polisi

  1. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Mtanganyika LISSU ananyanyaswa na Rostam Aziz ,Vyombo vya Dola Hususani Polisi , Mahakama viko mfukoni mwake

    Inasikitisha sana, Yaan Mtanganyika , anaumizwa na Rostam Kwasababu ya Masilahi ya ROSTAM na Genge lake !!.
  2. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Bashungwa alikumbusha Jeshi la Polisi kukomesha matukio ya utekaji nchini

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa ameliagiza Jeshi la Polisi kuendelea kuzingatia maelekezo yaliyotolewa na Rais Samia Suluhu Hassan kuhakikisha linashughulikia masuala ya jinai ikiwemo kukomesha matukio ya utekaji nchini. Mbali na hilo, ameliagiza jeshi hilo kudhibiti...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Agizo la Jaji Mkuu George Masaju ladaiwa kuharibu kesi za polisi mahakama za Mwanzo

    Ni agizo alilolitoa mapema mwaka huu baada ya kuapishwa kuwa watuhumiwa wa makosa ya jinai mahakama za mwanzo waww wanajidhamini wenyewe Tatizo limekuja kuwa gumu baada ya wanaojidhamini mahakamani kutorudi tena na kutokomea kusikojulikana. Ingawa alielekeza kuwa kesi ziendelee upande mmoja...
  4. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania GE2025 Waandishi wa Habari wakamatwa na Polisi wakifuatilia matokeo ya Kura za Maoni Manyara

    Waandishi wa habari Watatu akiwemo Julius Msagati wa EATV wamekamatwa na maafisa wa Jeshi la Polisi leo wakiwa katika majukumu yao ya kikazi wakifuatilia na kuripoti matokeo ya kura za maoni kwa nafasi ya Udiwani katika Kata ya Naisinyai, Mirerani, mkoani Manyara. Kwa mujibu wa mashuhuda...
  5. profHarryEnock

    JamiiForums Tanzania Ukatili, Unafiki wa Polisi Wanaotetea Wahuni, this ain’t Justice

    Hii dhambi ya kikatili inayofanywa na baadhi ya viongozi na jeshi la polisi kutetea wahuni ni moral decay ya hali ya juu. Mnataka ku-justify mateso, unyanyasaji na harassment ya raia huku mkiwakingia kifua criminals? That’s some straight-up b*tch move. Kwa msingi wa Katiba ya JMT Ibara ya 12(1)...
  6. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Mwizi amechomwa moto mtaani kwetu alfajiri ya leo. Kuna tetesi Polisi wanataka kuja kukamatwa watu, nifanyeje?

    Kuna jamaa kauwawa Kwa kuchomwa moto Kwa wizi huku mtaani na Kuna tetesi polisi watakuja kukamata vijana wa mtaani kwa mahojiano nifanyaje wazee Ili kuepuka huu msala maana nawaza nijifungie ndani wiki nzima
  7. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Yadaiwa abiria alizimia ndani ya Mwendokasi, Gerezani kutokana na msongamano mkubwa

    Yadaiwa kuwa abiria mmoja alizimia ndani ya basi la mwendokasi eneo la Gerezani kutokana na msongamano mkubwa.
  8. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Polepole: Haipendezi kwenye mchakato wa Ubunge ni Watu wa Familia za Viongozi

    Humphrey Polepole amesema "Leo kinachoendelea kwenye Uchaguzi wa Chama huko chini...ni kudhihirisha ni namna gani Chama kimedhohofika kwenye kusimamia Misingi, Nidhamu ya Wanachama, Maadili, Rushwa" "Ni Haki kila Mtu kugombea lakini kwenye Chama ambacho tuna Kamkate kadogo ka fursa za Uongozi...
  9. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Aliyekuwa Mwanajeshi wa KDF, Afikishwa Mahakamani kwa Kuunda Kundi Dhidi ya Uonevu wa Polisi

    Patrick Osoi, aliyewahi kuwa askari wa Jeshi la Ulinzi la Kenya (KDF), alikamatwa Jumanne baada ya kuunda vuguvugu la kupinga ukatili wa polisi pamoja na maafisa wawili wa polisi. Siku ya Jumatano, alifikishwa katika Mahakama ya Kahawa. Kwa mujibu wa hati ya maombi iliyowasilishwa na Idara ya...
  10. Mzaleee

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kisheria,mtuhumiwa wangu nimemfikisha polisi kwa amri ya mahakama ila polisi wanataka kumuachia.

    Wakuu kwema? kuna jamaa nilimpa pikipiki awe analeta hesabu kwa wiki ila siyo mkataba,pikipiki ilikuwa mpya ameendesha kama miezi 6 akadai eti imepotea maana akimpa ndugu yake,yule ndugu yake nae akampa mtu ambaye ndiye anayedai kuipoteza. Tangu mwezi wa kwanza ndo jamaa ananipa taarifa za...
  11. Fbn

    JamiiForums Tanzania Inakuwaje polisi mseme mabaki yana miaka 11 haraka na kukamata watu wakati picha zinaonesha ni wakati huu

    Kuna mambo nawaza majibu rahisi ambayo polisi uchukulia. Mfano kesi ambazo wanapotea bado zipo kwenye uchunguzi mpaka zikawa giza. Leo hii kama taharuki mshawahi kutoa taarifa kujua miaka 11 ni wapi taatifa iliwekwa miaka 11 iliyopita. Yani mguu bado nyama zipo na bichwa macho yapo na kichwa...
  12. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Polisi: Taarifa ya mabaki ya viungo vya binadamu Mpiji Magoe ni ya zamani

  13. Fbn

    JamiiForums Tanzania Afande muliro kusema `No reforms No election` ipo kwa sheria gani?, Inaonyesha unajibu mambo ya siasa na sio kazi yako

    Hapa afande muriro kama unasoma JF umekosea sana kujibu kitu ambacho sio sehemu yako sababu polisi kazi yake kusimamia usalama pamoja na raia na mali zao.Sasa inakuwaje mambo ya siasa ukaweza kuyajadili ambayo maneno wanayotumia CCM na wewe ndio unatumia hayo hayo. Siku mabadiliko yakija...
  14. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Polisi wavunja kongamano la BAVICHA Morogoro

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogro leo Julai 20, 2025 limedaiwa kuvunja kongamano la Baraza la Vijacha Chadema (BAVICHA) kuhudhuriwa na Mwenyekiti wa baraza hilo Taifa, Deogratius Mahinyila. Taarifa kutoka BAVICHA zimesema askari wa kutuliza ghasia walizingira eneo la ukumbi wakiwa na mabomu na...
  15. Lighton

    JamiiForums Tanzania Polisi wengi wa Tanzania wana tamaa mbaya ya pesa

    Naandika Kwa masikitiko sana. Kuona taasisi nyeti na yenye heshima kubwa Duniani na Tanzania inaharibiwa na washirika wake wengi. Jeshi la polisi Mara nyingi limehimiza wananchi kutoa taarifa, pale ambapo wanaona Kuna vitendo vya rushwa vinafanywa na polisi lakini pamoja na jitihada zote ambazo...
  16. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Polepole apigiwa Simu na Polisi wakati akizungumza na Watanzania

    Polepole apigiwa Simu na Polisi wakati akizungumza na Watanzania
  17. Now and then

    JamiiForums Tanzania Ndugu yangu wa damu alikuwa ameajiriwa na kazi yake ilikuwa kuua na kutesa ,na hakuwa polisi .

    Leo sitomwaga mchele Ila mtambue kuna watu wameajiriwa kwa hiyo.kazi Huyu ndugu yangu muda mwingi alikuwa haendi kazini Ila akienda ilikuwa ni vikao Vya kuua na kutesa . Watu huwa wanafikiri kila mauaji wanafanya polisi Ila kuna hawa watu special kwa Kazi hizo wanaweza wakakuchukua kutoka...
  18. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mtuhumiwa wa Mauaji Hospitali ya Kenyatta akamatwa na Polisi

    Maafisa wa upelelezi wa mauaji wamemkamata Kennedy Kalombotole, mtuhumiwa mkuu wa mauaji ya kutisha ya wagonjwa wawili katika Hospitali ya Kitaifa ya Kenyatta. Uchunguzi wa awali umebaini kuwa Kalombotole alilazwa hospitalini hapo tangu Desemba 1, 2024. Mauaji ya hivi karibuni yanayomuhusisha...
  19. F

    JamiiForums Tanzania Watuhumiwa watano (5) kati ya (7) wanashikiliwa na jeshi la Polisi kwa kosa la kumvamia na kumpora mzungu raia wa kigeni

    Watuhumiwa watano (5) kati ya saba (7) wakamatwa na Jeshi la Polisi baada ya kumvamia na kumpora raia wa kigeni ambaye mpaka sasa haijajulikana ni raia wa nchi gani. Tukio lilitokea wiki iliyopita eneo la Banda la ngozi barabara ya Nyerere road karibu na Lifemate Funiture, raia huyo wa kigeni...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Huyu ndie Polisi anayetumia akiki kuliko maguvu. Sio unakuta watu wanakunywa Kangala alafu unawakamata hovyo.

    Inspekta Makubi bigup👇
Back
Top Bottom