Humphrey Polepole is a Tanzanian politician serving as the Chama Cha Mapinduzi's Ideology and Publicity Secretary and Member of Parliament appointed by President John Magufuli. Before being appointed Humphrey Polepole was a District Commissioner for Ubungo district for five months and earlier Polepole also served as District Commissioner for Musoma District for two months.
Kwenye vita huwa hatushambulii kulia, kushoto, mbele na nyuma lazima uache njia ya kukimbilia ukizidiwa.
Baada ya kusikia Mke wa Lissu na Dada wa Polepole kwenye bunge la Ulaya niseme kuwa hakuna Barua au safari Kombo na Samia watafanya itazaa matunda, hata watembee uchi.
Huko kwenye Siasa za...
Watu mnaosahau maumivu alituachia Magu na Polepole wake
1. Hakupandisha mshahara ya watumishi Kwa kipindi chake chote, kuwaondoa wafanyajazi wenye vyeti feki LAKINI kushundwa kureplace wengine wakati wamejaa mtaani. Nakushindwa kutoa Askari wenye vyeti feki
2. Mauaji ya kibiti na watu kpotea...
Tangu alipoamua kuzungumza wazi kuhusu masuala mbalimbali ya uongozi, siasa na utawala nchini, Humphrey Polepole amekuwa mmoja wa viongozi waliozua mjadala mkubwa katika jamii.
Wapo waliomuunga mkono wakisema alikuwa anatoa tahadhari muhimu kwa mustakabali wa taifa, huku wengine wakiona kauli...
Nimejikuta nawakumbuka watu waliopotea kisa kusema ukweli na kukemea maovu kama kina Polepole.
Nauhakika wengi kama sio wote wameshauawa na hatutawaona tena.'Mungu awapokee katika ufalme wale Amen'
Mungu katupa ujumbe kwa wote waliohusika.Katika kitabu cha Mwanzo 9:6,Mungu alifanya agano na...
Kama kumbukumbu zangu ziko sawa, hayo ndio yalikuwa maneno ya Polepole kwa Mtawala kuwa akijiweka madarakani kwa njia zusizo za kudemokrasi, ajiandae kutawala kwa shida.
Kwa saaa, ukisikiliza mikutano ya hadhara ya CHADEMA, ukisoma post na comments za watu mitandaoni kuhusu huu utawala na...
Tumekubali Polepole alikua na makosa lakini solution ikawa ni kumteka na kumpoteza? Sote tunajua Polepole alikua anagusa meza za wakubwa wa nchi hii ambao wamejimilikisha kila kitu cha nchi hii ndo maana kila alipokua...
Salam zikufikie popote ulipo .
Baada ya kumkumbuka Balozi Humpley polepole usingizi umekata ghafla,Kirjana huyu alikua ni mzalendo ,mpenda nchi yake na mtu mwenye kusema ukweli kwa lengo la kuisaidia nchi yake .
Aliteuliwa kuwa balozi wa Tanzania nchini Malawi badae Cuba wakati yuko Cuba...
Nimemkumbuka huyu bwana; amepotea kabisa ndani ya ardhi ya Tanzania bila kuonekana tena. Wanaodaiwa kuhusika wanaendelea kufurahia rasilimali za nchi, na inaonekana hakuna hatua yoyote itakayochukuliwa dhidi yao.
Nawatahadharisha kwamba matendo mabaya yana matokeo yake. Umpumzike kwa amani...
Mara baada ya kutekwa balozi Humphrey Polepole na kuacha damu nyingi sana, mama yake alitembelea nyumba aliyotekwa Polepole na kuahidi kuwa kila aliyeshiriki kwa namna yoyote ile kupanga, kufanikisha na kumteka balozi Polepole lazima atapatwa na jambo kila mmoja kwa wakati wake.
MZEE JOSEPH...
Tunajua nyie mmeshika mpini sisi tumeshika makali tunaomba sasa mwachieni Balozi Polepole tunaomba sana mwachieni Tundu Antipas Lissu hawa ni watanzania wenzetu tunapkosana na kukosea tujifunze kua wavumilivu
Kumwekana sawa kumweka Tundu Lissu jela na kuendelea kumshikilia Polepole sio...
Ni kweli Humphery sababu ya kisema ukweli tu kuwa Rais Samia anaiba rasilimali za Watanganyika?
Kosa lako lilikuwa ni nini?
Kuwaeleza ukweli Watanganyika kuwa Samia ni zao la wanaCCM chini ya mstaafu?
Wakuu,
Akizungumza kwenye kongamano la UVCCM la kuadhimisha miaka 62 ya Muungano Rais Samia amesema huko tunapoendea mshikamano wa kitaifa unaendelea kupungua
"Nimeacha neno mshikamano. Na hapa ndipo nataka vijana tutafakari. Neno mshikamano. Tunavyokwenda hivi, mshikamano wa Watanzania...
Kati ya sababu alizo zitaja Chande , hakuna pahala amesema dola inausishwa na utekaji
Badala yake amesema watekwaji yawezekana ni ushirikina, mapenzi, kutafuta umaarufu na mengine mengi.
Hivi kweli kusoma hatujui hata kuona?
Hii ripoti ni mali ya Rais
Ni mwanamapinduzi mtulivu, hana papara. Tunaomjua kwa undani tunajua tunasema nini. Mheshimiwa endelea hivyo hivyo unaeleweka vizuri sana na watanzania, japo patawaka moto lakini ushindi upo.
Balozi Humphrey Polepole kabla ya kutekwa na kupotezwa alitabiri mambo mengi kwa nchi yetu Tanzania ikiwa itaendelea kuwa chini Rais Samia (2025-2030). Leo nawaletea tabiri mbili tu ambazo nimeona zimeanza kuonekana dhahiri.
Rais Samia kutowaheshimu watanzania baada ya uchaguzi mkuu
Humphrey...
Kwanza kabisa sikubaliani na watu wanaosambaza uzushi wa aina yoyote ikiwemo kuwalisha watu maneno kwa njia yoyote ile, ila pia nadhani Gwajima alitakiwa kukanusha uzushi kwa maneno mafupi sana kuwa, Sijawahi kutoa kauli hiyo na pia si sahihi kusambaza taarifa za uzushi iwapo kulikuwa na ulazima...
Ni mda watanzania wote bila kujali itikadi za vyama na dini zetu kutoka na kushinikiza mamlaka kumwachia Tundu Lissu bila masharti yoyote. Na mamlaka kutoka na kusema Polepole yuko wapi hii nchi sio mali ya mtu hii ni nchi ya wananchi wote au Mamlaka mnataka kuona Nguvu ya Umma ile ya October...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.