FT: NBC Premier League Yanga 2- 1 Polisi Tanzania 16/08/2022

Kurunzi

JF-Expert Member
Jul 31, 2009
9,288
9,923
Leo tena Mabigwa wa nchi, FA na Ngao ya jamii timu ya Yanga inaanza rasmi mbio za ubigwa wa ligi kuu Tanzania Bara.

Leo majira ya saa 10:00 jioni macho na masikio ya Watanzania yataelekea huko jijini Arusha, Yanga watakipiga na Polisi ya Tanzania

Mchezo huu huenda ukawa na ushindani mkubwa kutokana na historia zikutanapo timu hizi polisi Tanzania mara nyingi huikamia sana Yanga

Yanga leo wanakazi moja tu nayo ni kuhakikisha wanaendeleza ushindi ambao waliuoata dhidi ya Polisi kwwnye msimu ulipita amabpo Yanga ilishinda 2:0 na 1:0 kwenye msimu uliopita, Yanga wanesajili kikosi kipana ambacho leo bilashaka yoyote ushindi ninlazina, huenda leo Nabi kocha wa Yanga akawatumia nyota wake wa kigeni Aziz Key, Kambole, Birigimana na Lomalisa ili kuanza kuvizoea viwanja vya nyumbani.

Msimu huu Poilisi Tanzania wameboresha kikosi chao na benchi lao la ufundi kwa mkumleta kocha mpya Mburundi

Wachezaji wa Polisi Tanzania kama Vitalis Mayanga, Tariq Seif na Tariq Simba wanakazi kubwa kuhakisha wanashinda mechi ya leo.

Updates
Kipa namba moja wa Yanga Diarra huenda akakosa kikaa langoni kutokana na majeraha aliyoyapata kwenye mchezo wa ngao ya hisani dhidi ya Simba.

Diarra aliumia baaada ya kugongana na Pape Sakho kwenye mchezo huo ambao Yanga walitetea ubigwa huo kwa kuchapa simba mabao 2:1

15:12
Kikosi cha Yanga
1. Diarra
2. Djumaa Shabani
3. Lomalisa
4. Job
5. Mondo
6. Aucho
7. Birigimana
8. Moloko
9. Mayele
10. Aziz
11. Ambundo

SUBS
1. Mshery
2. Ibrahim
3. Bangala
4. Faisal
5 Sureboy
6. Mauya
7. Morrison
8. Farid
9. Makambo

16:00
Mpira umeanza kwa kasi hapa yanga wanakosa goal dak 1, yanga wanakosa goli

Dk10
Yanga wanakosa penati hapa
Dk 34
Polisi Tanzania wanapata goli kupitia Kipemba kutokana na makosa aliyoyafanya mwamnyeto

Dk 41 Yanga wanarudisha goli kupitia Mayele Baada ya piga ni kupige kwenye lango la Polisi

Dk 45 half tiime

Dk 90 Yanga wanaondoka na ushindi wa 1-2,

Yanga waneweka historia ya kupiga pasi 83 kwa dk 3 bila mchezaji wa polisi kugusa mpira mpaka refa anapopuliza kioenga
 
Kwanini Timu Zingine Zipanguwe kucheza saa nane mchana jamaniii sio hakii jua ni kalii mno viongozii waliangaliee hilii kwa manufaa ya ligi yetu mbona zinapo cheza simba au yanga hazijawahii pangiwa muda huo ili swala linanikera sana mimi
 
Kwanini Timu Zingine Zipanguwe kucheza saa nane mchana jamaniii sio hakii jua ni kalii mno viongozii waliangaliee hilii kwa manufaa ya ligi yetu mbona zinapo cheza simba au yanga hazijawahii pangiwa muda huo ili swala linanikera sana mimi
Mambo ya mdhamini hiyo na matangazo.
 
Leo Yanga wananza Senza tunaanzia pale polisi Moshi nafikiri maafande wamekaa mkao wa kuanza kuhesabiwa
 
Back
Top Bottom