polepole

Humphrey Polepole is a Tanzanian politician serving as the Chama Cha Mapinduzi's Ideology and Publicity Secretary and Member of Parliament appointed by President John Magufuli. Before being appointed Humphrey Polepole was a District Commissioner for Ubungo district for five months and earlier Polepole also served as District Commissioner for Musoma District for two months.

View More On Wikipedia.org
  1. Kubwjing

    JamiiForums Tanzania JE KATIBA MPYA IKIPATIKANA, LISSU, HECHE NA POLEPOLE WAKIACHIWA, MAANDAMANO YATAKOMA?

    Jana Wananchi wa Tanzania waliamua kufanya maandamano ya kupinga Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani kwa mwaka 2025. Miongoni mwa vitu wanavyodai ni KATIBA MPYA ya WARIOBA Iliyopendekezwa na Wananchi, PIA kuachiwa huru kwa TINDU LISSU, HECHE NA POLEPOLE, Huko Arusha nimeona wamebeba...
  2. Abraham Lincolnn

    JamiiForums Tanzania Maandamano yaliyoanza leo ni mwanzo tu hayatakuwa na kikomo mpaka haki itendeke na waliopotea wapatikane

    Huu ni mwanzo tu
  3. Its Tesha

    JamiiForums Tanzania Agustino Polepole alisema atarudi lakini wapi? nini kinaendelea?

    Jamaa alisema atakuja kusema ukweli lakini wapy? Watu ni kama wamefungwa? Kuna namna hawa akina Mafwele wamefanikiwa kudhibiti baadhi ya mambo.
  4. K

    JamiiForums Tanzania Polepole kutelekezwa na wenzake wakina Bashiru, Butiku na Warioba inasikitisha

    Polepole kutelekezwa na wenzake wakina Bashiru, Butiku na Warioba inasikitisha. Sasa na wenyewe wanaogopa kutekwa! yaani hata kusema kitu kuhusu mtu ambaye Mama yake anaenda kulia mahakamani! Kesho nani atakuwa salama
  5. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Mmiliki wa Akaunti ya DAUDI T BALALI pale X ni Mwanamtandao, Alihusika Kumteka BALOZI POLEPOLE , Leo katwt Samia ANASHINDA 83%

    Wakuu, Mnakumbuka huyu Mpuuzi Daudi Balali ,alitoaga Twiti yake alisema 2030 Uchaguzi utakua usotabirika Kwa CCM. Ni hivi huyu jamaani Mwanamtandaoo, na Ndie aliyemteka Mh Polepole . Tarehe 21/8/2025 Huyu Jamaa alisimamia Mpango wa kumteka Mh BALOZI POLEPOLE, baada ya kujihakikishia kua...
  6. sonofobia

    JamiiForums Tanzania Huyu ni nani anayetoa siku 3 Polepole awe ameachiwa?

    Kila siku wanaibuka watu wapya kuililia haki kwenye nchi yetu Tanzania. Naomba kumfahamu huyu mzalendo anaemlilia Polepole jembe letu. Ni nani huyu? Katoa amri sio ombi. Mungu bless Tanzania. Tunaweza tusitoke ila mwanga upo.
  7. Matovu Godfrey

    JamiiForums Tanzania Mo29-Oktoba29 Tunatoka siku 3!

    Number 3 is a magical number 🔥 Bafo siku 3 na nina imani kila mtanzania amejiandaa ni mwendo wa #OktobaTunatoka #MO29 is a movement 💪🏽
  8. R

    JamiiForums Tanzania Narudia: Polepole, you made a very big mistake, a very big One!

    Sasa ona sterling amekufa na "movie" imeishia hapo. Ulijiaminishaje kuwa hapa? Mimi nilidhani uko kambi ya "jeshi" inakulinda...... Kumbe uko kwa Mtogole Machozi yangu yanakulilia! Pumzika kwa Amani huko uliko...kwa Mungu au kwa Lolimu au Lefema! You made a very regrettable mistake!
  9. Agent-47

    JamiiForums Tanzania Kwa war strategist tunasema hii wiki ndo ilikuwa fursa nzuri kwa Polepole na Tesha.

    Mie mwanafunzi wa Sun Tzu, military general maarufu sana kutoka China. Katika kitabu chake cha “The art of War”, Sun Tzu anasema: “Attack when the enemy is unprepared” . shambulia wakati adui hategemei/hajajiandaa. “Avoid wars with lengthy campaigns” epuka vita inayodumu muda mrefu Kama...
  10. U

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna nchi inayoendelea kwa kuwaweka think tank wao pembeni?

    .
  11. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania HAKUTAKUA na Cha Maridhiano, Wahuni Wakubwa msokua na Haya !! Maridhiano, Mzee Kibao ameuwa Kikatili, Mdude, Soka, Polepole, hawajulikani walipo

    Yaan Njia mlioichagua ndio njia yenu, na sisi tutakwenda hivohivo na nyinyi. Ukweli ni kwamba ni Ama Tuwafikishe katika Sheria au Mtuue wote mtumalize !!. Na sio upuuzi na upumbavu wenu ulokoswa Aibu na kudhani mnatuhadaa. Yaan Familia ya Kibao ,Iridhiane na nyinyi kitu gan?? Familia ya...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Heche kufuata njia ya Mdude na Polepole

    Ikifika kesho Heche hajapatikana, atapotezwa na kusahaulika kama ilivyotokea kwa Mdude na Polepole. Mafwele kapewa maagizo mazito sana . Hutaki acha, sitoi codes.
  13. Matovu Godfrey

    JamiiForums Tanzania GE2025 OKTOBA 29 tunatoka

    INUKA TANZANIA! 🇹🇿 AMKA TANZANIA! TANZANIA HURU! SAMIA LAZIMA AENDE! ACHA UTEKAJI MIMI MTANZANIA! POLE POLE BURE! TUNDU LISU BURE! HAKUNA MAREKEBISHO HAKUNA UCHAGUZI! #Oktoba29Tunatoka 📍 Watanzania lazima wainuke na kupigania uhuru wao, dhuluma lazima iishe 💪🏿
  14. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Augustino Polepole: Mafwele Oktoba 14 saa tatu usiku uliwatuma vijana wako wakaruka ukuta. siku ile nilikuwa na wadusua

    Kaka yake Humphery Polepole Agustino amendelea kuzungumza tangu kutekwa kwa mdogo wake ambapo hadi sasa zimepita siku 14. Miongoni mwa yale aliyoyasema ni kuhusu Ridhiwani Kikwete kudai kwamba anafahamu alipo Polepole Agustino akaendelea kusema ushahidi wote upo na kauli hiyo aliitoa Mbeya...
  15. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Nchi yetu ya ajabu kweli yaani Polepole ndo kasahaulika kama akina Mdude na Saanane!!!

    Taarifa za kutekwa kwa Humphrey Polepole zilisambaa kama moto wa kiangazi. Watu walijiapisha kuwa huu ndiyo ulikuwa mwisho wa utekaji wasijue kumbe ndiyo mwanzo. Tuliwasikia akina Gwajima wakidandia juu ya Polepole kulipiza kisasi kwa kufungiwa maduka yao ya kuchuuza roho. Wengi walidhani...
  16. Titicomb

    JamiiForums Tanzania Polepole angeokotwa kabla Octoba 29 akiwa na kimfuko chake cha karanga na taulo akiwa dhaifu mwenye depression tungefurahi

    Maombi kwa awaye yote. Mwenye nguvu. Yangetokea maajabu kwa ndugu Polepole mfano wa yanayo watokea makasisi sijui mapadre wa Katoliki ya kupotea kisha kuokotwa siku kadhaa wakiwa hai huku wana msongo wa mawazo (depression) taifa lingepona. Chuki na hasira zingepoa. Visasi visingetarajiwa siku...
  17. Busu la Kenge

    JamiiForums Tanzania Tujichoreni tatoo ya Polepole kumuenzi

    Wakubwa na wadogo, vijana na wazee, watoto na wakubwa na wanawake kwa wanaume inakuaje asee watu wangu wa nguvu. Moja kwa moja kwenye mada. Kama kwicha cha mada hapo juu tujichoreni tatoo mwilini kama kumuenzi balozi Humphrey Polepole. Popote mwilini. Mimi tayari niko kwenye maandalizi ya...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Lema GodBless, usiwe kama Polepole, if needs to be , kimbia nchi for your safety!

    Usiwe shujaa aliyekufa. Usiwe kama Polepole. Unaweza kuleta mabadiriko tarajiwa ukiwa nje ya nchi! All angles of "independence" struggle are acceptable depending on the prevailing security situations in the country . DO THE NEEDFUL Epuka kuwa kama Polepole!
  19. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Jana niliionea huruma sana familia ya Polepole

    Jana kuna barua ilikuwa ina-surface mtandaoni iliongelea mambo mengi ila sehemu iliyonifikirisha sana ni pale waliposema mazingira ya siasa nchini yapo vizuri nikaachia kusoma pale sikuendelea tena sababu nilisikia uchungu mkubwa sana Nikajiuliza familia ya polepole inajisikiaje inaposoma ile...
  20. REJESHO HURU

    JamiiForums Tanzania Matukio ya Polepole na wengine yananikumbusha A Grain of Wheat, novel iliyoandikwa na Ngũgĩ wa Thiong’o,

    Ni suala la muda tu mbegu itamea na tutavuna tusichoke
Back
Top Bottom