polisi

  1. Mawakili wa DKT. Rugemeleza Nshala wadai Askari wamepekua maktaba ya mteja wao kinyume cha Sheria

    Siku chache baada ya Ofisi ya Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI) kumpa wito Wakili Rugemeleza Nshala aliyewahi kuwa Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), kufika Ofisi ya Mkuu wa Upelelezi Kanda Maalum Dar es Salaam, kuna mambo kadhaa yameibuka. Ikumbukwe kuwa Ofisi ya...
  2. Jeshi la Polisi linachunguza kifo cha mtu mmoja aliyekutwa ameuawa ndani ya gari

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limetangaza kuwa linachunguza tukio la kifo cha mtu mmoja aliyefahamika kwa jina la Felix Josephat Mgeni (47) anayedaiwa kuuawa na mwili wake kukutwa ndani ya gari ukiwa na baadhi ya vitu vingine vya jinsia ya kike. Akizungumza leo SACP Jumanne...
  3. Wakili Boniface Mwabukusi aitikia wito wa Jeshi la Polisi, afika kituoni

    Wakili Boniface Mwabukusi ambaye ni mmoja wa mawakili wanaowawakilisha walalamikaji kwenye kesi ya kupinga mkataba wa bandari iliyofunguliwa mkoani Mbeya, ameitikia wito wa Jeshi la Polisi mkoa wa Mbeya baada ya kuitwa (kwa njia ya simu na maandishi) na polisi siku chache...
  4. Kenya: Polisi yazuia maandamano yaliyopangwa kufanyika Julai 12, 2023

    Imefikia taarifa ya Jeshi la Polisi Kitaifa kupitia vyombo vya habari kuwa kuna makundi au watu binafsi wanaopanga kufanya maandamano, migomo au mikusanyiko ya umma katika maeneo mbalimbali nchini, siku ya Jumatano, Julai 12, 2023. Ingawa Ibara ya 37 ya Katiba inahakikisha uhuru wa kukusanyika...
  5. LHRC: Waliotishiwa maisha watoe taarifa polisi

    Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), kimekemea vikali matukio ya kutishiwa maisha kwa baadhi ya Watanzania wanaoonekana kuwa na mlengo au maoni tofauti. Sambamba na hilo, LHRC imekemea vitendo vya baadhi ya viongozi wa Serikali hususani mawaziri kutoa maonyo ambavyo yanaashiria...
  6. DOKEZO Askari Polisi atuhumiwa kumuua raia Arusha kwa kumpiga risasi 3, Wananchi wamtuhumu kwa mauaji ya mara kwa mara

    Kijana mmoja aliejulikana kwa jina la Israel Daudi, amefariki dunia baada ya kupigwa risasi 3 na askari Polisi kwa kile kinachodaiwa kuwa ni kuachia ng'ombe kuingia shambani. Tukio hilo limetokea katika Mtaa wa Olaresho, Kata ya Olasiti katika Halmashauri ya Jiji la Arusha. Akizungumzia tukio...
  7. DOKEZO Trafiki na Polisi wanaotumia pikipiki Sumbawanga wanawatesa wamiliki wa vyombo vya usafiri kwa rushwa iliyokithiri

    Ndugu zangu Watanzania serikali yetu ya Jamuhuri ya muungano wa Tanzania inapaswa kutambua kwamba katika majeshi ambayo ni shida na mateso kwa Watanzania hususani wenye vyombo vya usafiri Jeshi la Polisi kitengo cha usalama barabarani na polisi wanaotumia pikipiki ni tatizo kubwa kwa Watanzania...
  8. Ufaransa: Askari wa Jeshi la Rwanda afungwa Jela Maisha kwa mauaji ya Kimbari

    Mahakama ya Paris imemhukumu Askari polisi wa zamani wa jeshi la Rwanda baada ya kumkuta na hatia ya mauaji ya halaiki na uhalifu dhidi ya ubinadamu wakati wa mauaji ya mwaka 1994 nchini mwake na kumhukumu kifungo cha maisha jela. Mahakama ilisema imempata Philippe Hategekimana, 66, na hatia ya...
  9. B

    Dar es Salaam: Kituo cha mwendokasi Mbagala chageuzwa danguro

    Kama ulidhani kutokukamilika kwa mradi wa mwendokasi awamu ya pili kutoka Gerezani hadi Mbagala Rangi Tatu kunawakera wakazi wanaohangaika na usafiri kila linapokucha au kukuchwa unajidanganya. Ipo adha nyingine ya vituo vyake kugeuzwa madanguro, walalamikiwa wakubwa wakiwa baadhi ya askari...
  10. Dar: NEMC na Chuo cha Polisi kushirikiana kuyalinda na kuyatunza mazingira

    Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira ( NEMC) limekutana na Chuo cha Polisi Kurasini kujadiliana kuhusu elimu ya masuala ya Mazingira kwa wanafunzi wao na namna ya kushirikiana nao katika utekelezaji wa majukumu baina ya taasisi hizi (NEMC na Chuo cha Polisi) ili kuendelea...
  11. Nilivyowahi kutapeliwa na aliyejitambulisha ni polisi nikiwa jiji la Arusha

    Utapeli hauna mjanja, hata mawaziri, maprofesa, wafanya biashara wakubwa, wanatapeliwa. hawa watu walaaniwe!! Nimekuwa msomaji sana wa visa na mikasa inayowatokea watu na nimeweza kupata experience, mafunzo, kujua kujitahadhari, n.k. Leo nimeoamua na mimi niweze kuwaletea mkasa uliowahi...
  12. Simiyu: Utata kesi Askari Polisi aliyetuhumiwa kumjeruhi mtoto wake kisha kesi kufutwa

    Miezi mitano tangu kutokea kwa tukio la Askari Polisi, Abati Benedicto kumjeruhi mtoto wake mwenye umri wa miaka 7 na kesi kufikishwa mahamani, kesi hiyo imefutwa kwa kinachodaiwa kuwa ni kukosekana kwa mashahidi wa kuthibitisha tuhuma zilizomkabili askari huyo aliyekua akifanya kazi kituo cha...
  13. Jeshi la Polisi: Ukipewa dhamana polisi kutoka ni bure usitoe pesa

    Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Geita, Safia Jongo amepiga marufuku tabia ya baadhi ya Askari kuomba rushwa pale ambapo Mtuhumiwa anapokamatwa na kupewa dhamana na Ndugu zake kwa kumtaka atoe chochote katika Vituo vya Polisi. Akiongea na Wakazi wa Kata ya Kamoge Wilayani Bukombe Mkoani Geita...
  14. Kamanda Muliro: Maandamano yakifanyika hayajifichi, huwezi kuwa mtu mmoja unatembea ukasema nimefanya maandamano

    Maandamano yakifanyika hayajifichi, huwezi kuwa mtu mmoja unatembea ukasema nimefanya maandamano, nadhani hata kwenye kamusi ukitafuta neno maandamano unaweza ukaelewa maana yake ni nini, usalama uliimarishwa kiwango ambacho kiliruhusu watu kufanya shughuli zao. "Tulimjibu mhusika na tukampa...
  15. Shinyanga: Polisi wafanikiwa kuzuia ndoa ya binti aliyefaulu kwenda kidato cha tano

    Ikiwa ni tofauti ya siku mbili tangu kuadhimishwa siku ya mtoto wa Afrika ilikwend ana kauli mbiu ya Mpe nafasi msichana boresha sheria ya ndoa na kuchagizwa na mabango yenye jumbe mbalimbali kama USINIPE MUME NIPE ELIMU. Huko mkoani Shinyanga hali ni tofauti kabisa kwani imejitokeza tukio la...
  16. Wakili Kambole: Vyombo vya dola vikivunja haki za binadamu wakati wa Maandamano ya amani, hatua za kisheria zitachukiliwa

    ======= "Wakati wa Maandamano ya amani, Vyombo vya dola vikivunja haki za binadamu kwa namna yoyote hatua za kisheria zitachukiliwa dhidi yao! Iwapo waandamanaji watafikishwa kwenye vyombo vya sheria msaada wa kisheria upo kwa ajili yao! Ni bora wakalindwa wafanye maandamano kwa amani!" Wakili...
  17. Polisi yapiga marufuku maandamano ya kwenda Ikulu ya Magogoni, Dar es Salaam, Jumatatu Juni 19, 2023

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linawatahadharisha wananchi kuhusu taarifa zinazozagaa kutoka kwa mtu mmoja kuwa kutakuwa na maandamano siku ya Jumatatu Juni 19, 2023 kwenda Ikulu ya Magogoni, Dar es Salaam. Taarifa hiyo anayodai kuwa aliifikisha Polisi, tayari amejibiwa kwa...
  18. Watu wengi wameonewa sababu ya Swali hili la Polisi

    Kuna swali maarufu la jeshi letu la Polisi Nchini pindi raia apelekapo mashtaka Polisi 'Unamuhisi Nani'.
  19. Marekani: Afisa wa polisi asimamisha gari la polisi kwa kuzidisha mwendo

    Huko Florida nchini Marekani afisa mmoja wa polisi amezua gumzo baada ya kusambaa kwa video yake inayomuonesha akimsimamisha afisa mwingine wa polisi kwa kuendesha gari kwa spidi kali. Mazungumzo kati yao yalikuwa hivi: "Nini?" aliuliza afisa huyo baada ya kushuka kutoka kwenye gari la polisi...
  20. Fedha za mafunzo Askari Polisi zazua jambo, Msemaji wa Polisi atoa ufafanuzi

    Hali si shwari ndani ya Jeshi la Polisi, baada ya askari wenye cheo cha kuanzia konstebo hadi mkaguzi wanaohudhuria mafunzo ya utayari nchi nzima, kulalamikia kujigharimia mafunzo hayo, licha ya Serikali kueleza kuwa inatoa fedha kwa ajili hiyo. Vyanzo mbalimbali vimelidokeza gazeti hili kuwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…