polisi

  1. JamiiForums Tanzania GE2020 Uzinduzi wa Kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA waendelea, Kawe kumewaka moto leo

    Rais Mtarajiwa wa Tanzania ambaye pia ni Mgombea Urais wa Chadema Mh Tundu Lissu, ambaye wachambuzi wa kisiasa wanamkadiria kujinyakulia zaidi ya 70% ya kura zote, leo tena anaingia kwenye viwanja vya Tanganyika Packers kuongea na wananchi. ===== LIVE FEED: MBOWE: HATUOGOPI TBC WALA...
  2. JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu wa ACT-Wazalendo, Ado Shaibu akamatwa na Polisi usiku wa manane

    Katibu Mkuu wa ACT-Wazalendo, Ndugu Ado Shaibu Ado amekamatwa na Jeshi la Polisi wilayani Tunduru jana Agosti 27 2020 saa sita usiku. Askari Polisi Wilayani Tunduru wakiongozwa na Mkuu wa Kituo (OCD) wakiwa na silaha za moto walimfuata Katibu Mkuu Ndugu Ado Shaibu nyumbani kwake Mtaa wa...
  3. JamiiForums Tanzania Milwaukee Bucks watelekeza mchezo wa 5 NBA playoffs dhidi ya Magic kutokana na Jacob Blake kupigwa risasi na polisi

    The NBA and its players and coaches have taken myriad measures to make clear their support for the Black Lives Matter movement while standing against all racial injustice and police brutality, but in the wake of an unarmed Black man named Jacob Blake being shot seven times in the back in...
  4. JamiiForums Tanzania Nakuuliza IGP Sirro, Mpaka sasa Polisi imewakamata watu wangapi waliotumika kuteka, kuumiza na kupora fomu za Wagombea wa Upinzani?

    Imebidi nijitokeza kukuuliza hadharani kwa vile mpaka sasa bado sijasikia ripoti yoyote ya polisi kuhusiana na jambo hili lililoitia aibu Nchi kote duniani Nilikuwepo kwenye kikao chako cha kujadiliana na wadau wa uchaguzi wakiwemo viongozi wa vyama vya siasa masuala mbalimbali ya kuhusiana...
  5. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Jeshi la Polisi linawashikilia wanachama watatu wa CHADEMA kwa kughushi barua za chama cha SAU ili wachukue fomu za Ubunge!

    Polisi mkoani Morogoro inawashikilia wanachama watatu wa Chadema walioghushi barua za utambulisho wakijifanya ni wanachama wa chama cha SAU na kutaka kuchukua fomu za kugombea ubunge kwa njia ya udanganyifu. ------ Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, Wilbrod Mutafungwa, alisema jeshi hilo...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Polisi wakanusha kutekwa kwa Katibu wa CHADEMA Wilaya ya Ruangwa

    POLISI WAKANUSHA KUTEKWA KWA KATIBU WA CHADEMA WILAYA YA RUANGWA Lakamata vijana watatu wakiwa na nondo ziliviringishiwa bendera za ACT WAZALENDO Jeshi la Polisi Mkoa wa Lindi limekanusha taarifa zilizosambazwa kwenye mitandao ya kijamii kuwa Katibu wa CHADEMA wa Wilaya ya Ruangwa, Bw. Claudio...
  7. JamiiForums Tanzania GE2020 Morogoro: Mgombea ubunge wa CHADEMA Bi Devotha Minja awatoroka Polisi waliotaka kumkamata, gari lake lakamatwa

    Mwenyekiti wa timu ya kampeni ya Mgombea ubunge wa Morogoro mjini kwa tiketi ya CHADEMA na dereva wa mgombea Ubunge wa Morogoro mjini Bi Devotha Minja wamekamatwa na Polisi muda huu huku mgombea huyo akisakwa baada ya kuwatoroka polisi. Inadaiwa gari yake pia imekamatwa na ilikuwa ni katika...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Mikese na Askari polisi: Basi la Sauli limesimamishwa Mikese kwa karibu masaa mawili

    Basi la Sauli limesimamishwa Mikese kwa karibu masaa mawili. Tukio lilianzaje? Basi lilikuwa likiondoka Morogoro mida ya saa 10 jioni limeongozana na Al Sayeed. Dereva wa Al Sayeed na Sauli wote walifanya makosa waka - overtake eneo hilo. Bahati nzuri wa Al Sayeed hakusimamishwa ila wa Sauli...
  9. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Polisi mbaroni akidaiwa kumbaka mtoto wa miaka minne

    Jeshi la polisi nchini Kenya linamshikilia askari wa jeshi hilo kwa tuhuma za kumbaka mtoto wa kike mwenye umri wa miaka minne katika kijiji cha Komomange, Kuria Magharibi, Kaunti ya Migori. Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Kuria, Cleti Kimaiyo amekaririwa na Citizen TV akieleza kuwa afisa huyo...
  10. JamiiForums Tanzania Hai: Waliorusha mawe kwenye mkutano wa Lissu mkoani Kilimanjaro wakamatwa

    Together TunawakilishaHome Waliorusha Mawe kwenye mkutano wa Lissu wakamatwa Jeshi la Polisi mkoani kilimanjaro limewakata watuhumiwa 12 wanaodaiwa kufanya vurugu za kushambulia kwa mawe, mkutano wa mgombea wa Kiti cha Urais kupitia CHADEMA Tundu Lissu Wilayani Hai Mkoani humo wakati...
  11. JamiiForums Tanzania GE2020 Tunduma yazuka vurugu na mabomu ya machozi yapigwa na polisi

    Mabomu yanapigwa mda huu kituo cha polisi Tunduma, wananchi wameandamana wanataka Polisi wamwachie mgombea Udiwani wa Chadema kata ya Majengo Boniface Mwakabanje ambaye anashikiliwa kituoni hapo tangu jana usiku kwa tuhuma za kutengenezwa na Polisi kwamba sio raia wa Tanzania. Zaidi, Soma...
  12. JamiiForums Tanzania Tetesi: Hassan Elias Masala aliyeshinda kura za maoni na kukatwa Nachingwea mikononi Mwa Polisi

    Heshima kwenu. Huyu jamaa yupo kituo cha polisi toka 10:30 jioni . Kosa au maelezo anayochukuliwa ni la kutotimiza ahadi ya Bajaji kwa kwa Mzee Kambanga, ambaye alipata ajali na kukatwa Mguu 2015 akiwa anashangilia ushindi wa masala 2015. Mzee Kambanga alipata ajali wakati...
  13. JamiiForums Tanzania TANZIA Mtanzania Johnson Mdoe auawa kwa risasi Marekani. Polisi watangaza dau kwa yeyote mwenye taarifa

    Polisi mjini Dallas wameomba msaada wa kumpata mtuhumiwa wa mauaji ya mhamiaji kutoka Tanzania, Johnson Mdoe Mchaina ambaye alikuwa anafanya kazi usiku kusaidia familia yake iliyopo Tanzania anapotoka. Hivi ya CCTV inamuonyesha mtuhumiwa akimpiga risasi Johnson na kuchukua maisha yake. Tukio...
  14. Q

    JamiiForums Tanzania Polisi na NEC waanza kuhofia barua za Amsterdam & Partners LLP?

    Hivi karibuni kumekuwa na mfululizo wa barua kutoka kampuni binafsi ya Amsterdam & Partners LLP, walioingia mkataba na mgombea urais wa Chadema Tundu Lissu kumsaidia masuala yake ya kisheria, kiusalama na ulinzi wa haki zake. Moja ya sehemu ya barua yao waliyoliandikia Jeshi la polisi inasema...
  15. JamiiForums Tanzania Polisi wetu wapo kama ''Tokobetsu Koto Keisatsu'' ya Japan enzi hizo

    Miaka Mia iliyopita Japan walikuwa na Aina fulani ya polisi ambayo uanzishwaji wake ulikuwa na lengo zuri kuweka oda katika taifa lakini wakaja kutumika vibaya na ufalme wa Japan. Hawa polisi walifanya Mambo ya kichimvi Sana kule Japan kazi Yao ilikuwa hii hii Kama ya Hawa tanpol yetu kudhibiti...
  16. B

    JamiiForums Tanzania GE2020 IGP Simon Sirro akutana na Wadau wa Uchaguzi 2020, aitaja JamiiForums na Mitandao mingine kama changamoto ya Uhalifu wa Kimtandao sababu ya Teknolojia

    Ikiwa imebaki miezi michache kufikia mwezi Oktoba, mwezi ambao uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020 utafanyika nchini, Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini Tanzania, Inspekta Jenerali, Simon Sirro, leo Agosti 19, amekutana na kufanya mazungumzo na viongozi wa vyama vya siasa, pamoja na Tume ya Taifa ya...
  17. JamiiForums Tanzania "Msininyanyase, mimi si mpinzani," kada wa CCM awaasa Jeshi la Polisi

    "Msininyanyase, mimi si mpinzani," alisikika kada wa CCM wakati polisi wakimbembeleza kama mwana mtukutu apande gari wamsindikize kwenye tawi lao mjini Dodoma baada ya kufanya maandamano wakilalamikia uteuzi wa wagombea wao. Bila shaka angekuwa mpinzani hicho kipigo ambacho angekipata...
  18. JamiiForums Tanzania Dar es Salaam: Polisi waua majambazi wanne na kufanikiwa kukamata silaha mbalimbali

    KUUWAWA KWA MAJAMBAZI WANNE NA KUPATIKANA BASTOLA MOJA, RISASI MOJA, MAGANDA MANNE YA RISASI NA MILIPUKO MIWILI YA KUTENGENEZA KIENYEJI. Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam mnamo tarehe 15.08.2020 majira ya saa tisa na nusu alasiri kupitia kikosi kazi chake kimefanikiwa kuwaua majambazi...
  19. JamiiForums Tanzania Pongezi kwa Polisi wa Morogoro

    PONGEZI KWA POLISI WA MOROGORO. Na, Robert Heriel Jana nimefurahishwa na kile nilichokiona pale Morogoro, Polisi wa Morogoro Mungu awabariki sana. Jana Lissu alikuwa akikatiza maeneo ya Morogoro Mijini akielekea Iringa, kwa kazi ya kutafuta Wadhamini. Nilifurahishwa na namna polisi...
  20. JamiiForums Tanzania GE2020 Nalipongeza Jeshi la Polisi kwa 'fair play' ya leo kwenye mkutano wa Tundu Lissu mjini Morogoro

    Nimefurahishwa na kitendo cha Jeshi la Polisi kutimiza wajibu wake bila upendeleo. Leo kwenye hadhara ya kutafuta wadhamini, mgombea urais kwa tiketi ya chadema, Bw. Tundu Antipas Lissu akiwa mkoani Morogoro, askari wa Jeshi la Polisi walionekana wakiimarisha ulinzi na kuhakikisha Bw. Tundu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…