polisi

  1. Damaso

    JamiiForums Tanzania Ukatili wa Polisi, Kumbukeni tunaishi wote pamoja kwenye jamii hampo mbinguni

    Kwa muda mrefu sasa, Tanzania imekuwa ikishuhudia matukio yanayoacha maswali mengi miongoni mwa wananchi: matumizi ya nguvu kupitiliza na ukiukwaji wa sheria na kanuni za Jeshi la Polisi. Katika matukio mbalimbali ya kukamata waandamanaji, kutawanya mikutano au kufuatilia visa vya uhalifu...
  2. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 CHADEMA: Polisi iheshimu eneo la Mahakama na Watanzania wanaofika kufuatilia kesi

    TAARIFA KWA UMMA Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinalaani vikali kitendo cha Jeshi la Polisi kumshemlulia na kumdhalilisha Wakili Deogratius Mahinyila mmoja wa mawakili wa Mwenyekiti wa Chama Taifa, Mhe. Tundu Lissu, baadhi ya viongozi na wanachama wengine. Leo Jumatatu, Agosti 15...
  3. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania GE2025 Aise nimejiwa na wasiwasi polisi wetu hawana mafunzo ya kujikinga na adui yaani kajitu kamoja kanapigwa na Askari 20?

    Nimejiwa na wasi wasi sana yawezekana polisi wetu wanalindwa na Magwanda wanayovaa lakini hawana mafunzo ya kutosheleza ya kujikinga na adui Haiwezekani kajitu kamoja kabisa kampige ngumu Moja askari alafu kavamiwe na kundi kubwa la Maaskari walio shikilia malungu seriously ? Yaani Askari...
  4. covid 19

    JamiiForums Tanzania GE2025 Matendo ya Polisi wetu yanaidhalilisha serikali sana

    Inaonekana kwa sasa kuna hali isiyo ya kawaida, kana kwamba polisi wetu wanapewa posho au zawadi kubwa pindi wanapoonyesha wamempiga mfuasi wa CHADEMA. ile video inayosambaa ikionyesha mfuasi mmoja aliyefika mahakamani kufuatilia kesi ya Lissu leo akishambuliwa vibaya mno, kana kwamba alikuwa...
  5. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Polisi: Mtuhumiwa mmoja akamatwa kwa kujifanya askari polisi, yatoa tahadhari kuelekea Dabi ya Kariakoo

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linaendelea kusimamia mifumo ya kuzuia matukio ya kihalifu Jijini. Kwa ujumla usalama umeimarishwa kwa kiwango cha juu. Tarehe 11 Septemba, 2025 maeneo ya Kariakoo Ilala alikamatwa mtuhumiwa Peter Mahende Mkazi wa Ilemela Mwanza kwa tuhuma za...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Siyo polisi wote ni wanyama naamini wengine wanaumizwa na yanayoendelea

    Huo ndiyo ukweli siyo polisi wote ni wanyama na kuna wengine hawapendezwi na yanayoendelea inchini kama kupiga watu kuteka mpaka kuuwa, Naamini hawa tutakuwa nao na ndiyo watakaotupa habari zote za nani aliyemuwa fulani na mengine mengi,tukeshe tukiomba saa ya ukombozi iko karibu sana
  7. S

    JamiiForums Tanzania Taasisi za Umma, Polisi na watumishi wa Umma mmefanya kosa gani hadi mfunge sehemu ya comments?

    Wakuu, Teknolojia imeleta mabadiliko makubwa sana ikiwemo kwenye mawasiliano ikiwemo Web 2 ambayo inarahisisha watu kuchangamana na kutoa maoni yao katika mambo kadha wa kadha. Kupitia maendeleo haya tunategemea kuona wananchi wakitoa maoni yao kwa uhuru na kushiriki katika mijadala mbalimbali...
  8. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Mwabukusi akemea vurugu za polisi mahakamani, asema ni shambulio dhidi ya haki

    Rais wa Chama cha Wanasheria nchini Tanzania (TLS), Boniface Mwabukusi, ametoa tamko kali akilaani kitendo cha polisi kuwashambulia raia na Wakili Mahinyila ndani ya viunga vya Mahakama Kuu jijini Dar es Salaam. Amesema, “Shambulio lolote dhidi ya wanasheria ndani ya eneo la Mahakama ni...
  9. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Polisi Mara Wakamata Bangi Kilo 1,103 na Mirungi Kilo 65

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mara linawashikilia watu 192 kwa tuhuma za kujihusisha na usafirishaji na uuzaji wa dawa za kulevya, uvuvi haramu na utengenezaji wa pombe haramu aina ya gongo, kutokana na oparesheni maalum zilizofanyika kwa nyakati tofauti katika mkoa huo. Kamanda wa Polisi Mkoa wa...
  10. W

    JamiiForums Tanzania GE2025 Ukiona mtu anahamasisha watu wasipige kura piga simu Polisi

  11. DuaZaMama

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Polisi wanachunguza chanzo Cha kifo Cha wakili

    Polisi jijini Nairobi wanachunguza kisa ambapo Wakili maarufu katika Kaunti ya Nairobi Mathew Kyalo Mbobu, alipigwa risasi na kuuawa na watu wasiojulikana Jumanne jioni. Mbobu alimiminiwa risasi na kuuawa papo hapo na watu wasiojulikana waliokuwa kwenye pikipiki huku akiwa kwenye gari lake...
  12. Msanii

    JamiiForums Tanzania Fikra Tunduizi: Ukatili wa Polisi dhidi ya CHADEMA unaashiria nini?

    Awamu hii ya sita, hususan baada ya Rais Samia kumteua Wambura kuwa IGP, tumeshuhudia ukatili mkubwa tena wa wazi unaotekekezwa na polisi dhidi ya viongozi na wanachama wa CHADEMA. Mara kadhaa tumeona viashiria vya uhusika wa Polisi kwenye utekaji, ulawiti, utesaji na hata vifo vya wanachama wa...
  13. W

    JamiiForums Tanzania Polisi wakanusha tuhuma za Abdul kuua mtu Jangwani

    Kuna taarifa inasambazwa kwenye mitandao ya Kijamii yenye kichwa cha habari kinachosomeka "ABDUL NA KUNDI LAKE WAMTEKA MWANDISHI WA HABARI WAMNYONGA NA KUMTUPA MTO JANGWANI". Maandishi hayo yanaonekana kama ilivyo hapo kwenye kiambatisho na pia kinaonekana kitu kinachoelea. Jeshi la Polisi...
  14. Msanii

    JamiiForums Tanzania GE2025 Polisi waendeleza ukamataji wa Wana CHADEMA siku ya Mashujaa wa Demokrasia

    Taarifa kutoka Arusha Wazee maarufu na wa CHADEMA hapa Arusha Baba Boni, Mzee Lenald Mao na Mzee William Lusingo wamekamatwa tar 07.09.2025, wanashikiliwa kituo kikuu cha police Arusha. Wamenyimwa dhamana.. #Mashujaaday💔
  15. Ex Spy

    JamiiForums Tanzania Ofisi za TLS zazingirwa na Polisi kuzuia mkutano wa CHADEMA

    Chadema walikuwa wameomba ukumbi pale kufanya mkutano wa kuwakumbuka mashujaa yote. Eneo lote limezingirwa na ‘Mapolisi’ === CHADEMA kupitia ukurasa wao wa X wameandika kuwa; "Jeshi la Polisi limezingira ofisi za @TanganyikaLaw na kufunga barabara zote za kuelekea katika ofisi hiyo na kuzuia...
  16. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania Aliyemnywesha pombe mtoto anasakwa na polisi

    Msemaji wa Jeshi la Polisi nchini, David Misime amesema Jeshi hilo linamtafuta mwanamke aliyeonekana katika picha mjongeo inayosambaa mitandaoni akimnywesha pombe mtoto mdogo na kumtaka atakapoona taarifa hii ajisalimishe mara moja katika kituo chochote cha Polisi. Misime amesema tukio hilo...
  17. Stability

    JamiiForums Tanzania Festish yangu ni wadada walio ma askari/polisi, wewe fetish yako ni ipi?

    Nazimika kinooomaaaa.. MAONI:
  18. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Polisi wamewatia mbaroni wanaume wawili raia wa Uturuki waliokuwa na silaha, katika tamasha maarufu la Kitaliano karibu na jiji la Rome

    Huko Viterbo, Italia, polisi waliwakamata wahamiaji wawili wa Kituruki waliokuwa na bunduki, bastola, na risasi nyingi waliokuwa tayari kufyatulia umati wa Wakatoliki 40,000 waliokusanyika kwa ajili ya Sikukuu ya Santa Rosa. Magaidi hao wawili walikuwa wamejipanga katika nyumba ya kukodi...
  19. Fbn

    JamiiForums Tanzania Kauli ya diamond na ommy kama mashaikh,basata,TCRA,JESHI LA POLISI, wasipojitokeza kumuonya basi ndo haya haya wanayoendeleza kubariki huu utawala

    Ni kwamba sasa washatuzarau kuonesha wanakula keki ya taifa na watala wa CCM mpaka kufikia steji ya kututukana. Hivi kwa nini wananchi na mashabiki kuweka ajenda kuunfollow na kutosupport kazi zake.
  20. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Jeshi la Polisi Arusha limchukulie hatua Askari huyu aliyempora Mwandishi kamera akiwa kazini

    Usiku wa kuamkia leo Septemba 9, 2025 katika maeneo ya Washington karibu na Stand Ndogo Jijini Arusha, kulitokea tukio la kusikitisha ambapo Mwandishi aliyekuwa akitekeleza majukumu yake alivamiwa na askari anayefahamika kwa jina la Inspekta.... (jina linahifadhiwa kwa sasa) kutoka Kitengo cha...
Back
Top Bottom