HONGERENI CCM KWA KUTESA WAPINZANI WENU WAKISIASA ILA.....Eti hatuelewi nguvu ya dola, ambayo ni nguvu ya chama dola.
"Ni uzembe kutolewa madarakani ukiwa umeshika dola" KM CCM
Jafo nimemuona yuko kule nyumaView attachment 1382490
Kama umemuona bwana Jafo katika picha hii akicheki chezo likiendelea, tumsifu photographer.