Waa na jamii leo naleta mada ambayo ni kero yangu na nina imani wapo wengine.
Ni kuhusu polisi na vyombo vya moto vya raia, gari na pikipiki.
Inapotokea umepata ajali au tatizo mfano umegonga na gari ikalazimika kubaki kituo cha polisi, basi kadri inavyoo kaa pale ninageuzwa skrepa. Ukifata gari...