polisi

  1. iddy mweka

    JamiiForums Tanzania Usaili wa ajira za polisi 2025

    Jamani naomba nisaidieni location ya ofisi ya polisi wanapofanyia usaili (kuanzia kesho) kwa watu wa kidato cha nne na sita wilaya ya ilala. siku na muda kamili kwa ziada ya maelezo nitashukuru
  2. Prof_Adventure_guide

    JamiiForums Tanzania Polisi Tanzania: Your Nonsense Crimes, Hatutunyamazishwa Forever!"

    Sikilizeni polisi wa Tanzania, na viongozi wote wa kipumbavu wanaochochea hii motherfucking uhalifu mnavyofanya mchana kweupe! I swear to God, I ain't stopping this shit — usiku na mchana, mtasikia sauti yangu mpaka mishipa ya masikio yenu i-burst! Mnatuua, mnatutesa, mnabaka haki za raia huku...
  3. Bams

    JamiiForums Tanzania Polisi kupiga na kuwatupa Watu maporini: Nchi imeingia kwenye State Terrorism?

    Tumeshuhudia siku za hivu karibuni uharamia wa kiwango cha hali ya juu sana ambacho hakijawahi kutokea katika historia ya Taifa letu, uharamia unaofanywa na vyombo vya dola dhidi ya wananchi wasio na hatia wanaokosoa dhuluma dhidi ya haki za wananchi za kushiriki kuwachagua viongozi wao. Watu...
  4. Trinity

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada maswali ya interview za polisi

    Nawasalimu kupitia jina kuu lipitalo majina yote. Kesho kutwa Kuna interview ya polisi naomba mwenye uzoefu ili bwana mdogo akajaribu bahati yake. Natanguliza shukrani zangu za dhati.!
  5. Bams

    JamiiForums Tanzania Polisi Wanaotumika Kudhulumu Haki Za Watu, Hawapo Kwaajili ya Usalama Wa Watu Bali Ni Watu Hatari Kwa Usalama Wa Wananchi

    Takwimu zote, pamoja na hisia za wananchi ni kuwa polisi wanagandamiza na kudhulumu haki za wananchi. Kauli hii iliwahi kutolewa pia hata na Rais Samia siku za mwanzoni mwa utawala wake, kabla na yeye hajageuka. Polisi wa Tanzania, mahali ambapo watajitokeza kwa uwingi mkubwa na kila aina ya...
  6. technically

    JamiiForums Tanzania Polisi Tanzania tubuni mnaangamia kwa kokosa maarifa

    Police wanaotumika kuiba kula uwa ni wale duni, waliochoka wenye njaa Kwa walimu pia Lakini wanaonufaika ni watu wakubwa wanasiasa mafisadi Imagine unatumwa unaua unazika alafu aliyekutuma anakupa pesho ya laki moja Unanuka damu yeye aliyekutuma Wala hajawai kuua Polisi jitambueni sisi...
  7. Elisante Yona

    JamiiForums Tanzania Majukumu na Kazi za Jeshi la Polisi Tanzania

    1. Polisi Tanzania (PT) ni chombo cha Muungano wa Tanzania kilichoundwa ili kuhakikisha usalama wa rai na mali zao, kudumisha Amani na utulivu katika jamii. 2. Kuzuia, kubaini, na kupambana na uhalifu, Ni chombo cha Serikali ya Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, kilichopewa mamlaka na wajibu wa...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Rais Samia ikipishana na matarajio ya raia, ina maana gani?

    25 Aprili 2025 JAMIIFORUMS NI JUKWAA KUBWA LA MEDIA, NAAMINI WATU WAMEITAFAKARI HOTUBA PIA TOFAUTI NA MEDIA ZINGINE TUNAWEZA KUIJADILI ILI KUJENGA TAIFA Leo mheshimiwa rais wa Jamhuri ya Muungano, jioni tarehe 25 Aprili 2025 alitoa hotuba inayo semekana aliongea na taifa. Je wewe kama...
  9. Z

    JamiiForums Tanzania Ukikaidi amri halali ya polisi lazima ushughulikiwe, hutochekewa, imo hata Marekani, duniani kote

    Kikundi cha Chadema ambacho kimedhamiria kufanya fujo na kukaidi amri halali ya Jeshi la polisi kinadhani kitachekewa na Jeshi la Polisi. Hakuna kitu kama hicho. Polisi wapo kwaajili ya kulinda usalama wa raia na mali zao, ikitokea wakaidi lazima watqchezea kichapo cha mbwa koko. Sasa Chadema...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Irresistible logical conclusion kutokana na matendo yaliyofanywa jana na polisi kwa wafuasi wa Chadema ni ipi?

    1. Naration za waathirika lo makao makuu ya Chadema 2. Waliokwenda kuwa damped ni kule kule ambako maiti nyingi zilionekana miaka yote ya nyuma 3. Aina ya mateso na alama ambazo maiti zinazookotwa coco beach na Ununio ni identcal na za jana! CONCLUSION; matukio yote ya kupotea kwa watu...
  11. Just Pray

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA yalitaka jeshi la polisi lieleze ni sababu zipi zinafanya mpaka sasa Hilda Newton aendelee kushikiliwa na kutaka aachiwe mara moja

    "Kanusho la polisi kuwa hayuko kituo cha polisi Central itakuwa ni kanusho la uongo kwa kuwa alipelekwa kituo cha polisi Central jeshi la polisi kupitia kwa mkuu wa jeshi la polisi lieleze ni sababu zipi zinafanya mpaka sasa Hilda Newton aendelee kushikiliwa, na aachiwe mara moja kama wanaodaiwa...
  12. Rebeca 83

    JamiiForums Tanzania Polisi wa mama ndio walioteka akina Sativa........

    Hello JF Kwa wale ambao washawahi kuangalia drama za Crime Scene Investigation washawahi kuona ' profiling ' wanayofanya wachunguzi kujua kama crime Imekuwa committed na mtu mmoja au tofauti.......... kina Heche/Hilda kuchukuliwa 1. Kuzungushwa kwenye gari 2. Kupigwa 3.Kuachwa msituni ni...
  13. Just Pray

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Naibu katibu mkuu CHADEMA Zanzibar: Polisi wanavyotufanyia sio kama wanatuvunja moyo, bali wanatutia ujasiri wa kupambana

    "Hivi ambavyo wanatufanyia vitatengeneza visasi vya muda mrefu sana lakini mimi naamini wametufanyia sisi lakini vizazi vyao vitakuja kufanyiwa haya ambayo tumefanyiwa na sisi. Nataka nimwambie Rais Samia kwamba anachokifanya kutunyamazisha ni kosa kubwa sana kwa sababu binadamu yeyote anapitia...
  14. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Matendo ya polisi Mahakama ya Kisutu jana, yanafanana kundi la vichaa waliopewa marungu na kuachiwa watembee mitaani kumpiga kila waliyekutana naye..!

    Polisi kiuhalisia kazi ya kubwa ni "ku - mantain law and legal orders" ambayo imewekwa ktk lugha rahisi ya "kulinda usalama wa raia na mali zao..." Katika ku - maintain law and orders, moja ya jukumu lao la kwanza kabisa ni kuzuia uhalifu usitokee kwa kudhibiti visababishi.... Ikitokea kuna...
  15. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Mashirika ya kutetea haki za binadamu na ya kisheria acheni kutoa wito kwa jeshi la polisi waorodhosheni kama magaidi wao wanafanya mauwaji makusudi

    Nimesikitishwa kusikia mashirika ya haki za binadamu na mengine ya sheria yanatoa wito kwa jeshi la polisi kuacha kutumia nguvu, hii sio mara ya kwanza kusikia kauli kama hizi na watu wamekuwa wanaendelea kuuwawa kwanini msiwaorodheshe kama magaidi kushinikiza mabadiliko. hayo matamko mepesi ya...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Hivi Huwezi ukawashitaki Polisi kwenye vyombo vya kimataifa

    Nilikuwa nauliza hili kwa haya wanayoyafanya polisi ya kuwapiga raia kuwaumiza na kuwatia vilema bila sababu yoyote hakuna sehemu ambayo wanaweza kushtakiwa. Maana tumezoe kuona watu wakiuwawq na kutupwa kwenye misitu na yaliyofanyika jana kwenye mahakama ya kisutu ni muendelezo wa ukandamizaji...
  17. G Sam

    JamiiForums Tanzania Ifike mahali wapinzani wa Tanzania waelewe kuwa Polisi na CCM hawawapendi na hawapendi maisha yao

    Wapinzani wa Tanzania wale ambao kweli ni wapinzani wakishaelewa hivyo naamini wanaelewa nini wanachotakiwa kufanya. Jana mmeona wenyewe kuna watu waliumizwa kuna kifo na kuna ambae mpaka sasa hajarudi achilia mbali kuchukuliwa na polisi hadharani. Hili jeshi pamoja na CCM kamwe hawawapendi na...
  18. L

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Jeshi la Polisi: Tuliimarisha na kuweka ulinzi mkali Kisutu kutokana na matishio ya kiusalama na vitendo vya uhalifu

    Kuhusu suala la usalama Mahakama ya Kisutu kwa ujumla usalama uliimarishwa kwa kiwango cha juu kufuatia taarifa mbalimbali za matishio zilizokuwa zikipatikana kuhusiana na suala la kesi inayomkabili Tundu Lissu tarehe 24/04/2025. Kazi ya kuzuia vitendo vya kihalifu inaendelea kwani hilo ndio...
  19. Gilbert A Massawe

    JamiiForums Tanzania Hongera Jeshi la Polisi Dar es Salaam

    Kazi nzuri sana imefanyika na hii iwe funzo wanaodhani wanaweza kutokutii Sheria na Maelekezo Siku za Karibuni Kamanda Murillo alitoa Onyo kwa watu waliopanga kuleta Vurugu na Kuchoma Mahakama Moto Magari ya Magareza na Kuchoma Moto Baadhi ya Vituo vya Polisi na Mahakama Jaribo la Chadema...
  20. Congressman

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), liko wapi? Mbona haki za wananchi wake zinakandamizwa na polisi?

    Wakuu, Moja ya Kazi yake sio kulinda Katiba ya nchi? Kwanini katiba ya nchi inasiginwa mchana kweupe na wao wapo wanaangalia bila hata kuchukua hatua yoyote? Ni kweli wameamua kuacha polisi kuonea wananchi? Hili si Jeshi la Wananchi? Na wananchi si ndio sisi? Au tafsiri ya wananchi ni...
Back
Top Bottom