pili

The arrector pili muscles, also knows as hair erector muscles, are small muscles attached to hair follicles in mammals. Contraction of these muscles causes the hairs to stand on end, known colloquially as goose bumps (piloerection).

View More On Wikipedia.org
  1. Kesi ya Aikaeli Mbowe imeibua mengine yanayoendelea ndani ya regime. Shahidi wa pili ni Inspekta Mahita

    Jina la Mahita si geni katika nchi yetu, Omari Mahita aliwahi kuwa IGP katika jeshi la polisi. Kama majina yametokea kufanana na bwana Insipekta amepanda vyeo kutokana na weledi wake ni vyema na haki. Hapa inakuja picha bayana ni kwanini ni vigumu regime iliyoko kubadilika. Kila anaeshika...
  2. Tanzania nchi ya pili Afrika kwa Uhuru wa kutoa maoni baada ya SA iko chini kidogo ya UK, CHADEMA mnalijua hili

    Tanzania ni nchi ya pili barani Afrika kwa kuwa na Uhuru mkubwa wa kutoa maoni baada ya Africa kusini iko chini kidogo ya Uingereza|| Je! CHADEMA mnalijua hili?! " Hakuna kama Samia " GOODNEWZ: Tanzania rasmi nchi ya pili Barani Africa kwa uhuru wa kujieleza|kutoa maoni baada ya Africa ya...
  3. J

    Ukipitiliza tarehe ya chanjo ya pili usianze upya kuchanjwa

    Kwa namna au sababu tofauti huweza kutokea mazingira ambayo yanaweza kumfanya mtu asahau au ukakosa chanjo yako ya pili ya Covid-19 kwa tarehe uliyopangiwa. Wataalamu wa afya wanaeleza kuwa ukipatwa na hali hiyo usikate tamaa wala usianze upya mpango wa kuchanjwa tena isipokuwa fika kituo cha...
  4. Nawezaje kurudisha pesa niliyokatwa App Store?

    Wakuu habari leo nimekatwa pesa AppStore pasipo kutaka ,wataalam wa iPhone nawezaje kuirudisha pesa hii 33 USD app yenyewe niliyolipia pasipo kutaka hiyo hapo
  5. Nchi hii Hakuna Daraja la Kwanza wala la pili. Wote Wana haki Sawa

    Kwema Wakuu!! Moja ya mambo ambayo yananikera, yananifanya nisiishi Kwa Amani, nisiishi Kwa furaha ni kuona kundi Fulani linanyanyaswa. Kwa kweli katika vitu navichukia kuliko vyote ni kuona uonevu, unyanyasaji, ukandamizaji pamoja na dhulma ndani ya jamii. Mimi hata awe mzazi wangu akileta...
  6. Siku ya pili ofisini Rais wa Zambia aunda team ya kufanya mabadiliko makubwa katika mfumo wa kodi

    Siku ya pili ofisini, Rais wa Zambia anasema ameteua team ya wataalam kuanza kufanya tathmini ya mfumo wa kodi wa nchi hiyo ili ufanyiwe mabadiliko makubwa ili kuondoa kasoro nyingi ambazo zimesababishwa na utawala uliopita katika uchumi wa nchi yao. Wakati Tanzania ndiyo kodi na tozo sasa...
  7. Kampuni inayotoa chanjo ya Johnson & Johnson imetangaza chanjo yake ya pili ama booster vaccine kwa watu wote waliopata chanjo ya kwanza

    Kampuni inayotoa chanjo ya Johnson&Johnson imetangaza chanjo yake ya pili ama booster vaccine ambayo itatolewa kwa watu wote waliochanjwa dozi ya awali ili kuupa mwili nguvu zaidi kupambana na kirusi cha Delta. J&J imesifia chanjo yake ya pili kua inatengeneza kinga nyingi mwilini kupambana na...
  8. Kenya take the podium in the athletics doping contest

    KENYA NI YA PILI DUNIANI KWA UDANGANYIFU KATIKA OLIMPIKI Ushindi wao hau sisimui, hauheshimiki na wala kuaminika tena, maana wanajulikana kwa udanganyifu. Daily chart Russia and Kenya take the podium in the athletics doping contest The shadow of pharmaceutical cheating still blights the...
  9. Simba SC Mabingwa wa Kombe la shirikisho kwa mara ya pili mfululizo

    Wasalaaaam wakuu Mimi ni mdau na shabiki wa Yanga mkubwa sana ila kwa ndoto nilizopata usiku wa kuamkia leo ni taswira halisi ya kitakacho enda kutokea huko Kigoma katika fainali ya kombe la shirikisho Tanzania baina ya mahasimu wakubwa na watani jadi Yanga na Simba Ndoto ya kwanza nilianza...
  10. H

    Vita ya pili ya dunia katika picha (WW2), tupia uliyonayo

    vita vya pili vya dunia viliua watu milioni 60 na mpaka leo madhara yake bado yanaendelea kuonekana Anaitwa Yang Kyoungjong amepigana vita vya pili vya dunia akiwa na uniform za mataifa za mataifa manne tofauti In June 1944, a young soldier surrendered to American paratroopers in the Allied...
  11. Msimu wa Pili wa Filamu ya Serengeti kutoka kesho

    Baada ya kupata umaarufu mkubwa kutokana na upekee wa mtindo wake masimulizi, Msimu wa Pili wa Filamu Serengeti (Serengeti II) unarejea kuanzia kesho. Filamu hiyo inayosimulia maisha ya kila siku ya wanyama katika mbuga ya Serengeti nchini Tanzania inajitofautisha na filamu nyingi zinazoonesha...
  12. Kwa wanaume tu: Kwenda la pili huwa unachukua sekunde au dakika ngapi?

    Wanaume: Eeeeh eeh😎😎😎 mimi nasema: Wape Bia. Ninaamini mko poa wakuu hii mada ilibidi ikajadiliwe kule JF Dokta lakini hili jukwa lapendwa Nguvu za kiume now days ni big deal wakuu, kama huna nguvu za kiume huna budi kuwa nazo ikiwa tu utataka kumfaidi mwanamke kunako 6 kwa 6, bila hivo...
  13. Upande wa Pili wa Hotuba ya kuaga ya Baba wa Taifa ukumbi wa Diamond 1985

    UPANDE WA PILI WA HOTUBA YA MWALIMU YA KUAGA Kiasi naogopa kufanya uchambuzi wa hii hotuba kwani kuna mambo nadhani Mwalimu Nyerere kasahau au hakupenda watu wayasikie. Mwalimu hakupokelewa na wazee alipokelewa na Abdul Sykes 1952 tena si New Street kwenye ofisi ya TAA bali nyumbani kwake Mtaa...
  14. Ni mwaka wa pili sasa sipo group lolote la WhatsApp

    Najikuta tu siko kwenye group lolote la WhatsApp. Ukiishi maisha ya kipekee raha sana. Kazini ni mwendo wa salamu, kazi na kicheko kidogo mnatawanyika. Sijui magroup ya ma classmates sipo, magroup ya waliotoka Kijiji au wilaya au mkoa mmoja simo. Magroup sijui ya kabila moja simo. I feel good.
  15. Tanzania ya pili Afrika kwa Usalama wa Ulinzi wa Kidigitali

    GLOBAL CYBERSECURITY INDEX 2020 The Global Cybersecurity Index (GCI) is a trusted reference that measures the commitment of countries to cybersecurity at a global level – to raise awareness of the importance and different dimensions of the issue. As cybersecurity has a broad field of...
  16. Masoud Kipanya anamuuliza Mohamed Said: Abdul Sykes ni nani? Tazama sehemu ya kwanza mpaka ya nne

  17. Kitambulisho cha NIDA kwa mara ya pili

    Inasikitisha sana wakuu
  18. Upande wa pili wa Matumizi ya Meter Box

    Habari wakuu leo katika utundu wangu nimegundua kwamba meter box ina matumizi mengi sana zaidi ya kutumika katika ulipaji wa umeme. Naam, Nitawadokeza jinsi ya kutumia meter box kuangalia vitu vingine Moja ya matumizi ya Meter ni kuangalia tarehe na saa/Mda Nisiwachoshe ni kama ifuatavyo Jinsi...
  19. M

    Mheshimiwa Nyangasa karibu Kigamboni anza na kupatikana Huduma ya Maji ya DAWASA na Tozo Daraja la Kigamboni

    MHESHIMIWA NYANGASA KARIBU KIGAMBONI ANZA NA UFUMBUZI WA KUPATIKANA HUDUMA YA MAJI NA PILI TENGENEZA MIKAKATI YA SERIKALI KUONDOA TOZO ZA DARAJA LA KIGAMBONI KWA WANANCHI Nianze kwa kuipongeza mamlaka ya uteuzi wa Wakuu wa Wilaya, yaani Mheshimiwa Raisi Samia Suluhu Hassan kwa kukuchagua wewe...
  20. Awamu ya pili ya Operesheni Haki kutikisa tena, itaanzia Kanda ya Pwani

    Ile kampeni ya kuhamasisha upatikanaji wa Katiba mpya na Tume huru ya uchaguzi iliyotikisa Nchini Tanzania ya OPERESHENI HAKI , itaendelea tena baada ya kusimama kwa muda kwenye Kanda ya Pwani na baadaye Zanzibar na Pemba , Taarifa hii imetolewa na Katibu Mkuu wa CHADEMA Mh John Mnyika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…