Mung Chris
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 3,367
- 3,778
Haya ni mateso juu ya mateso, Nauli za baada ya kustaafu ni kitendawili, Penesheni ya PSSSF kulipwa ni kitendawili, Madeni pindi tunaenda kozi za vyeo pamoja na kukatwa kwenye mshahara kila mwezi laki 290 elfu kujisomesha kwenye chuo cha serikali kila mwezi bado hatujalipwa nauli zetu za safari masomoni.
Hivi kuna nia njema kwetu au ndio tuhesabu maumivu au tusahau kabisa. Hii sio haki hata kidogo. watu wapo kwenye viyoyozi wanapumzika tu wanakula raha sisi ndio wenye mateso makubwa namna hii kweli. Kulalamika sio kosa kisheria natoa dukuduku ili wenye makosa wajue hapa wanatukosea sana kwa hili.
Hata sisi tuna wanaotutegemea.