Huyu jamaa anahitaji escort ya polisi wapendwa msaada

Huyu jamaa anahitaji escort ya polisi wapendwa msaada

BASIASI

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2010
Posts
9,732
Reaction score
5,011
Wakulimaa WA vitunguu aiwahusuu, kaeni mbaliii kabisaa

FB_IMG_1582172545810.jpg

FB_IMG_1582172538996.jpg

​
 
[QUOTE="Kamwene kamwene, post: 34439296, m
Nyanya ninyanyue
Nyanya ninyanyase
[/QUOTE]usinikumbushe iringa lupembe lwa senga
 
Haikosi huyo ni Mkinga sio bure. Wakinga kwa uchawi ndio mwisho. Yaani limewaloga watz wote hatukulima nyanya sasa limeanza kuvuna ndo linatufungulia milango ati "Kantangaze". Hatukutangazi basiiii kwendraaaa
 
Yeuwiii 1500? Au vilikua vile vidogo dogo sana wanaita mavuno awamu ya mwisho au marudio?

Sent using Jamii Forums mobile app
ndugu yangu ilikua super hiyo ya kwenda nairobi na same masaro iliku jero box na hali hiyo itakua mwaka ujao wakulima huwa tunafuata mkumbo na kulima kwa mhemuko tukijua fursa kumbe sio msimu ujao temeke,ilala,la mboto na mabibo nyanya zitaozeana
 
Aisee huruma sana, apo mkulima umehangaika kuhudumia hizo nyanya + madawa afu kuuza 1500 akii[emoji51]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom