Humphrey Polepole is a Tanzanian politician serving as the Chama Cha Mapinduzi's Ideology and Publicity Secretary and Member of Parliament appointed by President John Magufuli. Before being appointed Humphrey Polepole was a District Commissioner for Ubungo district for five months and earlier Polepole also served as District Commissioner for Musoma District for two months.
Anajifanya anarudi nyuma baada ya kuuwa wananchi sababu ameshikwa pabaya. Dunia imemshika pabaya. Yuko kwenye maji ya moto sasa hivi. Dunia imegoma kutambua Urasi wake. So now anajaribu kucheza na akili zetu.
Asubuhi hii nimeona video ya huyu jamaa anasema yupo Tanzania na tarehe 9 wataanzia Masaki mpaka Mikocheni
Sasa najiuliza huyu jamaa ni mwanajeshi kweli wa NATO maana hata sijawahi kumuona na gwanda tena anajitambulisha Kwa cheo Cha canal au mkwara mbuzi tu maana maneno yamekuwa mengi sana...
Kuna mtego. Mkikubali maridhiano, mjue mmekubali kuwa nyie ndiyo waandaaji wa vijana wa GenZ. Oktoba 29 kesi zimewekwa pending, mkikosea kidogo wanawarudisha ndani na mtapata kesi ya kujibu tena.
GenZ ni nguvu ya umma, maridhiano yanaweza kuwa mtego wa kuwanasa. Chadema, kuweni makini. Polepole...
Augustino Polepole ambaye katika jumbe zilizopita amejiwakilisha kama Kanali wa NATO, amemtumia ujumbe General Mkunda.
Katika taarifa yake amezungumza mambo mengi ya binafsi na yamkini mengine ni codes ambazo hatuwezi kuzielewa. Lakini ninafikiri sauti yake ni muhimu katika kipindi hichi kigumu...
Nyerere alisema mtu yeyote anayetaka kwenda ikulu kwa kutoa pesa anataka kwenda kufanya biashara ikulu.
Tuliona Mbowe mwenyekiti wa chadema akiingia ikulu kukutana na rais Samia akiwa mifuko ya gwanda lake la chadema bapa.
Kutoka picha zikaonesha mifuko ya gwanda la chadema limetuna. Mara...
Kaka wa Polepole kadai kwamba Polepole ni Mzima ila anaumwa.
Kwangu Mimi kusikia Polepole ni mzima hata kama anaumwa ni faraja kubwa.
Uchaguzi umeisha.
Namuomba Samia Amuachie huru.
Baddo naamini Balozi Humphrey Herson Polepole soon atakuwa Uraiani
Kuwaachia wawe huru ni vigumu sana maana wanaogopa watawataja. Na mtu kama Polepole hawezi kaa kimya. So, option inayobaki kwa hawa madhulmati ni kuwamaliza watu wetu na kuwaficha kabisa wapotee moja kwa moja.
Tuwaombee sana aisee. Wako hatarini
Jana Wananchi wa Tanzania waliamua kufanya maandamano ya kupinga Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani kwa mwaka 2025.
Miongoni mwa vitu wanavyodai ni KATIBA MPYA ya WARIOBA Iliyopendekezwa na Wananchi, PIA kuachiwa huru kwa TINDU LISSU, HECHE NA POLEPOLE, Huko Arusha nimeona wamebeba...
Polepole kutelekezwa na wenzake wakina Bashiru, Butiku na Warioba inasikitisha.
Sasa na wenyewe wanaogopa kutekwa! yaani hata kusema kitu kuhusu mtu ambaye Mama yake anaenda kulia mahakamani!
Kesho nani atakuwa salama
Wakuu, Mnakumbuka huyu Mpuuzi Daudi Balali ,alitoaga Twiti yake alisema 2030 Uchaguzi utakua usotabirika Kwa CCM.
Ni hivi huyu jamaani Mwanamtandaoo, na Ndie aliyemteka Mh Polepole .
Tarehe 21/8/2025 Huyu Jamaa alisimamia Mpango wa kumteka Mh BALOZI POLEPOLE, baada ya kujihakikishia kua...
Kila siku wanaibuka watu wapya kuililia haki kwenye nchi yetu Tanzania.
Naomba kumfahamu huyu mzalendo anaemlilia Polepole jembe letu. Ni nani huyu?
Katoa amri sio ombi.
Mungu bless Tanzania. Tunaweza tusitoke ila mwanga upo.
Sasa ona sterling amekufa na "movie" imeishia hapo.
Ulijiaminishaje kuwa hapa? Mimi nilidhani uko kambi ya "jeshi" inakulinda...... Kumbe uko kwa Mtogole
Machozi yangu yanakulilia!
Pumzika kwa Amani huko uliko...kwa Mungu au kwa Lolimu au Lefema!
You made a very regrettable mistake!
Mie mwanafunzi wa Sun Tzu, military general maarufu sana kutoka China.
Katika kitabu chake cha “The art of War”, Sun Tzu anasema:
“Attack when the enemy is unprepared” . shambulia wakati adui hategemei/hajajiandaa.
“Avoid wars with lengthy campaigns” epuka vita inayodumu muda mrefu
Kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.