Humphrey Polepole is a Tanzanian politician serving as the Chama Cha Mapinduzi's Ideology and Publicity Secretary and Member of Parliament appointed by President John Magufuli. Before being appointed Humphrey Polepole was a District Commissioner for Ubungo district for five months and earlier Polepole also served as District Commissioner for Musoma District for two months.
Sisi wana CCM wazalendo bado tunataka mamlaka zitoke ziseme Polepole yuko wapi tofauti na hapo ayo maridhiano hayapo bila kujua Polepole yuko wapi kama alifanya kosa kisheria afikishwe mahakamani. Unataka kwenda kwenye maridhiano mtu balozi amepotea kama kuku...
Baada ya siku kadhaa za kimya cha TFF, Juzi kiongozi wa kundi hilo Bwana Trump aliibuka na ujumbe wenye mashaka mengi.. Nitaweka video hapo chini
Mashaka hayo yaliyojaa maswali mengi tatanishi kama si kinzani yapo mpaka kwenye taswira yake na body language yake
Kwenye video hiyo anadai...
Nimekutana na bandiko moja la hadithi ya Idd Amin na ujasiri wa Maliyamungu(Maliyamungu) nikamkumbuka shujaa Humphrey Polepole na ushujaa wa kanisa Katoliki.
Andiko limeandikwa kwa kiingereza nikatafsiri kwa kiswahili kwa msaada wa Chatgp.
Soma hapo chini :-
Wanasema hofu huwafanya hata...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amefanya uhamisho na kuwapangia vituo mabalozi. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt. Moses Kusiluka, mabalozi waliopangiwa vituo ni kama ifuatavyo:-
(i) Balozi Togolani Edriss Mavura...
Dr dogoli kinyamkela ☠️ 💀 pamoja na kwamba tunajihusisha na asili lakini pia, tunamwamini Mungu wa Mbinguni na kuitumikia ( Asili )
« Nikiwa nimelala nimepelekwa mpaka alipo Polepole, Polepole yupo jeshini anadhibitiwa na jeshi. Yupo humo kama Mfungwa hatoki ndani ya geti hilo.
Alikua kwenye...
Umeandika kuwa utakuwa Musoma 8.3.2026 siku ya Wanawake Duniani. Usilogwe ukaja huku maana nyinyi hamsikii?
Bado tuna fresh memory of Polepole whereabouts!
USILOGWE, LABDA KAMA UKO HAPA BONGO SAWA, LKN KAMA UKO NJE USILOGWE
By the way, hivi huwa unaripoti kesi ya Lisu ukiwa mahakamani au vipi...
Hamjambo!
Mara ya mwisho Agustino Polepole alituaga na Kauli tata, za kibabe, mikwala kama yote. Lakini pia mikwala yake ilijaa msisimko wa kihisia. Maumivu ya kisaikolojia ambapo ingekuwa ngumu kutabiri ukweli wa kile anachokizungumza.
Alitoa vitisho vikali ambavyo hata kwa jemadari yeyote...
Hii inaitwa ya DUNIANI tumalizane wenyewe hapahapa DUNIANI.
Hawa Wasenge wameua sana watu , wameua , tena wanaua huku wanajiamin na kutoa vitisho.
No way , potelea mbali !!!.
Mtasubiri sana MAFWELE ajitokeze ila holaaaaaaa !!!
Wakuu,
Kuna habari gani kuhusu huyo Mafwele, naona mapichapicha tu huko mtandaoni! Kweli jamaa aliingia kwenye kumi na nane za Kanali?
Baada ya kaka wa Augustino Polepole kuongea mchana wa leo, amerusha tena video nyingine akisema amepata habari wanataka kumhamisha Polepole kutoka hapo...
Kama angekuwa amemkamata Mafwele sidhani kama mtu serious anamkamata na kumwachiai. Huo ni uongo wa mchana.
Mtu ambaye amemteka ndugu yako au kamuua. Unamkata unamwachia? Yaani unaona adhabu yake ni hiyo kama ni kweli? Ni uongo. Aanze kuwa serious.
Huyu bwana mdogo anaongea sana vitendo hamna...
Usipokuwa na uwezo wa kufanya reasoning na kushndwa kuelewa historia, unaweza usielewe kuwa watu kama Lissu, Polepole na wengineo, ujasiri na uthubutu walio nao ni kazi ya Nature ( Mungu) ili kupitia shida na mateso yao au hata vifo vyao, mlio wengi mkombolewe.
Hata wale waliouwawa Oktoba 29...
Usingelifanya harakati zako ( nzuri, I can say by now) ukiwa hapa!
Walijua una siri zao nyingi, lazima wakumaliza as they have done!
Nakuombea huko ulipo tukuone tena.
AMINA
Jamaa alichimba biti zito la mdogo wake kuachiwa ndani ya masaa 24, yakipita hayo masaa atakinukisha vibaya mno.
Cha ajabu yamepita masaa, siku, wiki, mwezi hatimaye miezi sasa jamaa hakuna lolote alilolifanya.
Je yeye ndiye amefanyiziwa? Huu ukimya unaleta mashaka.
Mchungaji Mbarikiwa Mwakipesile amemshambulia kwa maneno Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini wa Mwalimu Nyerere Foundation, Mzee Joseph Butiku, akimtuhumu kuonesha chuki dhidi ya aliyekuwa Balozi Humphrey Polepole, ambaye hivi karibuni kumeripotiwa sintofahamu juu ya alipo.
Mchungaji Mwakipesile...
Dk Bashiru Kakulwa alituaminisha kuwa mmoja wa watu ambao hawataki siasa za kihuni.
Nashangaa sana kumuona ameungana na wahuni wa CCM kiasi cha kutokuwa na huzuni juu ya kilichompata Humphrey Polepole.
Au ndio amendekeza njaa na kuungana na wahuni?
Hyocrites pharisees
Nafuatilia hali ya Iran, sidhani kama Iranian regime inaweza ika survive kwa masaa 48 yajayo kutoka sasa.
Police wa Iran wamegoma kupokea orders za IRGC.
Reza Pahlavi, ambaye ni crown prince wa Iran anayeishi nchini Marekani, ametuma ujumbe kwa majeshi ya Iran kufanya chagua la kihistoria kwa...
Imepita zaidi ya miezi mitatu tangu aliyekuwa “balozi” wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM atoweke. Tukio hili, kwa wengi, lilikuwa tone la mwisho kukata kabisa imani yoyote kwamba CCM bado ni chama kinachoendeshwa na mijadala ya wanachama wake na think tanks...
Wakuu
Mama yake na aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba (Humphrey Polepole) ameomba arudishiwe mwanawe akiwa mzima na kama lolote baya litamkuta huko alipo basi atajua cha kufanya.
Mama Polepole ameeleza kuwa lolote baya likitokea kwa mwanawe huko alipo basi kila aliyemgusa naye atakufa...
Kichwa kiko wazi. Nashindwa kumuelewa tapeli na askofu wa kujipachia Josephat Gwajima. Anajitahidi kutupiga changa la macho akijifanya kulaani utekaji na maovu ya chama chake. Ukimchunguza, licha ya kuwa. tapeli wa kidini kama wengine wanaowahadaa na kuwaibia mazwazwa na wavivu waliokata tamaa...
Mara ya mwisho alitoa masaa 24 na tishio kali sana kwa samia na genge lake.
Kwa alivokuwa anazungumza inaonekana lilikuwa ni jambo lilio ndani ya uwezo wake kuwadhuru magaidi hawa.
Kinachonishangaza ni ukimya wake tangu siku hio, hata attempt yoyote haijaonekana hata kwa hawa askari wadogo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.