police

The police are a constituted body of persons empowered by a state to enforce the law, to protect the lives, liberty and possessions of citizens, and to prevent crime and civil disorder. Their lawful powers include arrest and the legitimized use of force. The term is most commonly associated with the police forces of a sovereign state that are authorized to exercise the police power of that state within a defined legal or territorial area of responsibility. Police forces are often defined as being separate from the military and other organizations involved in the defense of the state against foreign aggressors; however, gendarmerie are military units charged with civil policing. Police forces are usually public sector services, funded through taxes.
Law enforcement is only part of policing activity. Policing has included an array of activities in different situations, but the predominant ones are concerned with the preservation of order. In some societies, in the late 18th and early 19th centuries, these developed within the context of maintaining the class system and the protection of private property. Police forces have become ubiquitous in modern societies. Nevertheless, their role can be controversial, as some are involved to varying degrees in corruption, police brutality and the enforcement of authoritarian rule.
A police force may also be referred to as a police department, police service, constabulary, gendarmerie, crime prevention, protective services, law enforcement agency, civil guard or civic guard. Members may be referred to as police officers, troopers, sheriffs, constables, rangers, peace officers or civic/civil guards. Ireland differs from other English-speaking countries by using the Irish language terms Garda (singular) and Gardaí (plural), for both the national police force and its members. The word "police" is the most universal and similar terms can be seen in many non-English speaking countries.Numerous slang terms exist for the police. Many slang terms for police officers are decades or centuries old with lost etymology. One of the oldest, "cop", has largely lost its slang connotations and become a common colloquial term used both by the public and police officers to refer to their profession.

View More On Wikipedia.org
  1. murthehelp

    JamiiForums Tanzania Kwanini Polisi ni wala rushwa sana na Serikali inawaacha?

    Hii inatia hasira kwa wananchi japo wananchi wanaonekana kucheka nao na kula nao ila wakati huwa ni mgumu sana kwa Polisi wote haijalishi ana cheo gani anapo staff. Ubadhilifu na kutokuwa waaminifu katika mazingira ya kazi ni nani hasa anawakingia kifua?? Course zao ni mbovu au mfumo wao. Mimi...
  2. Ileje

    JamiiForums Tanzania Kuna haja Police General Orders (PGO) ziwekwe hadharani kwa matumizi ya umma

    Mara nyingi watu hufanyiwa vitendo vya hovyo, udhalilishaji na kunyimwa haki zao za kisheria na kikatiba na polisi wetu kwa kukosa uelewa wa PGO. Hali hii hufanyika kwa makusudi na polisi ama kwa polisi kusahau au kutokuifahamu PGO. Kwa wananchi kuifahamu vizuri PGO watakuwa katika nafasi nzuri...
  3. Nitrofurantoin 100mg

    JamiiForums Tanzania Central Police Dar es Salaam kuna maaskari vishoka

    Kupatikana kwa haki Tanzania hususani central police DSM pale imekuwa ni changamoto hususani kesi za utapeli na uwizi, maaskari wamegeuka vishoka wa kuwatorosha watuhumiwa wa utapeli. Mtu anaetapeli amejiwekea immunity kituo kikubwa kama central ili tu wadai wakifika central kufuatia madai yao...
  4. Marathon day

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Utajiri wa Koplo Adronis Mushi wa Kituo cha Polisi Kabuku uchunguzwe

    Ndg Wana jamvi, Kumekuwa na malalamiko mengi kwa mabasi na magari mengi yanayo pita njia hii ya SEGERA Chalinze kutokana usumbufu wa Polisi huyu. Anatuhumiwa kwa kulazimisha kupewa rushwa na kubambikia watu makosa hata kuwawekea madereva wa mafuso mirungi, na kudai rushwa kubwa. Watu...
  5. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania Kuhusu matatizo ya Dotto Biteko tunahitaji Metropolitan Police

    Unakimbuka shule ya Shauritanga ilipoungua na kuua wasichana 50 +, Waziri Mkuu Malecela aliwaita Scotland Yard. Kwa sababu ya ukubwa wa tatizo. Juba tofauti gani na sasa ambapo Waziri Biteko anashutumiwa katika kifo cha msaidizi wake? Lazima Scotland Yard waletwe. Wakati ule aliketwa Collin...
  6. N'yadikwa

    JamiiForums Tanzania Askari wa Usalama barabarani mmeshindwa kuwadhibiti bodaboda wanaotoa side mirror?

    Matokeo yake imekuwa wengi wanagongwa wakiwa na abiria kwa makosa ya ujinga wanaosema wao fashion. Kwanini hawa vijana msiwasake vijiweni waliong'oa saiti mira wote ndaani.
  7. kitonsa

    JamiiForums Tanzania Polisi yapiga marufuku maandamano ya UVCCM ya kuunga mkono Serikali yaliyokuwa yafanyike Julai 18, 2023

    Polisi Tanzania wametoa taarifa kuwa maandamano yaliyopangwa kufanyika na UVCCM nchi mzima hayataruhusiwa. Wametoa sababu kuwa kufanya hivi kunaweza kusababisha taaruki kwenye jamii. My take, Hii Ni mbinu zilizopangwa kati ya uvccm na vyombo ya ulinzi, ili kupata sababu ya kumzuia mwamba...
  8. Colin the creator

    JamiiForums Tanzania SoC03 Responded Mabadiliko na uboreshaji katika utoaji wa PF3 (Police Form no 3)

    UTANGULIZI: Fomu ya Polisi namba 3 (PF3) nchini Tanzania ni hati rasmi inayotumiwa na polisi kuandika ripoti za matukio mbalimbali yanayohusisha madhara ya mwili au ajali. Inatumika kama chombo muhimu cha kudokumenti na kurekodi taarifa muhimu zinazohusiana na matukio hayo. PF3 inajumuisha...
  9. Marathon day

    JamiiForums Tanzania Hoja kwa Polisi na TRA kuhusu kutoa mizigo bandarini

    HOJA na MALALAMIKO kwa POLICE na TRA kuhusu biashara ya kutoa mizigo Bandarini, Naanza kwa TRA unachangamoto kubwa kwenye kukokotoa malipo ya Wharfage , kunahaja gani kutumia custom value badala ya kutumia CBM kwa mizigo/ magari ya Zambia na Zimbabwe? Inaleta ukakasi Sana, mteja anakupa kazi...
  10. HONOURABLE PETER

    JamiiForums Tanzania Msaada: Jinsi ya kujiunga na chuo cha Polisi

    Kama kuna mtu anaelewa utaratibu wa kujiunga na chuo cha police naomba anipe ufafanuzi wakuu.
  11. Beberu

    JamiiForums Tanzania Azam Yawabamiza Police Tanzania 8-0, Polisi watishia kuwalaza selo kwa udhalilishaji

    Huko kunako viwanja vya Azam complex Chamazi, Matajiri wa chamazi wamewakandamiza Polisi Tanzania 8-0, huku Prince Dube akipiga goli 4 peke yake, Hii ni match yenye magoli mengi zaidi katika msimu huu
  12. G-Mdadisi

    JamiiForums Tanzania TAMWA-ZNZ, ZAFELA argued Police Force to expedite investigation on the killing of two women in Zanzibar

    Zanzibar Female Lawyers Association (ZAFELA) and Tanzania Media Women’s Association, Zanzibar (TAMWA ZNZ) are saddened by the acts of cold-blooded killing of two women which took place recently in Bububu Kijichi and Mbuzini West District "A" West Urban Region Unguja, respectively. According to...
  13. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania TAKUKURU tafadhali vifuatilieni hivi Vilabu viwili vya Police Tanzania na KMC kwa Mechi zao za sasa

    GENTAMYCINE nimezoea kuona Rushwa na Makondakta wa Dala Dala kwa Matrafiki. Ila hii Rushwa ya Kitaalam inayotolewa na Vilabu Viwili Police Tanzania na KMC vinavyopambana kutokushuka Daraja haivumiliki na itaharibu Mpira wetu. TAKUKURU nawaombeni kamateni Simu za Viongozi wote wa Vilabu vya...
  14. Determinantor

    JamiiForums Tanzania Ni lini Traffic Police watatumia akili? Maamuzi kama haya ni ya kipumbavu

    Tumetoka Dar Shekilango saa 11 alfajiri na Bus la Kampuni ya New Force No. T 236 EBK kuelekea Mbeya. Tumefika Msolwa tumesimamishwa na askari kuwa Kuna msafara wa makamu wa raisi. Tumesimama hadi saa mbili na dakika kadhaa. Tumeondoka muda magari yakawa mengi, malori, mabasi na magari binafsi...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Kwa Police hii: Zahera asilaumiwe

    Nipo natizama hapa mechi Yao na Singida yani wanachofanya utadhani wachezaji wa dondo cup. Hawana ubunifu Wala kasi hasa eneo la mbele.
  16. J

    JamiiForums Tanzania Polisi wanaruhusiwa kupokea kesi za madai?

    Nilikopa pesa kwa maandishi nikarejesha kiasi cha pesa muda ukapita sikurejesha kiasi kilichobaki kulingana na tulivyoahidiana. Mdai akaja nyumbani na Police kunikamata nikalala kituo cha police hadi kesho yake. Nikatolewa kwa kudhaminiwa, police wakagoma kunipa simu yangu kwa madai mara...
  17. T

    JamiiForums Tanzania Ni virungu vya Polisi ndio vitampeleka Ikulu, kwa kura haendi ng'o!

    Tunakoelekea, ni Mungu tu aepushie mbali! Haitafahamika ikiwa watanzania tutakuwa tunaishi kwenye nchi yetu wenyewe ama ni ugenini! Mungu saidia Na ikitokea kura zinapigwa kesho, wenye kumpa kura kwa sasa ni hao walamba asali tu! Ni vigumu sana kukubaliana na ukweli huu! Na bahati mbaya...
  18. mgt software

    JamiiForums Tanzania Anayetishia Ujio wa Lissu Tanzania ajulikana. Ni Afisa wa Polisi wa Kike Julius Nyerere International Airport (JNIA)

    Wana JF Tunawashukru wapekenyuzi kwa umakini wao kupata taarifa na picha za Police wa Kike anayejinasibu kumshughulikia Tundu Lissu atakapokuwa amewasili nchini. Habari hizi zinaongeza wasiwasi kwa aliyetumwa kulinda raia na mali zake kujiingiza kwenye siasa wakati Mkuu wake wa kazi akiwaasa...
  19. Determinantor

    JamiiForums Tanzania Mawasiliano ya baadhi ya Askari Polisi kuhusu ujio wa Tundu Lissu yavuja

    Katika pitapita zangu kwenye Social Media nimekutana na "screenshot" inayoonyesha chats za Askari Police (baadhi). Huenda huu ndio mtazamo wa jumla wa Hawa jamaa wa Form Four.
  20. mama D

    JamiiForums Tanzania Maajabu ya mwanamke mjamzito kuomba police wamwambie mume asimpige tena sababu anampenda sana, hii ni baada ya kupewa kipigo kizito!

    Mama mwenye ujauzito wa miezi minne Jamila Hamisi (34) mkazi wa mtaa wa Remtula kata ya Elerai Jijini Arusha, amedai amejeruhiwa macho yake kwa kupigwa ngumi za uso na mume wake baada ya kutokea mzozano kati yao desemba 27, 2022. Jamila ameliomba Jeshi la polisi mkoa wa Arusha limkanye mwanaume...
Back
Top Bottom