polisi

  1. JamiiForums Tanzania ARUSHA: Polisi hawara aua mume wa ndoa kwa risasi

    Polisi wa kituo cha Wilaya ya Monduli Mkoani Arusha wanadaiwa kumpiga risasi raia aliyetambuliwa kwa jina la Yohana Nasieli kwa kile kilichoelezwa kuwa ni wivu wa mapenzi kati ya mke wa marehemu na askari polisi. Habari kutoka kwa ndugu na majirani wa marehemu zilisema kuwa tukio hilo limetokea...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Kamanda wa Polisi, Mkoa wa Mwanza naomba Mwenyekiti wa Waendesha Daladala Jijini Mwanza awekwe ndani mara moja

    Jana nimemsikia Mwenyekiti wa Waendesha Daladala jijini Mwanza anaitishia serikali kwamba wasipowaondoa Waendesha Bajaji eneo la Buzuruga ataitisha mgomo mara moja! Ni ajabu sana huyu mtu kubaki uraiani mpaka sasa, anaitishia serikali yeye kama nani? Kuna watu wameanza kuleta dharau za...
  3. JamiiForums Tanzania Kajala, Paula wahojiwa polisi wakidaiwa kusambaza picha za Harmonize

    Mwigizaji wa filamu nchini Tanzania, Kajala na mwanaye Paula wamehojiwa kwa saa kadhaa polisi na kuachiwa kwa dhamana wakidaiwa kusambaza picha za utupu zinazodaiwa kuwa za msanii wa Bongofleva, Rajab Abdul maarufu Harmonize. Akizungumza na Mwananchi Digital leo Jumanne Aprili 20, 2021 Kamanda...
  4. JamiiForums Tanzania Wanaokula mnofu wa Tanzania

    WANAOFAIDI KEKI YA TAIFA Na Thadei Ole Mushi. Kwa Mwezi anapokea Milioni 11,000,000 Kwa mwaka atapokea 132,000,000 Kwa miaka mitano atapokea Jumla 660,0000 Huu ni mshahara tu hujaweka kiinua Mgongo, bado Sitting allowance, bado Posho mbalimbali nk. Tuachane na mawaziri na manaibu waziri...
  5. U

    JamiiForums Tanzania Amuua Mke na mwanaye kisa wivu wa mapenzi

    Muleba. Jeshi la Polisi mkoani Kagera linamshikilia Joachim Rwegasira mkazi wa kijiji cha Bushanga Wilaya ya Muleba Mkoa wa Kagera kwa tuhuma za kumuua mkewe, Rosemary na mwanaye, Joiness na kisha kujijeruhi. Rwegasira anapatiwa matibabu hospitali ya Wilaya ya Muleba Rubya akiwa chini ya...
  6. JamiiForums Tanzania Nigeria: Watu nane wakamatwa na Polisi kwa kosa la kula mchana mwezi wa Ramadhani

    Watu wanane wamekamatwa na polisi wa Kiislamu katika jimbo la kaskazini mwa Nigeria Kano kwa madai ya kukataa kufunga Mwezi Mtukufu wa Ramadhani. Polisi wa Hisbah wanasimamia sheria za Kiislam huko Kano – moja ya majimbo 12 ya Waislamu kaskazini mwa Nigeria wanaotumia mfumo wa sheria wa...
  7. JamiiForums Tanzania Video ya Polisi akimshambulia kwa risasi kijana wa miaka 13 yatolewa Chicago

    Polisi wa Chicago wametoa picha za afisa aliyempiga risasi mtoto wa miaka 13 kwenye uchochoro wa giza. Video hiyo inaonesha polisi huyo akipiga kelele “dondosha” kabla ya kumpiga risasi Adam Toledo mara moja kifuani tarehe 29 mwezi Machi. Mvulana haonekani kuwa ameshika silaha katika sekunde ya...
  8. JamiiForums Tanzania Dar: Rayvanny afikishwa Kituo cha Polisi

    Rayvanny ameitwa Kituo Kikuu cha Polisi (Central Police) akishtakiwa na Harmonize kuwa amemdhalilisha mitandaoni. Nitawapa updates soon Rayvanny na baba Levo wakitoka kituo cha polisi cha central kufuatia kushitakiwa na Harmonize.
  9. JamiiForums Tanzania Sakata la Dc mstaafu kumpiga mkewe na kumtishia bastola lachukua sura mpya watoto wake washikiliwa na polisi Simanjiro

    Sakata la Philomena Toima mke wa mkuu wa wilaya mstaafu nchini ,Peter Toima Kiroya limechukua sura mpya baada ya jeshi la polisi wilayani Simanjiro kuwashikilia watoto wake kwa sababu zisizojulikana mpaka sasa. Watoto walioshikiliwa na polisi wilayani humo ni pamoja na Nahini Toima pamoja na...
  10. JamiiForums Tanzania Utafiti: Watu weusi wanachukiwa zaidi Marekani wanaongoza kuuawa na polisi, hizi sababu tatu

    Nimefanya utafiti wa takwimu za rangi na matabaka ya kijamii na ambavyo wanaathirika na mfumo wa utoaji haki na kuzuia uhalifu nchini Marekani 1. Wamarekani Weusi wako hatarini zaidi kuuawa na polisi Takwimu ambazo zipo wazi kwa matukio ambayo polisi wameua raia kwa risasi zinaonesha kuwa kwa...
  11. JamiiForums Tanzania Minneapolis, Marekani: Polisi wasema tukio la Mmarekani mweusi kupigwa risasi ni bahati mbaya

    Mkuu wa polisi huko Minneapolis, amesema polisi aliyemuua kwa kumpiga risasi Mmarekani mweusi mjini humo hakunuia kumuua kwa kuwa alitoa bastola yake kwa bahati mbaya wakati mtu huyo alipokuwa akipambana na polisi. Haya yanakuja wakati ambapo maafisa wa polisi mjini humo wamepambana na...
  12. D

    JamiiForums Tanzania Tazama vile ubunifu wa maendeleo Tanzania unavyokwamishwa na Polisi na TRA kwa kuendekeza Ukoloni

    Maendeleo yoyote husukumwa na ubunifu! (Creativity) Ili mwanasayansi agundue lazima asukumwe kufanya ubunifu! Ili mfanya biashara atambulishe fursa lazime atangulize ubunifu! Ubunifu ni Imani ya kutarajia suruhisho! Endapo watu wakiongozwa kwa vitisho na sheria mbovu Imani hiyo ya ubunifu...
  13. JamiiForums Tanzania Polisi endesheni magari yenu kwa kufuata Sheria za usalama barabarani, hamko juu ya Sheria

    Polisi wamekuwa wakiendesha magari yao vibaya sana bila kufuata sheria na taratibu za barabarani. Watu wengi wamegongwa na kufa, na wengine kujeruhika kutokana na uendeshaji wao mbovu. Pia uendeshaji mbovu huaribu vyombo ambavyo vimenunuliwa kwa Kodi za wananchi. Na mbaya zaidi magari yao...
  14. T

    JamiiForums Tanzania Polisi Tanzania wabana waachia, sherehe za Pasaka ruksa

    Jeshi la Polisi leo April 2, 2021 wametoa ufafanuzi juu ya kauli waliyoitoa kuhusu shamra shamra za kusheherekea sikukuu za Pasaka. ‘Taarifa ya Jeshi la Polisi niliyoitoa jana (pamoja na mambo mengine) ilisema tuna imani kama kila Mwananchi atafuata Sheria na kujiepusha na vishawishi vya...
  15. JamiiForums Tanzania Mabadiliko yoyote unayofanya Rais Mpya kama hutogusa Jeshi la Polisi itakuwa kazi bure , utakosa uungwaji mkono wa wananchi

    Uchafu wote uliotendwa wakati wa uchaguzi mkuu , ukiwemo utekaji na uporaji wa fomu za wagombea wa vyama vya upinzani waliokuwa wamekabidhiwa fomu halali kutoka tume , ulisimamiwa na Jeshi la Polisi la Tanzania , Rais mpya Mama Samia Suluhu ukilifumbia macho jambo hili dunia itakushangaa ...
  16. JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi Tanzania na tamko lake juu ya sherehe za pasaka April 2021. Je, mmewashirikisha viongozi wa dini husika?

    Habari za muda huu jamiiforums Leo muda kama wa saa 9 alasiri nikiwa ninapitia mambo kadhaa kule Facebook nimekutana na kauli ya Jeshi la Polisi juu ya sherehe za pasaka kwa mwaka huu wa 2021 ambazo zimeangukia katika kipindi ambacho nchi yetu ipo katika maombolezo mazito kufuatia msiba wa...
  17. JamiiForums Tanzania Polisi Tanzania: Hatutegemei kuona sherehe za Pasaka wakati Nchi bado ipo kwenye maombolezo

    Jeshi la Polisi nchini limesema halitegemei kuona sherehe na shamrashamra za Pasaka kama za kipindi cha nyuma katika kipindi hiki ambacho nchi bado ipo kwenye maombolezo ya kuondokewa na Hayati Dkt. John Pombe Magufuli. ==== Ndugu wanahabari, kama mnavyojua bado taifa letu lipo katika siku 21...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Nashauri Polisi waondoe zuio la sherehe siku ya Pasaka, imani hailinganishwi na chochote

    Kuzuia sherehe za Pasaka kwa namna yoyote ile ni kuingilia mfumo wa imani za watu, kushangilia na shamrashamra ni sehemu ya ibada kwa kufufuka kwa Mwokozi wetu Yesu Kristo, tuwaachie wanadamu waomboleze kwa utashi wao na si kuwaingilia tutaleta mpasuko kwenye nchi. Ipo tofauti ya imani na amri...
  19. JamiiForums Tanzania Marekani: Kikongwe wa miaka 91 adai hana mpango wa kustaafu jeshi la polisi

    Katika hali ya kawaida ni vigumu sana kusikia mtu mwenye umri wa miaka 91 bado yupo kazini na wala hana mpango wa kustaafu, na kitu gani kinakuja haraka haraka kichwani mwako unaposikia kuwa yupo na hataki hata kusikia hilo neno kustaafu. Afisa mmoja wa polisi, Arkansas nchini Marekani...
  20. JamiiForums Tanzania Polisi yakiri watu 45 wafariki Dar wakati wa kumuaga hayati Magufuli

    Chanzo cha habari gazeti la the Citizen la Leo tarehe 30-03-2021 Dunia ina mambo mengi sana na vichekesho vingi sana, Hawa Jamaa Polisi mara ya kwanza waliogopa kutangaza. Hongereni Polisi kwa kutoa ukweli ingawa mmechelewa mlikuwa mnasoma upepo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…