Watanzania wamekumbushwa kuendelea kuilinda na kudumisha Amani iliyopo hapa Nchini hasa katika kipindi cha kuelekea uchaguzi Mkuu wa mwezi Oktoba mwaka 2025.
Hayo yameelezwa kati Dua Maalumu iliyoandaliwa na Waumini wa Dini ya Kiislamu katika Mtaa wa Mtepwezi kata ya Likonde Halmashauri...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linawashikilia watu tisa kwa tuhuma za utapeli na kujipatia fedha kwa njia ya udanganyifu kupitia mitandao ya kijamii ya Facebook na WhatsApp.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, Benjamin Kuzaga alisema watuhumiwa hao walikamatwa kwa nyakati tofauti Agosti 18, katika...
Wakuu,
Akiwa anaongea leo kwenye Mdahalo wa Wadau wa Amani Kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Wabunge Madiwani 2025 Kamanda Muliro amesema kuwa kazi ya Jeshi La Polisi ni kuzuia uhalifu na machafuko na sio kusubiri yakishatokea ndio wafanyie kazi
Amesema
"Huwezi ukasubiri tukio likamilike ili niwe na...
CHADEMA imelaani kitendo cha Jeshi la Polisi Mkoa wa Pwani kuwashikilia wanachama wake 10 waliokamatwa Kibaha bila dhamana na bila kupewa nafasi ya kuonana na ndugu zao.
Chama kimesema kitendo hicho ni kinyume cha sheria na Katiba, kikitoa wito kwa Polisi kuwapatia wanachama hao haki za msingi...
Salaam!
Tumelalamika humu mara nyingi kwamba wasomi sasa ni wengi, tunaweza kuajiri polisi kwa kigezo Cha degree na wakatosha, sababu mtaani kuna wasomi wengi,
Sasa hili la kuajiri wagombea wa kisiasa wa Nafasi nyeti kabisa za juu wakiwa na Elimu ya kidato Cha nne failure tusirusu.
Yaani...
Jeshi la Polisi Tanzania lipo kwa mujibu wa sheria mama yaani Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ibara ya 147. Moja ya majukumu yake kwa mujibu wa sheria mbalimbali ikiwemo Sheria ya Polisi na Polisi Wasaidizi sura ya 322 kifungu cha 5 (1) ni Kulinda maisha ya watu na mali zao pamoja na...
Hofu kubwa imetanda kwa Wananchi wa Kijiji cha Mbatakero, Wilaya ya Hai, Mkoani Kilimanjaro kutokana na uvamizi unaofanywa na wafugaji wa Kimasai kwa Wakulima Maskini wa kijiji hiki huku uongozi wa kijiji hasa Mwenyekiti ukishutumiwa kupokea rushwa kutoka kwa hawa wafugaji ambao ni wageni eneo...
Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Polisi Nchini wameazimia kuhakikisha kuwa uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025 unafanyika katika hali ya amani, utulivu na usalama na kwamba hawatamuonea muhali mtu yeyote atakaye jaribu kuvunja amani ya nchi.
Azimio hilo limefikiwa baada ya kukamilika kwa Mkutano Mkuu wa...
Wakuu,
Wananchi wa Kijiji cha Rwamgasa, Wilaya ya Geita, wamechoma moto sehemu ya pori la akiba lililopo katika Kitongoji cha CCM wakipinga kile walichokiita uonevu na ukatili unaofanywa na askari wa Maliasili.
Tukio hilo limeibuka baada ya watoto wawili kukutwa porini wakiwa wamepigwa na...
Jana ilitokea ajali ya polisi kupinduka na gari na wengi waliumia na wengine hali si ya kuridhisha. mmoja amekufa ! RIP.
Nimesikitika sana na sijapenda reaction ya wananchi niliowashuhudia around. Wote, wote walikuwa wanashangilia na kutoa negative sympathy kwa majeruhi.
Sijapenda. Ukiwauliza...
Ni lini uliona tangazo la serikali la nafasi za kazi idara ya Usalama wa Taifa? Au ni lini uliona mtu wa kawaida asie na connection yeyote na viongozi wa juu nchini anatamani kufanya kazi Uslama wa Taifa na akanikiwa katika tamanio lake?
Labda ni zile enzi za Nyerere, ambapo wafanyakazi wa...
Mmoja kati ya wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) akivutana na askari wa Jeshi la Polisi katika Mahakama ya Kisutu ambako kesi inayomkabili mwenyekiti wao, Tundu Lissu, inaendelea.
https://www.youtube.com/watch?v=WyoacouIms0
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango anafungua Mkutano Mkuu wa mwaka wa Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Polisi Agosti 11, 2025 Shule ya Polisi Tanzani- Moshi.
Maafisa mbalimbali wakiwasili katika Viwanja vya...
Makamu wa Rais, Dk Philip Mpango, leo Agosti 11 atafungua mkutano mkuu wa mwaka wa maofisa wakuu waandamizi wa Jeshi la Polisi katika Shule ya Polisi Tanzania – Moshi.
Msemaji wa Jeshi la Polisi David Misime, amesema kuwa mkutano huo utafunguliwa Agosti 11 na utafanyika hadi Agosti 15, 2025 na...
Wakuu,
Hii picha mmeiona? Hivi vimulimuli ambavyo naviona kwenye hili gari la Mwijaku vinamaanisha nini?
Au sio vimulimuli hivi?
Na hapa alikuwa nyumbani kwake huko Kigomboni. Kama nchi tunaelekea pabaya sana.
Ni vyema tujulishwe hivi vimulimuli vinamaanisha nini na kwanini Mwijaku anavyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.