote mageuzi ni lazima

    Tanzania ya sasa sio sehemu salama kwa mtu yoyote, ukikamatwa na polisi wanaweza kukuuwa na wasifanywe chochote mageuzi ni lazima. Lazima tuandamane kudai uhuru na haki, na uwajibikaji.
  11. Fbn

    JamiiForums Tanzania Zamani ilikuwa hivi CCM wakishirikiana na polisi kuzimisha mikutano ya vyama pinzani

    Miaka ya nyuma watu wengi walikuwa wajashtuka kuwa hiki chama kilianza michezo ya uhalifu tokea zamani. Kipindi cha kampeni kulikuwa kuna matokeo ya fujo na kuweka hofu watu wasiende kwenye mikutano ya vyama pinzani. Ilikuwa hivi CCM ilikuwa ikiandaa vijana wenye silahaa za kawaida na...
  12. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Bobi Wine: Polisi Bunduki Mlizobeba zina thamani kuliko nyie

    Bobi Wine kwa polisi wa Uganda: "Ndugu maofisa, bunduki mliyobeba ina thamani ya dola 2,000 za Marekani (kshs 258,000). Angalia jinsi bunduki hiyo inavyoonekana bora kuliko wewe, ilhali unalipwa Sh14,000 pekee. Kwa nini bunduki hiyo inaonekana bora kuliko wewe?" Japo Bobi Wine amesahau bunduki...
  13. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Polisi yachunguza mhadhiri UDOM kuhamasisha maandamno ya Desemba 9. Inaripotiwa alirekodiwa wakati akifundisha

    Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma, ACP Gallus Hyera amethibitisha kwamba Mhadhiri wa Chuo Kikuu Dodoma (UDOM), alikamatwa kwa tuhuma za kuhamasisha maandamano kinyume na sheria. ‎ ‎Kwa mujibu wa taarifa ya kamanda huyo wakati akihojiwa na kwa njia ya simu na Clouds TV, Mhadhiri huyo alikamatwa...
  14. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Jeshi la polisi limegeuka wapotoshaji kulingana na sheria za nchi maandamano hayana kibali, hawa wenzetu wanatumia nini ?

    Jeshi la polisi limegeuka wapotoshaji kulingana na sheria za nchi maandamano hayana kibali, na Kwenye kamusi maandamano ni mkusanyiko sasa kibali cha kufanyia nini kwenye kukusanyika ? Maandamano hayana kibali chochote labda hawa jamaa wananfanya siasa na kuna viashiria vya rushwa kama wanauwa...
  15. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Polisi, TISS na JWTZ vipi kwenye nyumba zenu na za ndugu zenu hapa Dar kuna Maji?

    Katika ulimwengu huu kosa vyote ila kamwe usikose akili. Katika ulimwengu huu kubali kukosa vyote ila sio kukosa utashi wa kukataa udhalimu na kusimamia kutetea haki na ukweli. Wakati Wananchi wanapambana kutaka mfumo bora wa uchaguzi ili wapatikane Viongozi sahihi, wenye akili wanaowajibika...
  16. K

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Dayone: Nina jitoa rasmi kwenye movement ya kuhusu Maandamano

    Kupitia ukurasa wake wa Instagram mwanaharakati Dayonè Vladislaus Monson ameandika haya; “Kwanza kabisa si kubaliani na mauaji Yaliyo fanyika October 29 na ngependa kuona wale Askari walio fanya mauaji waki wajibishwa , pili sikubaliani na Serekali ya SAMIA , yote mpaka wabunge ningependa kuona...
  17. kimsboy

    JamiiForums Tanzania Barua ya kiingereza kutoka Polisi Makao Makuu, imelia

    Imagine hii ndo barua iliyotolewa na polisi makao makuu kuhusu hali ya ndani ya nchi. Ndo maana tunasema tusomeshe watoto wetu shule nzuri na wasome elimu kuliko hizo aibu za kutojua lugha za watu. Haya ndo madhara ya kuajiri watu waliopata zero form 4 Barua imetoka makao makuu ambapo ndo roho...
  18. safuher

    JamiiForums Tanzania LOGIC : Hakuna mtu yeyote aliyepeleka barua polisi ya kuwajulisha kuwa wataandamana tarehe 9 Dec

    Hakuna Kiongozi wa Chama chochote, wa Taasisi yoyote aliyepeleka barua polisi kuwajulisha kuwa wataandamana,kuruhusu jambo ambalo haliko official utakuwa ni uwendawazimu mno. Taarifa za mitandaoni haziwezi kuwa official, kama kuna viongozi fulani walikataa wito wa polisi kwa kudai hawajaitwa...
  19. W

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Yaliyojiri Arusha Yakifanywa Na Polisi Kwa Raia- Hawajaacha Kutumia Landcruiser Zao

    Hii ni relini Unga Limited huyo hapo wameweka barrier wanataka vitambulisho na maswali kibao hadi ndui wanataka kuona kufika hapo huyo boda akawaambia anaenda mount meru hospital mkewe kaenda kujifungua et wamemzuia kupita na wamempiga mbaya then wamemuingiza kwenye gari kama unavyo ona hapo...
  20. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mtangazaji wa Clouds TV: Doria ya Polisi, Wanajeshi iwe endelevu

    Mtangazaji wa Clouds TV, Paul James maarufu PJ amesema, "Asubuhi wakati nakuja kwenye kipindi nilikutana na askari kwenye daraja linalotenganisha mkoa wa Pwani na Dar es Salaam. Wapo askari wanafanya kazi yao vizuri. Wameniuliza kama nina kitambulisho cha NIDA. Nikaonyesha. Mmoja wapo aliponiona...
Back
Top Bottom