Mhusika wa tukio la Salenda kama sio Mwendawazimu basi sinema miongoni mwa sinema za Kichina

Abuu hanifa

JF-Expert Member
Aug 17, 2021
256
274
Nadharia ya ugaidi nchini na duniani ina ukakasi mkubwa.

95% ya matukio ya Ugaidi yametengenezwa (false Flag terror). Kazi yao kuu ni
  • Kuongopea umma
  • Kujustify propaganda walizozisambaza.
  • Na pia ni moja ya mbinu za kijasusi za kuwaondoa watu ktk focus (ajenda wanazozijadili kwa manufaa ya umma).
5% ya matukio ya kigaidi yanaweza kuwa halisi. Na hawa malengo yao makuu ni kulipiza kisasi.

Sijui huyu jamaa alikuwa na malengo gani.

Kwa tz halijawaji kutoka tukio halisi zaidi ya kutengenezwa kwa kumbukumbu zangu.

Kwa uoni wangu tukio hili ni eitha mhalifu ni mwendawazi au ni tukio la kutengenezwa. (False flag terror), na kama ni la kutengeneza hata risasi zaweza kuwa si halisi ni baruti au rubber bullets.

False flag terror kivipi;- kwanza kavaa kofia ili tukio linasibishwe na Uislam. Uwendawazimu kivipi, Gaidi hana shida ya kutishia watu akiwa ana lengo kuu, huyu kapiga risasi nyingi hewani kama vile adui yake ni jua au ndege. Ni mwendawazimi pekee ndie anaeweza kufywatua risasi hovyo, pia ukiangalia viatu kavaa kila mguu kiatu chake (rangi yake).

Nimesikia ktk mitandao huyu mhalifu alikuwa akitamka Mbowe si Gaidi, Mimi ndie Gaidi.

Ili kuthibisha kuwa tukio hili ni halisi inahitajika kwanza
Tunahitaji picha za waliouwawa,
Tunahitaji kuwaona ndugu zao halisi wa huyo mhalifu wakithibitisha kuwa ni ndugu yao n sio wa kutengenezwa akitokea msumbiji au Rwanda.

Tunahitaji kujua kafikaje pale akiwa na silaha za kivita mbili na bastola.

Naamini CCTV zilizopo pale zitaonyesha alifikaji.

Tukio lile limetokea karibu na
  • Askari wanaokaa muda wote pale kwenye kona ya kuelekea Masaki.
  • Makao makuu ya jeshi,
  • Kituo cha Polisi Selenda
  • bank ya stanbic, ubalozi wa ufaramsa, Japan na Russia.
  • nyumba za wastaafu kadhaa wa JWTZ.
Kama mhalifu wa tukuo hili si mwenye matatizo ya akili, basi litakuwa ni tukio la ugaidi wa kutegenezwa.

++++++++++++++++++++
Majibu ya maswali niliyouliza yanaanza kujibuwa.

Tunahitaji kujua kafikaje pale akiwa na silaha za kivita mbili na bastola?!

Sikiliza aliyeshuhudia

Link

E9olW9OWYAM7PMK.jpeg
 
Umesema vema japo nilishasema tangu mwanzo Kuna move inatengenezwa na imebeba mengi zaidi na yanakuja😢😢😢😢
 
Ukitizama clip zote utaona sio mtu mwenye mafunzo ya kijeshi/kivamiziii

huenda alikuwa na Sononaa (msongo wa mawazo) na sio alodhamiria kufanya tukio kama hilo

ngoja nduguze wajitokezeee
 
So these guys (polisi na kibagharashia) were firing blanks?
Hajui analoongea huyu famba!!Inatia hasira sana kuona kuna wapuuzi wanabeza jitihada za vyombo vyetu vya ulinzi na usalama baada ya matukio ila ni wa kwanza kuulizia utendaji wao wakati wa matukio yenyewe. Hajafika eneo la tukio, si ajabu hajui hata silaha iliyotumika na wala hawezi soma mazingira ya uhalifu kwa kuangalia tu picha na mfululizo wa matukio.Ila hapa anajikakamua kua mchambuzi wa maswala ya kiusalama. UPUUZI MTUPU!
 
Back
Top Bottom