polisi

  1. JamiiForums Tanzania Naona harufu ya ufisadi nafasi za kazi jeshi la Polisi, Zimamoto na uokoaji, Uhamiaji na Magereza. Rushwa na undugu vimetawala

    Habari! Kwa vijana ambao ndoto zao siku moja wapige au wapigiwe saluti zitaendelea kuyeyuka hii kutokana na uchache wa nafasi zenyewe. Huu mchakato utafanywa tu kutimiza sheria ila msitegemee sana huko vijana wenzangu. Watu washafanyiwa usaili bubu na kuambiwa wasubiri usaili fake. Hivi kwa...
  2. F

    JamiiForums Tanzania Tuache polisi walinde amani

    Katika hotuba zilizonivutia katika kipindi hiki ni hotuba ya Jaji Warioba. Naomba ninukuu Tuache polisi walinde amani tusiwatake polisi walete amani kwani hiyo si kazi ya polisi. Kuleta amani ni kazi ya jamii.
  3. JamiiForums Tanzania Pongezi kwa Jeshi la Polisi kwa kuwahi kwenye matukio

    Napenda kutoa pongezi za dhati kwa jeshi la polisi Mkoa maalumu wa Kinondoni chini ya RPC Kingai kwa kuwa na utendaji wa haraka wa kufika kwenye matukio mara wanapopokea taarifa za uhalifu hata ikiwa usiku wa manane. Mimi ni shuhuda maana majambazi waliingia mtaani na mara baada ya Polisi...
  4. JamiiForums Tanzania CHADEMA watangaza kutoshiriki majadiliano ya wadau wa vyama vya siasa na polisi

    CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimesema hakitashiriki vikao vya majadiliano ya wadau wa vyama vya siasa, vilivyoitishwa na Msajili wa Vyama vya Siasa, Jaji Francis Mutungi, hadi mwenyekiti wake, Freeman Mbowe, atakapoachwa huru bila masharti yoyote. Sharti hilo limetajwa leo...
  5. JamiiForums Tanzania Eswatini: Jeshi na Polisi wapelekwa shuleni kuzuia maandamano

    Makundi yanayotetea demokrasia katika taifa la kusini mwa Afrika, Eswatini, yanaeleza kwamba serikali imepeleka wanajeshi na polisi katika shule ambazo wanafunzi wamekuwa wakiendelea na maandamano kwa wiki kadhaa wakitaka mageuzi ya kisiasa. Wanafunzi wa shule za msingi na sekondari katika...
  6. JamiiForums Tanzania Waziri Simbachamwene ametudhalilisha Polisi

    Kauli aliyoitoa jana kwamba jeshi la polisi halihitaji watu wenye ufaulu mkubwa kwasababu kazi ya polisi ni kucheza gwaride na kuilinda Benki ni ya udhalilishaji sana. Mimi wiki kadhaa nyuma niliponea chupuchupu kufa kwa kipigo, baada ya wananchi kujua Mimi ni polisi. Maumivu hayajaisha bado...
  7. JamiiForums Tanzania Polisi jamii kukamata vyombo vya Moto na kubambikiza watu kazi

    Naomba mnieleweshe kidogo yawezekana ufahamu wangu mdogo Katika pitapita zangu mikoa ya Dodoma, Tabora na Morogoro nimekutana na hawa watu wanaojiita polisi jamii wakiratibu shughuli za Jeshi la Polisi. Sio vibaya kama wana vibari na wanazingatia sheria. Kuna vitendo vingi sana vinafanyika na...
  8. JamiiForums Tanzania Kwanini Polisi wanapomshikilia mtu wanakimbilia kwenye simu na Laptop yake?

    Amani iwe nanyi Waungwana! Mimi swali langu ni Short and clear, huu utaratibu wa Polisi kushikilia mtu kisha wanabeba na simu yake pamoja na Laptop yake, wanataka nini hasa? Ni sheria gani inayoruhusu wao kuingia na kufungua simu na computer zangu bila ridhaa yangu wakati mimi ni mshukiwa...
  9. A

    JamiiForums Tanzania Mpambano mkali kituo cha Polisi Nzega stendi kati ya Abiria na Polisi

    Wanabodi Natumai mungu ni mwema kwa kila mmoja kwa kupata zawadi ya uhai. Muhtasari wa habari. Moja kwa moja kwenye mada. Mnamo tarehe 5/10/2021 nikiwa natoka Arusha kuelekea mwanza na basi la kiazi kitamu ulizuka msuguano mkali kituoni cha polisi Nzega stendi. Polisi walimshusha dereva...
  10. JamiiForums Tanzania Kwanini Polisi Tanzania wanaipigania CCM kufa na kupona?

    Ni wazi kabisa sasa polis wamechukua nafasi ya CCM kushindana na vyama vya upinzani. Huku CCM ikiwa mtazamaji napengine kuwapo kama haipo. Tofauti ndogo nikwamba polis wanamiliki siraha na mahabusu hivyo washindani wao wanakiona cha mtema kuni. Ukiangalia kwa makini hawa polis na pengine hata...
  11. M

    JamiiForums Tanzania IGP Simon Sirro: Kama una mtoto wako au mume wako mharifu tuletee polisi tukusaidie

    #Manyara "......unamtoto wako mhalifu au mume wako mhalifu tuletee Polisi tukusaidie" IGP Sirro #UmojaWetuNdioNguvuYetu https://t.co/thNHUw97bH
  12. JamiiForums Tanzania POLISI NAO WEZI TU

    Waa na jamii leo naleta mada ambayo ni kero yangu na nina imani wapo wengine. Ni kuhusu polisi na vyombo vya moto vya raia, gari na pikipiki. Inapotokea umepata ajali au tatizo mfano umegonga na gari ikalazimika kubaki kituo cha polisi, basi kadri inavyoo kaa pale ninageuzwa skrepa. Ukifata gari...
  13. JamiiForums Tanzania Polisi wanadaiwa kushikilia simu 18 za wanawake wa CHADEMA Pamoja na gari la mmoja wao kwa zaidi ya miezi miwili

    Taarifa hii ya kusikitisha na kufedhehesha imefichuliwa na Msemaji wa Chama hicho wa Kanda ya Pwani Mh Gervas Lyenda. Inadaiwa wamama hao walikamatwa Kwenye viunga vya Mahakama ya Kisutu siku ya Kesi ya Mwenyekiti wa Chadema tarehe 5/8/2021 na kulundikwa Police Central kwa siku 5 mfululizo ...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Nitafungua kesi dhidi ya Jeshi la Polisi

    Natarajia kufungua kesi mahakama kuu dhidi ya jeshi la polisi, naitaka mahakama kuu itoe tafasiri na/ muongozo wa je Jeshi la polisi linaruhusiwa kuteka raia au kukamata raia? Na Je kukamata ni sawa sawa na kuteka? Na je utaratibu wa kuteka raia unatakiwa uweje? Yaani kabla raia hajatekwa ni...
  15. JamiiForums Tanzania Kiufupi Polisi wako biased sana kwa CHADEMA. Hatua waliyofikia si nzuri

    Wanachopitia CHADEMA ndicho walichopitia CUFmiaka ya 2001, hakuna kilicho kipya zaidi naiona nyota njema kwa CHADEMA. Mbeleni kama si kuchukua nchi ni serikali ya Mseto, kama hutaki bakia kua kichwa ngumu muda unaenda kasi sana utajionea. Imefikia sasa polisi hata kuona mtu aliyevaa T-Shirt...
  16. JamiiForums Tanzania Polisi KAWE mnatumika kisiasa. Kamwe hatukubaliani na mnayofanya

    TAARIFA KWA UMMA. Nimefika kituo cha Polisi Mbweni kufuatilia hatma ya dhamana ya BAWACHA na mwanahabari wetu wa Mgawe Tv ndg. Harlod Shemsanga waliokamatwa asubuhi ya leo kwasababu ya kutokuwa na kibali cha kufanya Jogging. Nimefika Mbweni Polisi saa 9:20 alasiri hii, mbele ya ofisi ya...
  17. JamiiForums Tanzania Mchora katuni Opptertus John Fwema ashikiliwa na Polisi kwa Makosa ya Mtandao

    Cartoonist Oppter John Fwema anashikiliwa na polisi kituo cha Oysterbay. Nimeongea na mdogo wake na amenambia kuwa Oppter alikamatwa nyumbani kwake Bunju siku ya Ijumaa tarehe 3 September 2021kwa makosa ya mtandao. Taarifa zaidi zinaendelea kupatikana Polisi na kwa familia na tutajuzana zaidi...
  18. JamiiForums Tanzania Msajili, Jeshi la Polisi mmebeba dhamana ya amani yetu

    Kwa muda mrefu kumekuwa na mvutano kati ya Ofisi ya Msajili wa vyama vya siasa, vyama vya siasa vyenyewe hasa vya upinzani na Jeshi la Polisi. Ukipekua Katiba ya nchi na sheria zetu unashindwa kuelewa kwa nini haya yanatokea. Kama kila mdau wa siasa angeisoma kikamilifu Katiba ya Jamhuri ya...
  19. C

    JamiiForums Tanzania picha: Jinsi polisi wa kiafrika wanavyofanya upelelezi

    Yaani mtu anakula kibano heavy lakini wanakuambia kwamba ana cooperate vizuri tu hadi anakiri kosa UKISIKIA MANYANI MEUSI NDIYO SISI SASA, SHIT HOLE COUNTRIES
  20. B

    JamiiForums Tanzania Utesaji wa Dola - Agenda kubwa Uchaguzi ujao

    Habari hii iwafikie wote wanaokodolea macho nafasi za uongozi. Ifahamike kuwa bila tume huru hakuna uchaguzi. Hatutaangalia mgombea ni mwanamke au mwanaume. Haki zetu za binadamu hazitakuwa na mbadala. Kama ni mtarajiwa atuambie atafanya nini kuondoa kadhia kama hizi: Kama alikuwamo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…